Afya ni Utajiri

Afya ni Utajiri Tunatoa ushauri na tiba ya magonjwa mbalimbali kwa kutumia viini lishe(supplements).Afya ni utajiri

09/01/2024

Wanawake wanaapitia katika vipindi mbalimbali vya ukuaji na katika vipindi hivyo hukutana na changamoto nyingi Sana za kiafya kutokana na maumbile yao.

Kuanzia kwenye kuvunjanungo,kuolewa,kuzaa na kukoma hedhi wanawake wanakutananna changamoto nyingi Sana za mfumo WA uzazi.

Mwanamke hakikisha unalinda afya yako ya uzazi ili usije kupata madhara makubwa katika maisha yako na kushindwa kupata mtoto kabisa.

Jali afya yako mapema,kuwa msafi,vaa nguo za ndani za cotton na hakikisha unatumia vyoo visafi.

K**a umeshapata au kuna mtu UNAMFAHAMU anachangamoto ZA afya ya uzazi tafadhali wasikiana nami Kwa +(255) 657045331.

#

Thank you Lord for another year,am here because of you.I'm so  grateful ๐Ÿ™
09/09/2023

Thank you Lord for another year,am here because of you.I'm so grateful ๐Ÿ™

Wahi mapema Ni offer ya siku 2 tar 7na 8 mwezi huu WA 9 na Kwa watu 6 TU WA mwanzo.Pata BIDHAA ya mtoto inayomsaidia kum...
07/09/2023

Wahi mapema Ni offer ya siku 2 tar 7na 8 mwezi huu WA 9 na Kwa watu 6 TU WA mwanzo.

Pata BIDHAA ya mtoto inayomsaidia kumpa madini ya calcium ,magnesium, ambayo yanasaidia mtoto katika ukuaji wake na kupata hamu ya Kula vizuri.

Nipigie 0657045331 Kwa maswali
Kumbuka Ni siku mbili tu haitajirudia hii offer
Only watu 6 TU WA Kwanza.

Check out mkwayaclinic's post.

05/07/2023

Mwanao anapitia changamoto hizi na ujue ufanyeje?

Karibu Mkwaya Clinic upate ushauri na tiba juu ya mwanao.

๐ŸŒนWatoto wenye utindio wa ubongo
๐ŸŒนviungo kukak**aaa na kushindwa kukunjuka
๐ŸŒนUsonji(autism)
๐ŸŒนkukojoa kitandani
๐ŸŒนmatatizo ya UTI wa mgongo na mifupa kuvunjika
๐ŸŒนKisahau sahau
๐ŸŒนMacho kutoona vizuri na mengine mengi ambayo ni changamoto kwa watoto wetu

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi kwa 0657045331


, #

Unapofanyiwa upasuaji unawekewa viungo bandia ili kukusaidia uendelee kupata mjongeo lakini ukweli ni kwamba zitakusaidi...
25/05/2023

Unapofanyiwa upasuaji unawekewa viungo bandia ili kukusaidia uendelee kupata mjongeo lakini ukweli ni kwamba zitakusaidia kwa muda na baadae maumivu na shida itatudi mara dufu.

Njoo tukusaidie kurudisha uwezo wa mwili kutengeneza gegedu(cartilage ) halisi na uteute ili mfumo huo usiwe na mabafiriko ya kiutendaji ambayo ndo yanayopelekea maumivu makali na gharama kubwa.

Kwa ushauri na huduma piga /whatsap 0657045331.


0657045331.
25/05/2023

0657045331.



Ni vyema kutibu changamoto hizi za mifupa na maungio mapema sana kabla hazijasababisha madhara MAKUBWA katika mwili.Na m...
25/05/2023

Ni vyema kutibu changamoto hizi za mifupa na maungio mapema sana kabla hazijasababisha madhara MAKUBWA katika mwili.

Na mara nyingi changamoto hizi zinaendana na utu uzima, na hasa pale ambapo gegedu(articulate cartilage)zinapolika na uteute (synovial fluid)kuisha katika maungio na kupelekea maumivu makali pindi mifupa inapoanza kusagana .

Wasaidie wapendwa wetu wazazi,wazee na wale wenye changamoto hizi za mifupa k**a magoti,mgongo,mabega ,nyonga na miguu wapate taarifa sahihi juu Kinga na tiba mapema kabla hawajapata madhara MAKUBWA k**a kushindwa kutembea na kuwa vilema kabisa.

Niko hapa kukuelimisha na kukupatia huduma ya kumaliza matatizo ya mifupa na maungio,nipigie
Au whatsap 0657045331.

ใ‚šviralใ‚ท2023 ใ‚š

NAMNA ya kutambua una Fangasi SUGU๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Nipigie nikuhudumie0657045331.
21/03/2023

NAMNA ya kutambua una Fangasi SUGU๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Nipigie nikuhudumie0657045331.

sugu ikikomaa HUSABABISHA madhara makubwa. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #255657055331

15/03/2023

Tezi dume kutanuka(uvimbe) ni hali ya tezi kuongezeka ukubwa yaani kutanuka hasa kwa wanaume wenye umri mkubwa zaidi ya miaka 60,hutatiza kukojoa,ugonjwa huu unazidi kuongezeka duniani kwani watu wanaishi maisha marefu zaidi siku hizi.

Tezi dume ni kiungo kidogo na ni sehemu Moja ya uzazi wa mwanaume.Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo wa njia itoayo mkojo, hupitia ndani ya tezi dume .Tezi dume ndiyo hutoa majimaji yabayobeba mbegu (manii) ya mwanaume

Kuna dalili,visababishi na madhara ya tezi dume,karibu uwasiliane NAMI nikuelekeze na kukushauri juu ya KUONDOKANA na changamoto hii.
Wasiliana NAMI kwa +255657 045 331 .

Happy Women's day to all women's in this world.Katika siku hii muhimu na kubwa kwa wanawake,Mimi Herieth ambaye nae ni m...
08/03/2023

Happy Women's day to all women's in this world.

Katika siku hii muhimu na kubwa kwa wanawake,Mimi Herieth ambaye nae ni mwanamke nimeamua kushare furaha hii na watu wangu wote ambao nimewahi kuwahidumia, au bado kwa kushusha gharama ya bidhaa zangu za Afya ili kutoa sadaka kwa siku hii ya Leo.

Kwa hiyo k**a we ni mgonjwa karibu tukuhudumie na utapata punguzo la bei 15% off kwa Kila bidhaa ambayo mtu anainunua Leo.

Na hii ni kwa JINSIA zote wanaume na wanawake,karibuni tuwahudumie na kulinda Afya zenu.

Wasiliana NAMI 0657045331 .

๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

USICHUKULIE POA maambuzi haya yanayowasumbua sana wanawake.Miwasho ukeni,fungus,maji machafu,u t.i ni Moja kati yaaambuk...
08/03/2023

USICHUKULIE POA maambuzi haya yanayowasumbua sana wanawake.

Miwasho ukeni,fungus,maji machafu,u t.i ni Moja kati yaaambukizi yanayosumbua wanawake wengi,je wewe Huwa unajiti vipi ukipata Hali k**a hizi?
Nashauri na ninatibu watu wenye shida/changamoto hizi za kiafya.

Mawasiliano 0657045331

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ #0657055331

Tibu PID kwanza mpaka iishe ndo ushike mimba.Watu wengi wamepitia madhara haya katika maisha Yao,Tupigie  #0657045331 tu...
04/03/2023

Tibu PID kwanza mpaka iishe ndo ushike mimba.

Watu wengi wamepitia madhara haya katika maisha Yao,

Tupigie #0657045331 tukushauri na kukutibia bila kuongeza kamikali yoyote mwilini mwako.. #

๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ # #0657055331

Mrejesho wa matumizi ya virutubisho ndani ya siku 4.Mzigo umefika Zanzibar jumatatu kaanza kutumia tiba juzi alhamis Kan...
04/03/2023

Mrejesho wa matumizi ya virutubisho ndani ya siku 4.

Mzigo umefika Zanzibar jumatatu kaanza kutumia tiba juzi alhamis Kanioa mrejesho wa kwanza huu,ni mtu mwenye changamoto ya PID na mimba kutoka Toka.

Karibu tukuhudumie ,tutakudikiliza, kukushauri na kukupatia tiba sahihi kwa changamoto yako.

Nipigie 0657045331.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ #+255657055331

Mara ya mwisho kufanya DETOX ni lini?Nini maana ya Detox?DETOX ni kifupisho cha neno DETOXIFICATION ikiwa na maana ya mc...
08/11/2022

Mara ya mwisho kufanya DETOX ni lini?
Nini maana ya Detox?

DETOX ni kifupisho cha neno DETOXIFICATION ikiwa na maana ya mchakato au kipindi cha muda flani ambacho mtu hujizuia kuingiza mwilini ama kuondoa dutu (substances) zenye sumu mwilini au ambazo hazina faida kiafya.

KUNA FAIDA GANI KUFANYA DETOX?
Kupunguza uzito uliozidi na kua na mmeng'enyo mzuri wa chakula
Kuongeza nguvu katika mwili. (boost energy levels)
Kupunguza uchochezi (inflammation)
Kua na ngozi yenye afya
Kuongeza kinga ya mwili
Kuamsha ari (mood) au kua mchangamfu.

DALILI ZINAZOASHIRIA KUA MWILI UNAHITAJI DETOX
Kuongezeka uzito
Kua na hamu ya kula hovyo na kupenda sana vitu vya sukari
Kuchoka mara kwa mara
Kutokupata usingizi wakati wa usiku
Kupungua kwa ufanisi wa kufikiri
Maumivu ya kichwa mara kwa mara
Kubadilika kwa mihemko mara kwa mara (mood swings)
Harufu mbaya ya kinywa na maeneo mengine
Kukosa choo au kupata choohh kigumu
Maumivu ya misuli
Matatizo ya ngozi (skin reactions)
KWA USHAURI ZAID PIGA 0657045331.

03/11/2022

Maambukizi ya U.T.I
0657045331.
UTI(Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe k**a bakteria,fangasi na virus. Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo.

UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha mkojo na figo

MFUMO WA MKOJO

Mfumo wa mkojo ni mfumo wa mwili unaotumika kuondoa uchafu na maJi ya ziada

Karibu tukuhudumie
Wasiliana nasi kwa 0657045331


.t.i

20/09/2022

Zifahamu sababu zinazopelekea changamoto za UTI wa mgongo .
*Disc kuwa dhaifu kutokana na upungufu wa virutubisho.
*Disc kutuna na uteute kutemwa na kupelekea disc kubonyezwa kwa sababu ya mgandamizo wa pingili ambapo huathiri mishipa ya fahamu.
* Ute kutemwa kutoka kwenye disc huathiri mishipa ya fahamu
*Disc kuwa nyembamba na kulika kabisa.

K**a unapitia katika Hali hii basi UTI wako wa mgongo umeanza kusagana hivyo ni vyema kutafuta tiba mapema kabla tatizo kuwa kubwa na kupelekea pingiri kulika sana au pingiri kuhama.
Karibu tukushauri piga 0657045331.


Address

Makumbusho Bus Stand
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 17:00
21:00 - 18:00

Telephone

+255763377079

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni Utajiri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share