Afya yako mtaji wako

Afya yako mtaji wako �Ushauri wa afya �Tiba & suluhisho �

karibu sana.

Kile ,unachokula & kula kina maamuzi juu ya Afya yakoZingatia SANA✍️
29/01/2025

Kile ,unachokula & kula kina maamuzi juu ya Afya yako

Zingatia SANA✍️

Ugojwa wa Ini , inawezekana kuzuiwaSWIPE LEFT 👉👉👉👉kujifunza zaidi
13/01/2025

Ugojwa wa Ini , inawezekana kuzuiwa

SWIPE LEFT 👉👉👉👉kujifunza zaidi

Ukawe na Jumatano iliyo njema
06/11/2024

Ukawe na Jumatano iliyo njema

Popote ulipo,tunakufikia, Usiteseke tena na changamoto Kiafya
05/11/2024

Popote ulipo,tunakufikia,

Usiteseke tena na changamoto Kiafya

Sumu zinaingia Mwilini,kutokana na sababu mbalimbali k**a vile ulaji usiofaa, unywaji wa Vinywaji vikali, Baadhi ya kazi...
10/09/2024

Sumu zinaingia Mwilini,kutokana na sababu mbalimbali k**a vile ulaji usiofaa, unywaji wa Vinywaji vikali, Baadhi ya kazi zinazohusisha Matumizi ya Vifaa vya Kemikali ,

Na zote hizi huaribu Ini & Figo kwa sababu zinashidwa kufanya kazi yake ya kuchuja Sumu na mwisho kupelekea Matatizo makubwa katika Viungo hivi .LINDA & TUNZA AFYA YA INI & FIGO ZAKO LEO

Kwa Lishe nzuri ya kutoa SUMU mwilini piga 0657868689

“[Kwanini Utumie Detoxilive] DETOXILIVE :Ni Bidhaa bora na ya Asili iliyotokana na mchanganyiko wa mimea na Matunda mbal...
05/09/2024

“[Kwanini Utumie Detoxilive] DETOXILIVE :Ni Bidhaa bora na ya Asili iliyotokana na mchanganyiko wa mimea na Matunda mbali mbali ambavyo vimekua vikitumika kutibu Maradhi Sugu katika nchi mbalimbali Duniani.

***Bidhaa Hii ni Muhimu sana Kwa kila Binadamu kutokana na kazi zake Mwilini na Katika organs K**a vile Figo, Ini ,Mapafu, Kongosho,Ubongo

1) Inatoa sumu zote mwilini.

2) Inaimarisha ubongo na kutunza kumbukumbu.

3) Inaondoa madhara ya pombe kwa wanywaji na kulinda ini na Figo.

4) Inaondoa mafuta yaliyozidi mwilin, baada ya kula hutumiwa Kuzuia kuota vitambi.

5) Inaondoa sukari iliyozid mwilin Na ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu (presha).

6) Inaleta usingizi Mzuri sana.

7)Ina ondoa URIC ACID mwilini.

8)Inaimarisha Utendaji Kazi Mzuri na kuzuia madhara kwenye Figo, Ini, Kongosho,mapafu.

9) Inazuia na kuondosha tatizo la Mawe Kwenye Figo na Kibofu cha mkojo.

10) Inazuia kuganda Kwa mafuta Tumboni ambayo hupelekea Kitambi.

11) NZURI Kwa wenye HOMA YA INI (hepatitis), pia husaidi kukukinga usipatwe na tatizo hilo

Au Tupigie
0687355391

NB: Mlundikano wa Sumu Nyingi Mwili ndio Chanzo Cha magonjwa mengi Sugu K**a Presha Mifupa uric Acid Sukari Figo Ini nk.

Price Tzs120,000/=

TIBU Vidonda vya Tumbo kwa kutumia Package hii Ambayo inasaidia kurejesha Probiotics Bacteria,kuponyesha majeraha KATIKA...
02/09/2024

TIBU Vidonda vya Tumbo kwa kutumia Package hii Ambayo inasaidia kurejesha Probiotics Bacteria,kuponyesha majeraha KATIKA MFUMO wa Mmengenyo wa chakula

Imarisha Afya yako ya Macho Leo kwa bidhaa hiiBei ya product ni 95000/= Tu
01/09/2024

Imarisha Afya yako ya Macho Leo kwa bidhaa hii

Bei ya product ni 95000/= Tu

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni nini? Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke  PID (pelvic inflammatory dis...
30/08/2024

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni nini? Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke PID (pelvic inflammatory disease) ni maambukizi ya bakteria kwenye shingo ya uzazi, mirija ya fallopio, ovari na tumbo la uzazi (uterasi)

Endapo unaangaika na hali hii ,wasiliana nasi kwa msaada zaidi
0657868689

Kwa sababu Magojwa Mengi kwa kipindi hiki k**a Kisukari,presha,Vidonda vya Tumbo, Bawasiri n.k hutokana na ulaji Mbovu n...
27/08/2024

Kwa sababu Magojwa Mengi kwa kipindi hiki k**a Kisukari,presha,Vidonda vya Tumbo, Bawasiri n.k hutokana na ulaji Mbovu na mtindo mbaya wa ulaji
Kwaiyo ZINGATIA ulaji Sahihi na Kwa wakati sahihi WENYE Lishe

Afya yako, ni jukumu letu wasiliana nasi kwa namba0657868689
27/08/2024

Afya yako, ni jukumu letu wasiliana nasi kwa namba
0657868689

Ukizingatia haya, utadhibiti Magojwa ya Figo na Ini
27/08/2024

Ukizingatia haya, utadhibiti Magojwa ya Figo na Ini

KUZUIA MAAMBUKIZI KATIKA MFUMO WA MKOJO1kunywa maji mengi,Lita tatu hadi Mme kila siku,maji huzimua Mkojo na kusaidia ku...
22/08/2024

KUZUIA MAAMBUKIZI KATIKA MFUMO WA MKOJO
1kunywa maji mengi,Lita tatu hadi Mme kila siku,maji huzimua Mkojo na kusaidia kutoa bacteria kwenye kibifu na njia ya Mkojo

2 kukojoa kila pale unapohisi Mkojo, Usihairishe Mkojo ,kuweka Mkojo kwa muda mrefu kuwapa Bacteria 🦠 nafasi ya kukua

3. Kula Vyakula vyenye Vitamin C ,k**a vile Matunda
4. Zuia kufunga Choo au TIBU hali hiyo mara Moja
5. Safisha sehemu za Siri ,mbele na Nyuma baada ya kufanya mapenzi ,kojoa bakla na baada ya Kufanya Mapenzi na kunywa glass ya maji baadaye

JE KUZUIA SARATANI YA KORODANI INAWEZEKANA?Mambo yafuatayo yanaweza kusaidia kupunguza uwezekano wa kupata Saratani hata...
22/08/2024

JE KUZUIA SARATANI YA KORODANI INAWEZEKANA?
Mambo yafuatayo yanaweza kusaidia kupunguza uwezekano wa kupata Saratani hatari ya Korodani
1. Imarisha Uzito wa Mwili unaofaa kwa Afya yako
2. Fanya Mazoezi ya mara kwa mara
3. Kula chakula Cha Afya kila wakati(Matunda zaidi na mboga ,na upunguze Nyama nyekundu na mafuta na Pombe)
4. Muone Daktari wako kila Mwaka ufanyiwe uchunguzi hususani k**a una Umri wa miaka zaidi ya 40

K**a wewe ni Mwanaume na una miaka 40+ soma Kwa Makini Dalili hizi, Endapo utaona Moja, zaidi au zote zinakugusa usichuk...
22/08/2024

K**a wewe ni Mwanaume na una miaka 40+ soma Kwa Makini Dalili hizi,
Endapo utaona Moja, zaidi au zote zinakugusa usichukulie Kawaida Anza kutafuta Ushauri na Matibabu kwa wakati kutoka Kwa Mshauri wa Afya

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255742878689

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako mtaji wako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share