13/11/2025
AHSANTENI SANA
Kwa miaka miwili mfululizo, mmekuwa sehemu ya safari yetu ya mafanikio kwa kuipendekeza na kuipigia kura Koudijs Animal Nutrition katika Tuzo za Ubora wa Bidhaa Afrika Mashariki (East Africa Brand Quality Awards) k**a Mtengenezaji Bora wa vyakula vya mifugo na virutubisho (Concentrates).
Ahsanteni kwa kutuamini💪
Tutaendelea kushirikiana nanyi bega kwa bega, kuhakikisha mnafikia malengo yenu ya ufugaji kupitia chakula chetu bora.