Afya Bila Shuruti.

Afya Bila Shuruti. Karibu sana Tukusaidie
�Changamoto ya Uzazi, punyeto,
�Kupungua uzito & kitambi &Urembo
�Wasiliana nasi 0621587429

HIVI UMEKUWA UKIZINGATIA HILI JAMBO WAKATI WA TENDO LA NDOA 😜Unapojigundua kuwa huwezi kushiriki tendo la ndoa kikamilif...
05/10/2022

HIVI UMEKUWA UKIZINGATIA HILI JAMBO WAKATI WA TENDO LA NDOA 😜

Unapojigundua kuwa huwezi kushiriki tendo la ndoa kikamilifu huwa unahangaika sana kutumia madawa bila kujua chanzo cha tatizo lako na dawa unayotumia kazi yake ni ipi haswa!

Sababu hasa zinazofanya uanze kutumia dawa ni kwasababu, unawahi sana kufika kileleni, au mashine kusimama legelege baada ya round ya kwanza muda mwingine haisimami kabisa na hili jambo linakunyima usingizi kabisa 😂

Ila nikwambie jambo ambalo wengi niliwaambia wakaniskiza unapotumia dawa huwezi kupata matokeo ya kudumu ndo pale unakuta unafanya tendo bila kufika kileleni hadi mwenzio anachoka na wewe upo hoi, sasa hayo ni mapenzi au kukomoana tu!? 😀😂

Sasa njia sahihi ya kuweza kushiriki tendo kikamilifu na wote mkafurahia pamoja, nimekuandalia elimu fupi ambayo ntakuelezea utumie vitu gani ili uweze kuwa mwanaume wa shoka 😃💪

Nitatoa Nafasi Tatu leo kuwapa njia watu Watatu Bure kujuwa namna gani wanakuwa imara cha kufanya Tuma ujumbe neno AFYA JAMII kwenda whatsapp namba 0629224104 nafasi zikiisha utalipia

HIVI UMEKUWA UKIZINGATIA HILI JAMBO WAKATI WA TENDO LA NDOA 😜Unapojigundua kuwa huwezi kushiriki tendo la ndoa kikamilif...
04/10/2022

HIVI UMEKUWA UKIZINGATIA HILI JAMBO WAKATI WA TENDO LA NDOA 😜

Unapojigundua kuwa huwezi kushiriki tendo la ndoa kikamilifu huwa unahangaika sana kutumia madawa bila kujua chanzo cha tatizo lako na dawa unayotumia kazi yake ni ipi haswa!

Sababu hasa zinazofanya uanze kutumia dawa ni kwasababu, unawahi sana kufika kileleni, au mashine kusimama legelege baada ya round ya kwanza muda mwingine haisimami kabisa na hili jambo linakunyima usingizi kabisa 😂

Ila nikwambie jambo ambalo wengi niliwaambia wakaniskiza unapotumia dawa huwezi kupata matokeo ya kudumu ndo pale unakuta unafanya tendo bila kufika kileleni hadi mwenzio anachoka na wewe upo hoi, sasa hayo ni mapenzi au kukomoana tu!? 😀😂

Sasa njia sahihi ya kuweza kushiriki tendo kikamilifu na wote mkafurahia pamoja, nimekuandalia elimu fupi ambayo ntakuelezea utumie vitu gani ili uweze kuwa mwanaume wa shoka 😃💪

Nitatoa Nafasi Tatu leo kuwapa njia watu Watatu kujuwa namna gani wanakuwa imara cha kufanya Tuma ujumbe neno AFYA YANGU kwenda whatsapp namba 0629224104 au piga simu usaidiwe mapema nafasi zikiisha utakuwa umechelewa.

JINSI YA KUEPUKA KUPATA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME☀️Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku☀️Kula vyakula a...
11/09/2022

JINSI YA KUEPUKA KUPATA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

☀️Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku
☀️Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
☀️Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini k**a kisukari, moyo, punguza unene na mengine
☀️Punguza (balanzi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi
Balanzi uzito wako
☀️Usivute sigara
☀️Punguza au acha kunywa pombe
☀️Punguza mawazo
☀️Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
☀️Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
☀️Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi
☀️Kunywa maji ya kutosha

Kwa Ushauri na msaada zaidi wasiliana nasi kupitia Whatsapp namba 0629224104 au piga simu usaidiwe mapema.
🇹🇿

USIPO ZINGATIA HIVI  VITU MUHIMU HAUTAKUWA RIJALI WAKATI WA TENDO UKIWA CHUMBANI 😋MWanaume Unapojigundua kuwa huwezi kus...
06/09/2022

USIPO ZINGATIA HIVI VITU MUHIMU HAUTAKUWA RIJALI WAKATI WA TENDO UKIWA CHUMBANI 😋

MWanaume Unapojigundua kuwa huwezi kushiriki tendo la ndoa kikamilifu huwa unahangaika sana kutumia madawa bila kujua hasa chanzo cha tatizo na dawa unayotumia kazi yake ni ipi haswa!

Sababu hasa zinazofanya uanze kutumia dawa ni kwasababu, unakuta unawahi sana kufika kileleni, au mashine kusimama legelege baada ya round ya kwanza muda mwingine haisimami kabisa nk

Kwahiyo unapotumia dawa huwezi kupata matokeo ya kudumu ndo pale unakuta unafanya tendo bila kufika kileleni hadi mwenzio anachoka na wewe upo hoi, sasa hayo ni mapenzi au kukomoana tu!? 😀😂

Sasa njia sahihi ya kuweza kushiriki tendo kikamilifu na wote mkafurahia pamoja, nimekuandalia elimu fupi ambayo ntakuelezea utumie vitu gani ili uweze kuwa mwanaume wa shoka 😃💪

Wahi sasahivi kwa kunitumia ujumbe neno AFYA KWANZA what'sapp namba 0629224104 au piga simu moja kwa moja

FAIDA ZA SHAHAWA KWA MWANAMKE1) Humtengeza mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika mwili huwa na virutubisho v...
02/05/2022

FAIDA ZA SHAHAWA KWA MWANAMKE

1) Humtengeza mwanamke shepu yake.
Shahawa zinapozunguka katika mwili huwa na virutubisho vingi vya protini.

(2) Humsaidia mwanamke kutengeneza ngozi yake kwa virutubisho vya shahawa na sio kupaka usoni.

(3) Humuongezea mwanamke urembo zaidi hasa wa macho. Macho yanakuwa meupe na mazuri zaidi.

(4) Husaidia mwanamke kuwa na sauti nzuri zaidi kwa kuwa shahawa hutengeneza ala nzuriiii za sauti katika mfumo wa sauti.

(5) Husaidia mwanamke kuwa na akili nyingi zaidi katika mfumo wa fahamu.
Shahawa hukimbilia katika muundi wa mgongo na kumfanya mwanamke kuwa na mgongo na mifupa imara na milaini.

(6) Humfanya mwanamke kutokuwa na tatizo la kupoteza fahamu na maradhi ya kuchekacheka..

(7) Husaidia kizazi cha mwanamke kisiwe na maumivu ya mara kwa mara, hasa kinapoingia baridi.

[8] Wanawake wanaotiwa angalau mara nne kwa wiki huonekana kuwa na umri mdogo ikilinganishwa na umri wao kwa miaka 7 mpaka 12, hii inatokana na ukweli kuwa kujamiana huongeza homoni ya oestrogen ambayo hufanya nywele za wanawake kuwa na afya nzuri na ngozi zao kung’aa.

🙏

*ULAJI  MZURI WA* *KUJENGA AFYA NJEMA* 💪👇  Je unafahamu Moja ya *Changamoto* zinazowakumba watu wengi wenye changamoto y...
01/05/2022

*ULAJI MZURI WA* *KUJENGA AFYA NJEMA* 💪👇

Je unafahamu Moja ya *Changamoto* zinazowakumba watu wengi wenye changamoto ya *AFYA YA* *UZAZI* ** Ni kutokana na *Kutofahamu* *matumizi* na *ulaji Mzuri* wa *vyakula* tunavyotumia ?

*IKIWA WE NI MMOJAWAPO UNSHINDWA UNASHINDWA KUFAHAMU MATUMIZI* *MAZURI YA VYAKULA, ANZA SASA👇🥑🍉* 🍏🥩🥕🍊💪

1. NAFAKA- *40%*
2. NYAMA,SAMAKI,MAYAI- *35%*
3. MATUNDA NA MBOGA MBOGA- *15%*
4. SUKARI- *10%*

*CHAKUZINGATI* 👇
1.👉 *NI VIZURI PIA KUFAHAMU KUNDI *LAKO* *LA* *DAMU,KWENYE** *UTUMIAJI WA VYAKULA* .

2 *.👉 KWA MWANAUME NA MWANAMKE, K**A UNACHANGAMOTO YA* *NGUVU ZA KIUME JITAHIDI KUWEZA KUTAFUTA TIBA* *KUONDOA CHANGAMOTO YAKO, KWASABABU KADRI UNAVYOENDELEA* *KUKAA NA TATIZO NALO LINAZIDI KUKUPA ATHARI*

*👉ANZA SASA KUTUMIA VIRUTUBISHO KWA KUIMARISHA NAKUTUNZA AFYA YAKO

Kwa Msaada au ushauri andika neno AFYA JAMII kwenda whatsapp namba 0621587429 au piga simu usaidiwe haraka

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. 1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke...
20/04/2022

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kimwaga mbegu za Kiume.

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.

4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.

5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.

Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0621587429 au piga simu usaidiwe haraka

𝐔𝐆𝐎𝐍𝐉𝐖𝐀 𝐖𝐀 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒𝐔𝐑𝐄 𝐍𝐈 𝐒𝐈𝐋𝐄𝐍𝐓 𝐊𝐈𝐋𝐋𝐄𝐑, 𝐇𝐀𝐓𝐀𝐑𝐈 𝐘𝐀𝐊𝐄 𝐍𝐈.unapoishi na maradhi ya pressure, pasipo kuchukua hatua za awali.Ma...
16/04/2022

𝐔𝐆𝐎𝐍𝐉𝐖𝐀 𝐖𝐀 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒𝐔𝐑𝐄 𝐍𝐈 𝐒𝐈𝐋𝐄𝐍𝐓 𝐊𝐈𝐋𝐋𝐄𝐑, 𝐇𝐀𝐓𝐀𝐑𝐈 𝐘𝐀𝐊𝐄 𝐍𝐈.

unapoishi na maradhi ya pressure, pasipo kuchukua hatua za awali.
Madhara yatakayo tokea huko mbele. Ni ya hatari zaidi. Mfano
(kifo cha kushtukiza) ila...

Hatari kubwa iko kwa wazazi wetu. Mara tu umri unapokua mkubwa
Maradhi ya pressure ni miongoni mwa maradhi hatarishi.
yanaitaji uthibiti na ufatiliaji mapema sana.

Ni busara zaidi baba au mama, kupatiwa kifaa cha kujichunguza, maradhi ya pressure walionayo. Ili k**a ni matibabu basi yanafanywa mapema,kuepusha madhara makubwa kuja tokea.

Usipuuzie afya yako! wala ya wazazi wako.

Ukitaka kuitatua vizuri changamoto hii ya Presha lazima upate VIRUTUBISHO ASILIA asilia ambavyo vitakuja kujenga vizuri mishipa yako ya damu, kuondoa cholesterol Mwilini na kuimarisha Afya ya Misuli ya Moyo. Sambamba na hilo lazima upate ushauri wa ziada wa vyakula na formula ya Mazoezi.

Tuma ujumbe neno PRESHA kwenda WhatsApp number 0621587429 au Piga Simu usaidiwe Mapema.

FAIDA TISA (9) ZA KULA NANASI.FAIDA ZA KULA NANASI KWA AFYA YAKO. Hapa tuta angalia faida kuu za kula nanasi na Wote tun...
13/04/2022

FAIDA TISA (9) ZA KULA NANASI.

FAIDA ZA KULA NANASI KWA AFYA YAKO.

Hapa tuta angalia faida kuu za kula nanasi na Wote tunajua kuwa kula matunda mazuri inasaidia mwili kupata vitamini na madini mbalimbali na kuwa mtu mwenye afya njema, na sasa tunda la nanasi ni tunda moja wapo ambalo ni muhimu sana hasa katika msimu huu wa mananasi.

1: Mmeng’enyo wa chakula.

Nanasi linasaidia kurahisisha mmeng’enyo wa chakula kwa kiasi kikubwa sana. Hii inatokana na kuwa nanasi linatoa aina protini katika mwili wako ambayo inarahisisha kazi hii ya kumeng’enya chakula.

2: Nanasi Lina Vitamin na Madini

Tunda la nanasi limejaa madini na protini nyingi ambazo zinafaa kwa mwili wako. Nanasi lina vitamin A Vitamini C calcium, fiber na pia potassium.

3: Kuzuia Kikohozi na Baridi.

Nanasi lina utajiri wa vitamin C linaweza kupigana na virusi amabavyo vinaweza kusababisha kikohozi na ubaridi.

Hata k**a umeshakuwa na kikohozi nanasi kwa kiasi flan linaweza kukusaidia kupunguza makali.

Tunda hili lina madini ya Bromelain ambayo yanauwezo wa kudhoofisha virusi vya kikohozi.

Wakati unaumwa kula tunda la nanasi hata wakati unakuwa kwenye dozi ya dawa ambazo umepewa na daktari linaweza kukusaidia sana kuharakisha kupona haraka.

4: Kuimarisha Mifupa.

Je unahisi mifupa yako sio imara? Basi anza kula nanasi. Nanasi pia lina uwezo wa kuimarisha mifupa nakuifanya kuwa yenye nguvu.

Hii ni kwa sababu nanasi lina madini ya manganese ambayo mwili wako unahitaji madini haya ili kwa ajili ya kuimarisha mifupa yako.

Tena k**a ukinywa kikombe kimoja tu cha juice ya nanasi unakua umeongeza asilimia 73% ya madini ya manganese ambayo ni hata zaidi ya mwili unavyoihitaji kitu ambacho ni kizuri kwa afya ya mifupa ya mwili wako.
Unakua na mifupa iliyokomaa.

5: Huimarisha Meno yako.

Watu kila mara huwa wanajali sana meno yao, na mara nyingine huwa wanashindwa kuyapa kipaumbele kwa saaana.

K**a una matatizo ya meno basi unashauriwa kula nanasi kwa sababu nanasi linasaidia kuimarisha magego ambayo yanashikilia meno.

Kula tunda la nanasi linakufanya kuimarisha magego yanayoshikilia meno na pia meno yenyewe yanaimarika.

6: Huzuia Ugonjwa wa Asthma.

Ukila nanasi unajiweka katika hali nzuri ya kuto pata ugonjwa wa asthma.

Watu wanaokula nanasi wanakua katika hali nzuri kwa sababu nanasi lina vitamin aina ya Beta Carotene ambayo linausaidia mwili kukabiliana na magonjwa mbalimbali ikiwemo asthma.

7: Blood Pressure.
Unapokula nanasi unaongeza potassium na pia kula matunda mengine yenye madini ya potassium yanaweza kukusaidia kupunguza uwezekano wa kupata blood pressure.

8. Kansa.
K**a kawaida nanasi lina utajili mkubwa wa vitamin C.
Hii vitamin C inauwezo wa kuzuia virusi ambavyo vinaweza kukusababishia magonjwa mabali mabli ya kansa.

9. Huimarisha Afya ya Moyo.

Utajiri wa madini ya fiber, potassium na vitamin C ni mojawapo ya faida za tunda hili ambazo pia zina uwezo wa kuimarisha afya ya moyo wako na kuzuia maradhi yanayoweza kuuadhiri moyo wako.

Sasa jamani tuanze kula tunda la nanasi ili tuweze kufaidi madini ya na vitamin zilizojaa katika tunda hili. ili kuepuka magonjwa ya baadaee.

MWANAUME EPUKA AIBU KITANDANI TATUA CHANGAMOTO YAKO MAPEMA. Suluhisho lipo ikiwa utazingatia mwongozo tutakaokupa. Wanau...
10/04/2022

MWANAUME EPUKA AIBU KITANDANI TATUA CHANGAMOTO YAKO MAPEMA. Suluhisho lipo ikiwa utazingatia mwongozo tutakaokupa. Wanaume wengi wamekua wakikumbwa na hii hali ya KUKOSA NGUVU ZA KIUME na wamejaribu sana kutafuta njia mbalimbali kutatua changamoto yao lakini wameshindwa. Ukosefu wa nguvu za kiume unasababishwa na sababu mbalimbali k**a vile 👉Kujichua(punyeto), Vyakula tunavyokula, Vinywaji vyenye kemikali nk. So,USISITE kunielezea changamoto yako kwa undani ili nijue jinsi gani naweza kukusaidia ANDIKA NENO AFYA kwenda WhatsApp namba +255621587429 asante na karibu sana. 🤝

NILIJUTA MIMI ,NILIJUTA SANA KUPIGA PUNYETO SHULENI BOARDING.MADHARA YALIYONITESA  NI👉Uume kusinyaa kila nkijaribu kubad...
07/04/2022

NILIJUTA MIMI ,NILIJUTA SANA KUPIGA PUNYETO SHULENI BOARDING.

MADHARA YALIYONITESA NI

👉Uume kusinyaa kila nkijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama nikiwepo na mwenza wangu lakini akiondoka naona napata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika nashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

K**A UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A HIZO ZILIZOKUA ZINANITESA MIMI USIJIFICHE, K**A MIMI NIMEPONA NA WEWE PIA UNAWEZA KUPONA

Tuma ujumbe neno AFYA JAMII kwenda whatsapp namba 0621587429 au piga simu usaidiwe mapema

Njia TATU muhimu za kuimarisha nguvu zakiume Jua fomular maaalumu ya mazoezi ya kuimarisha mishipa ( misuli) ya umme Vya...
05/04/2022

Njia TATU muhimu za kuimarisha nguvu zakiume Jua fomular maaalumu ya mazoezi ya kuimarisha mishipa ( misuli) ya umme Vyakula vya kwenda kuongeza nguvu, stamina, hamu ya kuendelea kufnya tendo landoa Virutubisho lishe maalum vya kuweka mfumo mzima wa umme ( kuwa hi kufika kileleni, kushindwa kurudia tendo, uume kuwa legelege,)

Kwa Maelezo zaidi Tuma ujumbe neno afya njema kwenda WhatsApp number 0621587429 ili usaidiwe mapema

Tatizo la nguvu za kiume linatibika ikiwa utafanya mambo makuu ma 3Je ungependa kujuwa mambo hayo ili urudishe heshima y...
03/04/2022

Tatizo la nguvu za kiume linatibika ikiwa utafanya mambo makuu ma 3

Je ungependa kujuwa mambo hayo ili urudishe heshima yako nyumbani

Tuma namba yako inbox na sehemu ulipo ikifika sa 2 usiku nitaunganisha group moja wasap na kukupa Muongozo wa mambo ma3 muhimu ya kukusaidia kuondoa changamoto yako.

Nini kinapunguza ukubwa wa uume? wanaume wengi hawaridhiki na ukubwa wa uume wao hata k**a ni mkubwa, na wengine wanaona...
02/04/2022

Nini kinapunguza ukubwa wa uume?

wanaume wengi hawaridhiki na ukubwa wa uume wao hata k**a ni mkubwa, na wengine wanaona kabisa uume umepungua ukubwa wakilinganisha na miaka iliyopita bila kujua sababu za msingi.

mambo yafuatayo yanaweza kufanya uume wa mtu ukapungua.

UNENE AU KITAMBI; unene hufanya mafuta mengi kuongezeka tumboni na maeneo mengine ya uume, hii hufanya uume uonekane mdogo kuliko mwanzo hata ukiwa unaingia ukeni huzuiliwa na mafuta yaliyoota mwisho wa uume, lakini pia mafuta ya ndani ya mishipa ya damu ambayo yanazuia damu ya kutosha isifike kwenye uume husababisha uume usimame kwa shida sana na kua mdogo.

UMRI; umri wa mwanaume unavyozidi kua mkubwa uume pia huzidi kua mdogo hii husababishwa na kupungua kwa homoni za mfumo wa uzazi wa uume ambapo homoni hizi hizi ndio huufanya uume kua mkubwa kipindi mwanaume anabalehe kwa mara ya kwanza, lakini umri haupunguzi uume tu hata nyama za mwili wote kwa ujumla sababu ya kupungua kwa uwezo wa mwili kutengeneza seli mpya, ndio maana wazee wengi misuli ni midogo.

KUTOSHIRIKI TENDO LA NDOA MARA KWA MARA; uume ni k**a misuli mingine ya mwili, misuli inayofanya kazi mara kwa mara hua mikubwa na minene k**a watu wanaofanya mazoezi ya kubeba chuma au watu wanaofanya kazi ngumu lakini misuli ikiwa haifanyishwi kazi hupungua ukubwa, hivyo kushiriki tendo la ndoa angalau mara nne kwa wiki husaidia.

UKOO; baadhi ya koo fulani unakuta familia nzima ina uume mdogo, hii husababishwa na homoni ya testesterone kwenye miili yao kushindwa kufanya kazi vizuri lakini pia baaadhi ya koo wamebarikiwa na maumbile makubwa.

UPASUAJI WA TEZI DUME; tafiti zimeonyesha kwamba upasuaji wa kuondoa tezi dume husababisha uume kuingia ndani kidogo, utafiti huu ulifanyika nchini marekani kwa wanaume 126 ambao miezi kadhaa baada ya upasuaji huu walikiri kupungua kwa ukubwa wa uume.

KUPIGA PUNYETO AU KUJICHUA; uume ni kiungo laini sana ambacho hakitaki usumbufu kabisa ndio maana uke wa mwanamke una kuta laini sana ambazo haziwezi kuharibu uume, lakini unapotumia mikono yako kujichua unaumiza mishipa ya juu ya uume inayoingiza na kutoa damu lakini pia unaweza kusababisha makovu ya ndani ya misuli na kuzuia damu kufika kwa uhakika, hiki ni chanzo kikubwa cha kupungua ukubwa na nguvu za kiume kwa vijana wadogo ambao mara nyingi hujichua sana.

KUVUTA SIGARA; kemikali ya ni****ne iliyoko kwenye sigara huziba mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye uume kuwa mdogo k**a unakumbana na hiyo changamoto tuma ujumbe neno kaka rijali kwenda whasapp namba 0621587429 wahi mapema usaidiwe mapema

MAISHA NA KISUKARI: Upungufu wa nguvu za kiume kwa wenye kisukariFriday May 24 2019Ugonjwa wa kisukari ni miongozi mwa s...
02/04/2022

MAISHA NA KISUKARI:

Upungufu wa nguvu za kiume kwa wenye kisukari
Friday May 24 2019
Ugonjwa wa kisukari ni miongozi mwa sababu za ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume.



MAISHA NA KISUKARI: Upungufu wa nguvu za kiume kwa wenye kisukari

Ugonjwa wa kisukari ni miongozi mwa sababu za ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume.

Unaweza ukajiuliza kuna uhusiano gani kati ya kisukari na upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume?

Tatifi mbalimbali za afya zinaonyesha kuwa asilimia 55 ya wanaume wenye kisukari hupatwa na tatizo la nguvu za kiume.

Endapo kiwango cha sukari kwenye damu kikiwa juu kuliko kawaida huweza kusababisha madhara mengi sana mwilini, k**a vile figo, moyo, shinikizo la damu, ulemavu wa viungo na upofu.

Pia, huathiri mfumo na mishipa ya fahamu, damu na hurudisha nyuma uchumi wa nchi kwa sababu huongeza watu wenye ulemavu na katika matibabu pia ni gharama kubwa.

Kwa upande wa afya ya mfumo wa nguvu za kiume, lazima ubongo uwe imara na wenye afya, mishipa ya damu na fahamu iwe katika afya njema.

Mishipa na misuli ya uume lazima iwe katika afya njema na imara, kusiwe na hitilafu yoyote katika mishipa ya fahamu iliyo katika ubungo, uti wa mgongo na misuli mingine muhimu katika mfumo wa uume.

Sukari nyingi katika damu huweza kusababisha uharibifu kwenye kuta za mishipa ya damu; kisha kuta hizi hushindwa kuzalisha homoni aina ya Nitrogen Oxide ambayo husaidia kutanua mirija ya damu kwa ajili ya kupitisha damu kwa urahisi.

Ikitokea hali hiyo mirija ya damu hushidwa kutanuka vizuri, hivyo uume hupungua uimara wake na kushindwa kufanya kazi.

K**a kisukari kitashambulia sehemu tajwa hapo, ndipo tatizo la ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume hutokea.

Wanaume wengi wenye kisukari ambao wamepata tatizo la nguvu za kiume hukimbilia katika matumiza ya dawa za kuongeza nguvu za kiume.

Kwa mgonjwa wa kisukari dawa hizi huweza kusababisha matatizo mengine k**a shinikizo kubwa la damu.SULUHISHO:andika neno AFYA JAMII kwenda WhatsApp namba 0621587429

UTATUZI SAHIHI WA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUMEUnapokuwa na shida ya nguvu za kiume usitafute dawa. Hakuna dawa ya nguvu ...
31/03/2022

UTATUZI SAHIHI WA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME

Unapokuwa na shida ya nguvu za kiume usitafute dawa. Hakuna dawa ya nguvu za kiume kwani nguvu za kiume SIYO UGONJWA k**a malaria au kisukari kwamba unahitaji dawa. Kukosa nguvu za kiume inaonyesha tu kuwa mwili wako umekosa virutubisho (lishe) muhimu ya kutosha. Ukipata tu hutokaa uone shida ya nguvu za kiume. Upe mwili wako virutubisho muhimu.

Sasa kwa kawaida ili kutatua changamoto za uzazi kwa mwanaume tungeweza kutumia tu lishe ya matunda na mbogamboga na mazoezi tu k**a babu zetu wa zamani.

Hata hivyo changamoto kubwa ni kuwa vyakula vingi dunia ya leo vinaandaliwa kwa kutumia kemikali za viwandani kuanzia mbolea, dawa za kuua wadudu na za uhifadhi.

Hivyo kemikali hizo zinafanya kazi kinyume chako na kudhoofisha mifumo ya mwili wako na kufanya usiwe ba afya bora na hata usifurahie tendo la ndoa tena.

Ndiyo maana kwa kuona hilo kuna virutubisho maalumu vilivyoandaliwa kitaalamu pasipo kutumia kemikali hizo ili kuusupport mwili wako urudi sawa uwe mwenye afya imara tena na uufurahie uanaume wako katika mahusiano yako.

Tutakupa pia elimu ya ziada ya afya ili uweze kuwa balozi mzuri kwa wengine wanaohangaika kwa muda mrefu.

Follow me

Wasiliana nasi kwa kutuma neno AFYA JAMII kwa WhatsApp number +255621587429 TUTAKUFIKIA.

Karibu.

Follow me

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255621587429

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bila Shuruti. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram