Ushauri wa afya

Ushauri wa afya tunatoa huduma za afya

05/05/2025

Dalili za kuwa na Mawe kwenye Figo zianweza kutofautiana kulingana na ukubwa wa jiwe na mahali lilipo
Baadhi ya dalili ni;
1. Maumivu makali ya ghafla mgongoni na chini ya mbavu
2.Maumivu wakati wa kukojoa
3.Mkojo unaonuka
4.kichefuchefu na kutapika
5.Homa na badiri

Je umekuwa ukipata mojawapo ya dalili hizi?Njoo Sasa kwa matibabu na ushauri zaidi.

Understanding Hemorrhoids: Causes, Prevention & TreatmentHemorrhoids are swollen veins in the lower re**um or a**s, ofte...
24/04/2025

Understanding Hemorrhoids: Causes, Prevention & Treatment

Hemorrhoids are swollen veins in the lower re**um or a**s, often caused by increased pressure due to straining during bowel movements, chronic constipation, pregnancy, or sitting for long periods. They can be internal or external and may cause pain, itching, bleeding, and discomfort—sometimes described as the sensation of sitting on a cactus.

How to Prevent Hemorrhoids:

Eat a high-fiber diet (fruits, vegetables, whole grains)

Drink plenty of water

Avoid straining during bowel movements

Exercise regularly to promote healthy digestion

Don’t sit on the toilet for too long

For advice, support, and treatment: Contact Madam Twesa on WhatsApp at +255 712 524 624. She offers personalized guidance and remedies to help you recover comfortably and naturally.

Your health matters—don’t suffer in silence.

Let me know if you’d like this translated into Kiswahili or adjusted to a specific tone.

Ni Nini Sababu za Ugonjwa wa Kuvimba kwa Pelvic?Ugonjwa wa Pelvic Inflammatory (PID) kwa kawaida husababishwa na maambuk...
03/10/2024

Ni Nini Sababu za Ugonjwa wa Kuvimba kwa Pelvic?

Ugonjwa wa Pelvic Inflammatory (PID)
kwa kawaida husababishwa na maambukizi ya bakteria, ambayo mara nyingi huambukizwa kupitia ngono.

Bakteria wa kwanza wanaohusika na PID ni Chlamydia trachomatis na Neisseria gonorrhoeae, ambao ni magonjwa ya zinaa (STIs).

Hata hivyo, bakteria wengine pia wanaweza kusababisha PID, mara nyingi wakati uwiano wa kawaida wa bakteria kwenye uke umevurugika, na hivyo kuruhusu bakteria hatari kustawi.

Kwa Ushauri Zaidi WASILIANA NA 0712524624

Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania umeorodheshwa kuwa na kiwango cha juu cha ugonjwa wa kisukari. Hii inaweza kutokan...
20/07/2024

Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania umeorodheshwa kuwa na kiwango cha juu cha ugonjwa wa kisukari.

Hii inaweza kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha, upatikanaji wa huduma za afya, na masuala mengine ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, kiwango cha ugonjwa wa kisukari kinaweza kutofautiana kulingana na vyanzo tofauti na tafiti zilizofanywa.

Kwa ujumla, Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania mara nyingi umeorodheshwa kuwa na kiwango cha juu cha ugonjwa wa kisukari.

Hii inatokana na sababu k**a mabadiliko ya mtindo wa maisha, hali ya kiuchumi, na upatikanaji wa huduma za afya.

Tafiti na ripoti zinaweza kubadilika, hivyo ni muhimu kuangalia vyanzo vya hivi karibuni kwa taarifa sahihi zaidi.

Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza kwa visa vya ugonjwa wa kisukari nchini Tanzania. Hii inatokana na sababu kadhaa:

1. Ukubwa wa jiji: Dar es Salaam ni jiji kubwa zaidi nchini Tanzania na lina idadi kubwa ya watu, hivyo inaeleweka kwamba kutakuwa na visa vingi vya magonjwa kwa ujumla, ikiwemo kisukari.

2. Mabadiliko ya mtindo wa maisha: Mji huo umekuwa na mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii, yanayochangia mabadiliko ya mtindo wa maisha k**a ulaji wa vyakula visivyo na lishe bora na ukosefu wa mazoezi.

3. Upatikanaji wa takwimu na huduma za afya: Dar es Salaam ina vituo vingi vya afya na hospitali zinazoweza kuripoti na kutoa takwimu sahihi za magonjwa, tofauti na maeneo mengine ya nchi.

Mikoa mingine inayofuata ni pamoja na Arusha, Mwanza, na Mbeya, ambayo pia imeona ongezeko la visa vya kisukari kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha na ukuaji wa mijini.

 Afya ndo kila kitu. Karibu ujifunze na kujua aina za blood groups (O, A, B na AB) ulaji sahihi ikitegemeana na blood gr...
04/01/2024


Afya ndo kila kitu. Karibu ujifunze na kujua aina za blood groups (O, A, B na AB) ulaji sahihi ikitegemeana na blood groups uko nayo...

Hivi ni baadhi ya vitu sahihi vya kula vinavyoendana na blood group yako.
Kila mtu aangalie blood group yake na ajue vitu gani ale na vipi asivile.

ZIFAHAMU GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE ILIUJINUSURU NA MAGONJWA YAEPUKIKAYO.

Kundi lako la damu linaweza kukufanya uwe dhaifu au imara katika kukabiliana na magonjwa fulani.Ni vema kujua kundi lako la damu sawa na ilivyo vema kujua mambo mengine yanayochangia kuwa na afya njema. Kujua kundi lako la damu Kunaweza kukuza uwezo wako wa kufahamu hatari zinazo kukabili kutokana na kundi la damu Ulilo nalo na kuepuka hatari hizo kwa kutumia mtindo wa maisha unaofaa.Hata hivyo, K**a vilivyo viungo vingine vya mwili, damu nayo ina changamoto ya kukumbana na maradhi mbalimbali, magonjwa yanayoathiri utendaji kazi wa damu yanaweza kugawanywa katika makundi k**a vile ya kurithi, kuambukiza, mabadiliko ya kimwili na saratani tofauti. Damu ya binadamu imegawanyika katika makundi makuu manne ambayo ni A, B, AB, na O, binadamu yeyote lazima awe na moja wapo ya makundi hayo.

GROUP A.
✔Hawa ni vegetarians wanahitaji sana mananasi na zabibu kwa wingi.
✔ Mara nyingi ni wale watu ambao hawaambiliki yaani wakiamua kitu wameamua mpaka wakitekeleze hata k**a ni kibaya.
✔ pia ni watu ambao ni wabishi sana au wabishani na hawakubali kushindwa hivi hivi.
✔Watu Wa kundi hili pia huwa wana changamoto ya kuwa na upungufu Wa acid mwilini hivyo huandamwa na vidonda vya tumbo.
✔Ni watu ambao hushambuliwa sana na saratani za mishipa ya fahamu,utumbo,mifuko ya mayai,mfuko wa kizazi na mlango wa uzazi kwa wanawake,kibofu cha mkojo,figo,kongosho na saratani ya kinywa, tezi za mate na umio./kuishiwa na damu mara kwa mara.
✔Wana hatari pia ya kupatwa na magonjwa ya Moyo,kupata lehemu mbaya mwilini,kwenye Moyo,wako hatarini pia kupata kiharusi na ugonjwa Wa shinikizo la damu Wa Moyo.

☑Vyakula wanavyotakiwa kula kwa wingi ni mbogamboga za Majani na nyama nyeupe nyama nyekundu sio nzuri sana kwa watu hawa.
☑ hawatakiwi kugusa kabisa au kutumia Mara kwa Mara vyakula hivi :-nyama nyekundu,ngano,,na maziwa.maana vinahitaji asidi nyingi na wao hawana uwezo wa kufanya mmeng`enyo wa vyakula hivi ,kutokana na kuwa na upungufu wa asidi tumboni mwao.
☑ wakila ndizi,maembe na mapapai huwasababishia waamkapo asubuhi kutokwa na mak**asi kwa wingi.
☑Wanatakiwa kula kabisa vyakula vyenye asidi kwa wingi k**a machungwa,zabibu,passion,malimao,mananasi ,nyanya na jamii yake
☑ Wa kundi hili wanapenda sana wali na Mara nyingi ndio Chakula chao kikuu.
Hawatakiwi kugusa kabisa ngano na mahindi na endapo wakatumia vyakula hivi hasa kwa wanawake huwasababishia kupata hedhi Mara mbili kwa mwezi.

Tabia zao ni hizi hapa:-
👉ni watu Wa gharama sana hasa wadada au wanawake.
👉huishiwa au wanakuwa na upungufu Wa damu sana.
👉ni wavivu nikiwa na maana hawawezi Kazi ngumu ngumu.
👉sio waongo au wadanganyifu,ni wakweli (they don't like cheating)
👉ni wasirisiri sana.
👉ni waoga sana.
👉wanapenda kujifichajificha k**a ni usiku hupenda kukaa gizani sana.
👉ni waaminifu sana na hapa Mara nyingi unawakuta Maafisa utumishi kwani hufuata sheria.
👉Ni watu ambao pia hawaumwi Mara kwa Mara.

GROUP B.
✔Hili ni kundi la watu ambao ni wazungumzaji yaani ukiwapa nafasi ya kuzungumza ni k**a vile umekosea na hapa Mara nyingi unawapata watu k**a MCs.
✔Ni watu ambao wana tabia zilizojitosheleza yaani wamekamilika.
✔Ni watu ambao husumbuliwa sana au wako hatarini kupata magonjwa k**a uvimbe Wa fizi,na pia wanawake walioko katika kundi hili wako hatarini kupata ugonjwa Wa kisukari aina ya pili.
✔ Mara nyingi ni watu ambao wakipata maambukizi ya virusi vya aina yoyote ile huwa machizi au vichaa kutokana na kwamba vinaenda kuharibu mfumo wake Wa fahamu, wana uwezo mkubwa kukabiliana na ugonjwa wa kibindupindu.
✔Wana hatari kubwa ya kupata saratani ya koo.
☑Watu Wa kundi hili hawashauriwi sana kula vyakula vya aina ya kuku,Karanga,korosho,na nyanya.(Mara nyingi wao wenyewe tu hawapendi kuku ingawa hawaruhusiwi kula),Karanga,korosho,na nyanya.

GROUP AB.
✔Hawa ni watu ambao Mara nyingi hawaeleweki yaani wana tabia za A na pia tabia za B wakati mwingine.
✔zNi watu ambao wanaweza akaanzisha kitu asikimalizie ukakuta kaishia katikati halafu kaanzisha kingine.
✔Ni watu ambao wako hatarini Kupata magonjwa k**a kiharusi,dengue,magonjwa ya Moyo,shinikizo la Moyo,na lehemu kujaa kwenye mishipa ya damu.
✔Watu Wa kundi hili Mara nyingi wakifikia uzeeni uwezo wao Wa kufikiri hupungua kwa haraka.Lakini Mara nyingi kupungua kwa uwezo Wa kufikiri hutokana na magonjwa k**a shinikizo la Moyo,kisukari na lehemu kuwa nyingi sana mwilini.
✔ ni watu ambao wana uwezo mkubwa sana Wa kukabiliana na magonjwa yaani kinga yao ya mwili ni imara ukifananisha na makundi mengine yote ya damu.

GROUP O.
✔Hawa ni watu ambao ni jeuri na kiburi na wanajiamini sana.
✔ watu ambao ni wababe,wagumu,wenye ubinafsi na wanafanya maamuzi yao pale wanapoamua na sio kulazimishwa.
✔ watu ambao wana roho nzuri sana ila hawapendi uongo hivyo usije ukajaribu kuwadanganya hata siku moja.
✔ Ni Watu ambao sio rahisi sana kupata shambulio la ghafla la Moyo k**a ilivyo kwa watu wenye makundi mengine ya damu.
✔ Hawana kinga ya kutosha dhidi ya kipindupindu lakini wana kiasi fulani cha kinga dhidi ya Kifua Kikuu (TB), Malaria isiyo kali, saratani za kongosho, tumbo, matiti na mlango wa kizazi.
✔Ni rahisi kupata magonjwa ya maambukizi ya ngozi,na vidonda vya tumbo.Wanapata sana maumivu ya kiuno,magoti pamoja na mgongo.
✔Ni watu wasiopenda vitu vichachu kutokana na uwepo Wa acid kwa wingi mwilini mwao hivyo wanasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo na huwa wanasumbuliwa sana na tatizo la choo (constipation) pamoja na kisukari.
✔Kundi hili pia hutokewa na mvi za mapema sana.
✔Kwa wanaume hapa ndipo unawakuta ambao wana mapaja yasiyolingana yaani moja kubwa lingine Dogo.

☑Hawatakiwi kula ngano na mahindi Mara kwa Mara au kutokula kabisa.
☑ Hawapaswi kabisa kugusa au kula machungwa,passions,ukwaju,maembe mabichi nk na vyote vyenye acid.
☑Hawatakiwi kabisa kula ugali au wali,mahindi ya kuchoma au kukaanga au kupika hayawafai kabisa.
☑Wanaume walioko katika kundi hili wanahitaji protein kwa wingi kuliko wanawake kutokana na kuhitaji nguvu kwa sana katika shughuli zao na miili yao kwa ujumla.
☑Kwa wanaume wanatakiwa kula matunda sana k**a maembe,mananasi,ndizi,matikiti maji (ule na mbegu zake) hapa pia k**a ni tunda unakula lote mfano nanasi unalimaliza,papai unalimaliza,na pia matunda ya rangi moja kula kwa pamoja.
☑Ukitengeneza kitu k**a juice ya matunda unywe yote kwa wakati huo na sio kutengeneza ya wiki au siku kadhaa.
☑ sana kula nyama yenyewe hasa ya mbuzi ya kuchoma
☑Vyakula vinavyowasaidia au wanavyohitaji sana mwilini ni matunda ,mboga za Majani,protein kwa wingi yaani nyama,maharage,mayai na maziwa.

NB:Magonjwa mengi yanaweza kuepukwa kwa kuzingatia usafi wa mwili na mazingira, mlo kamili(kula kilingana na Uhitaji wa group lako la damu), kufanya mazoezi, kupunguza uzito uliozidi na kuepuka matumizi ya tumbaku, pombe pamoja na dawa za kulevya.

KWA USHAURI ZAIDI WASILIANA NAMI 0712524624

MADHARA YA UGONJWA WA KISUKARI.SOMA ZAIDI👇.Baada ya mtu kupatwa na ugonjwa wa kisukari,yapo madhara mbali mbali ambayo m...
03/01/2024

MADHARA YA UGONJWA WA KISUKARI.
SOMA ZAIDI👇.

Baada ya mtu kupatwa na ugonjwa wa kisukari,yapo madhara mbali mbali ambayo mtu huweza kuyapata baada ya kuugua kisukari,

Na madhara hayo ni pamoja na;

– Mgonjwa kuwa na tatizo la kusikia kiu sana ya Maji kuliko kawaida kila mara

– Mgonjwa kuwa na tatizo la Macho,Ugonjwa wa kisukari huweza kusababisha uharibifu wa mishipa ya damu kwenye macho yako.

– Ketoacidosis,Kutokana na ukosefu wa Insulin,Mwili wa mgonjwa hutumia hormones zingine ili kubadilisha Mafuta(Fat) kuwa nguvu (Energy), hali ambayo husababisha uwepo wa kiwango kikubwa cha Toxic acid iitwayo ketones mwilini,

Hii ni hatari sana kwenye maisha ya mgonjwa wa Kisukari

– Shida ya ngozi ya mwili kuwa kavu zaidi pamoja na kupasuka hasa maeneo ya miguuni, Hii ni kwasababu kiwango kikubwa cha maji hupotea mwilini kwa mtu ambaye ana ugonjwa wa kisukari

– Mgonjwa kupatwa na tatizo la Nerves kuharibika yaani Nerves demage

– Mgonjwa kupatwa na matatizo mbali mbali ya miguu, hapa tunazungumzia;

• Miguu ya mgonjwa kushambuliwa na vimelea vya magonjwa k**a vile bacteria au fangasi kwa urahisi zaidi

• Kupatwa na vidonda ambavyo haviponi

• Na Wengine hadi kufikia hatua ya kukatwa Miguu.

Ugonjwa wa kisukari unatibika,kwa kutumia tiba asili kutoka marekani. ✅

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255712524624

MWANAUME: Unapokutana na mazingira yako, Unatakiwa uweze kuwa na mambo makuu matatu imara, kukupa uwezo wa kuperform viz...
03/01/2024

MWANAUME: Unapokutana na mazingira yako, Unatakiwa uweze kuwa na mambo makuu matatu imara, kukupa uwezo wa kuperform vizuri.

》Blood circulation system.

Unapopata hisia na kuhitaji tendo ni lazima mfumo wa mzunguko wa damu uwe active, na kufika kwenye mishipa midogo midogo ya uume wako, Na hii ndiyo sababu kuu uume kusimama ngangari tayari kwa tendo.

》Sexual stamina (Duration)

Hapa lazima work rate yako iwe na stamina sahihi kumudu tendo la ndoa na mwanamke uliye naye.

Mwanaume unatakiwa kuwa na duration nzuri ya kuperform (tendo la Ndoa), Angalau dk 15+ kwa round ya kwanza, dk 45+ kwa round ya pili, round ya tatu waladu dk 45+ kutengemeana na mwanamke wako.

》Enjaculation (kufika kileleni)

Mwanaume mwenye afya nzuri ya uzazi, lazima Amalie Tendo la Ndoa kwa kumwaga manii (sperms) ishara ya kufika kileleni,

Mwanamke aliye kamilika anahitaji sana kufikiwa na bao kamili ukeni mwake, Bao la Mwanaume lina uzani wake, Uwingi wa mbegu na modality yake.

NB: K**a unamwaga bao dogo, mbegu maji maji na sio nzito, au haumwagi kabisa, Ni Hatari kwa afyaa yako ya uzazi, Juwa kabisa una tatizo. KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0712524624.ASANTE

Je, wewe ni muhanga wa kisukari unahangaika kupata suruhisho la kudumu?Hivi unajua kwamba 90% ya wahanga wa kisukari haw...
03/10/2023

Je, wewe ni muhanga wa kisukari unahangaika kupata suruhisho la kudumu?
Hivi unajua kwamba 90% ya wahanga wa kisukari hawaponi kisukari kwasababu hawajui ni nini hasa wanachotakiwa kukitibu?
Ni k**a bahati kwako kwamba NJIA hii PEKEE itakusaidia kupona kabisa.
MADHARA YA KISUKARI
⚡Kupoteza viungo cya mwili k**a mguu,mkono na vidole
⚡Kupata presha
⚡Kukosa nguvu za kiume kwa mwanaume na kukosa hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke
⚡Kusikia ganzi kwenye vidole vya miguuni na mikononi.
⚡ Kupata madhara kwenye figo na moyo kupanuka.
⚡Kuathirika mishipa ya damu na neva za fahamu.
Karibu nikusaidie kuondokana na changamoto hiyo..
Tuma neno TIBA kuja whatsapp 0712524624

Address

Dar Es Salaam
321

Telephone

+255712524624

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ushauri wa afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ushauri wa afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram