Afya na Hormone imbalance

Afya na Hormone imbalance Afya ni uhai
Ninasuluhisha mgonjwa yote kama vile
Hormone imbalance
Pid
kisukari
pressure

13/12/2023
SULUHISHO  LA UHAKIKA LINAPATIKANA CALL/WHATSAPP  +255764975124
12/10/2022

SULUHISHO LA UHAKIKA LINAPATIKANA
CALL/WHATSAPP +255764975124

Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya UTI na Fungus/PID/bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka).... (una...
11/10/2022

Hii nimeweka special kwa wanawake wanaochanganya UTI na Fungus/PID/bacterial vaginosis(kutokwa uchafu unaonuka).... (unakuta mtu anakwambia Dr natoka Sana uchafu unajaa kwenye Chupi,nimeaambiwa Ni UTI,nimetumia sana madawa haiponi,unabaki HUELEWI😁😁😁). 📌Mwanamke ana Vishimo viwili,cha juu ni NJIA ya mkojo,hapa mkojo Tu Hupita,na shimo la Chini ni VAGINA,UKE wenyewe hapa uume hupita,mtoto hupita wakati wa kuzaliwa lakin pia mwanamke akiwa period,damu Hupita Hapo..
UTI inahusiana na Njia ya JUU tu,yaan njia ya mkojo,na dalili zake ni kuumia wakati wa kukojoa,kukojoa mara kwa mara mkojo kidogo,kutoa mkojo wenye harufu kali sana

kutoka Uchafu unaonuka sana,kuwashwa Ukeni kwa ndani,maumivu wakati wa sex,chanzo ni NJIA hiyo ya chini,Vagina...inaweza kuwa Vaginal candidiasis yaan fungus,PID,au hata vaginosis,ila SIO UTI

Tunatoa ushauri na tiba kuhusu changamoto zote za uzazi kwa wanaume  na Wanamake
11/10/2022

Tunatoa ushauri na tiba kuhusu changamoto zote za uzazi kwa wanaume na Wanamake

Mvurugiko wa homon hupelekeaUke kuwa mkavu na kusababisha maumivu wakati wa tendo, husababisha mvurugiko wa hedhi nk. Wa...
11/10/2022

Mvurugiko wa homon hupelekea
Uke kuwa mkavu na kusababisha maumivu wakati wa tendo, husababisha mvurugiko wa hedhi nk. Wasiliana nasi upate ushauri na tiba ya uhakika
Call/Whatsapp +255764975124

Wote wa Dar zitawafikia mlipo Leo.Zanzibar mtazipokea SAA kumi jioni inshaallah.Nairobi,Mombasa na kampala, GOMA, KIGALI...
11/10/2022

Wote wa Dar zitawafikia mlipo Leo.
Zanzibar mtazipokea SAA kumi jioni inshaallah.
Nairobi,Mombasa na kampala, GOMA, KIGALI, Mtazipokea Leo hii insha'Allah
Arusha, Iringa, Lindi, Dodoma. Mwanza, Mbeya, Moshi ,Tanga mjini, Singida, kahama, Songea, Njombe,Tarime, Tabora nk

Kufanya ivyo kutakuongezea hatari ya kupata infection kwenye via vyako vya uzazi k**a kuwashwa , kutoa harufu mbaya ,kup...
09/10/2022

Kufanya ivyo kutakuongezea hatari ya kupata infection kwenye via vyako vya uzazi k**a kuwashwa , kutoa harufu mbaya ,kupata michubuko na maumivu wakati na baada ya tendo.

Call/Whatsapp +255764975124

Zingatia mlo kamili ili kuepuka maradhi sugu yasiyo ya kuambukiza mfanoPreshaSukariCholesterolMifupa , joint nk.Call/Wat...
09/10/2022

Zingatia mlo kamili ili kuepuka maradhi sugu yasiyo ya kuambukiza mfano
Presha
Sukari
Cholesterol
Mifupa , joint nk.

Call/Watsap +255764975124

Hizi baraka zikaambatane na wewe ambae bado. Call me / WhatsApp 0764975124
09/10/2022

Hizi baraka zikaambatane na wewe ambae bado.
Call me / WhatsApp 0764975124

Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichocheo katika mwili wa mwanamke.DALILI- Ukavu u...
09/10/2022

Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichocheo katika mwili wa mwanamke.

DALILI
- Ukavu ukeni
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
- Uchovu wa mara kwa mara
- Hasira za mara kwa mara
- Kukosa usingizi
- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
- (Allergie), kuchagua chagua vyakula
- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
- Maumivu ya viungo
- Upungufu wa nywele kichwani.
- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
- Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
- Kusinyaa na kupauka kwa
ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
- Maumivu ya kichwa mara kwa mara
- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
- Kutokupata choo kwa wakati

MADHARA

Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi k**a yafuatayo:
-Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
-Mimba kuharibika mara kwa mara
-Kukosa mtoto au Ugumba
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
-Kuzeeka mapema
-Kuziba kwa mirija ya uzazi
-Uvimbe (Fibroids )

Call/Whatsapp +255764975124

*SABABU ZA UKE KUWA MKAVU*Ikimbukwe ni salama kwa uke kuwa mkavu katika mazingira yasiyo ya kujamiiana. Pia sio kiafya k...
08/10/2022

*SABABU ZA UKE KUWA MKAVU*
Ikimbukwe ni salama kwa uke kuwa mkavu katika mazingira yasiyo ya kujamiiana. Pia sio kiafya kwa uke kuwa mkavu wakati wa kujamiana na pia wakati mwingine huwa ni tatizo la kiafya.

👉Maandalizi yasiyotosheleza kabla ya kujamiana husababisha uke kuwa mkavu maana mwanamke anakuwa hayuko tayari kiakili kufanya tendo la kujamiiana.

👉Kukauka kwa uke katika umri wa 45+ huwa ni kiashiria cha ukomo wa hedhi kwa mwanamke. Lakini k**a uke unakauka chini ya miaka 45 huwa ni tatizo la Afya ambalo huweza kuchangiwa na fangasi katika uke na kutokukaa sawa kwa homoni (hormonal imbalance) kwa mwanamke. Inashauriwa Mwanamke amuone Dactari k**a ana tatizo hili ili apate ushauri zaidi, pia matumizi ya vilainishi k**a K-Y jelly wakati wa kushiriki tendo la ndoa yameonyesha kusaidia katika hili tatizo.

👉Kutokuwa na hisia wakati wa tendo la ndoa pia kutokuwa na mapenzi na mwanaume unayeshiriki nayetendo la ndoa. Yote husababisha uke kuwa mkavu

👉Ufanyaji wa tendo la ndoa kwa muda mrefu mfano masaa mawili. Pia msongo wa mawazo kwa Mwanamke na kutokuwa interested kiakili na kimazingira na tendo lile la ndoa. Pia ufanyaji mbovu wa tendo la ndoa mfano wanasema 'nje ndani nje ndani bila kuwepo na kuliwazana na kuwasiliana katika tendo la ndoa'. Yote hupelekea uke kuwa mkavu wakati wa tendo la ndoa.

Call/Whatsapp +255764975124

Tabia Hatarishi Zinazopelekea Uugue PID.Kwa kiasi kikubwa wanawake waliopo chini ya umri wa miaka 35 wanaathirika zaidi ...
08/10/2022

Tabia Hatarishi Zinazopelekea Uugue PID.

Kwa kiasi kikubwa wanawake waliopo chini ya umri wa miaka 35 wanaathirika zaidi na maambukizi kwenye njia za uzazi. Hii ni kutokana na kwamba wanajihusisha zaidi na ngono. Tumeona hapo juu kwamba kutokutibiwa vyema kwa maradhi ya gonorrhea na chlamydia ndio chanzo kikubwa cha PID.
Achilia mbali sababu hii, baadhi ya bacteria wengine wanaweza pia kusababisha PID. Bacteria wengine wanaweza kuambukizwa wakati wa tendo la ngono au wakati wa kujifungua, au kwenye kitendo cha utoaji mimba na kisha wakajificha kwenye njia ya uzazi wakaanza kukua taratibu na kusambaa. Baadhi ya bacteria ambao wamegundulia kusababisha PID ni hawa wafuatao

Chlamydia trachomatis

Neisseria gonorrheae

Mycoplasma genitalium

Kumbe kuharibu mimba au mimba kuharibik kunawez karibisha bacteria watakao eneza PID
📞/Whatsapp +25764975124

PID inaweza kusambaaMaambukizi kwenye njia ya uzazi (PID) yana tabia ya kusambaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Ndi...
08/10/2022

PID inaweza kusambaa

Maambukizi kwenye njia ya uzazi (PID) yana tabia ya kusambaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Ndio maana kuna umuhimu wa kutibu tatizo hili mapema. Maambukizi haya yanaweza kusambaa kutoka kwenye uke mpaka sehemu zingine za uzazi wa mwanamke k**a mirija ya uzazi, mifuko ya mayai(ovari) na kwenye shingo ya kizazi(cervix).
Maambukuzi haya yanaweza kusababisha makovu kwenye mirija ya uzazi na kupelekea kupata ectopic pregnancy . Ectopic ni mimba iliyotungwa na kushindwa kusafiri kuelekea kwenye mfuko wa mimba(uterus) kutokana na majeraha kwenye mirija.

Tatizo hili linatibika na kupona

MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI.Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa ...
05/10/2022

MADHARA YA MVURUGIKO WA
HOMONI.
Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi k**a yafuatayo
⏩Kutoshika ujauzito kwa
muda mrefu.
⏩Mimba kuharibika mara
kwa mara.
⏩Kukosa mtoto au Ugumba
⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
⏩Kuwa na tabia na maumbile ya kiume.
⏩UTI (Urinary Tract Infection) ya mara. �
⏩Kuzeeka mapema
⏩Kuziba kwa mirija ya uzazi
⏩Saratani ya matiti ,kizazi au shingo ya kizazi.
⏩Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)
Suluhisho la kudumu linapatikana
Call/WHATSAPP 0764975124

Shikamoo mimba!Hii mimba ni kiboko
05/10/2022

Shikamoo mimba!
Hii mimba ni kiboko

JINSI YA KUSAFISHA VIA VYA UZAZI NA KUJIKINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA U.T.I, FANGASI NA KISONONOwanawakesehemu ya tatu2- ...
05/10/2022

JINSI YA KUSAFISHA VIA VYA UZAZI NA KUJIKINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA U.T.I, FANGASI NA KISONONO

wanawake

sehemu ya tatu

2- Vaa nguo za ndani zenye matilio ya pamba, maana pamba hufyonza unyevunyevu kwa urahisi na kukuweka mkavu zaidi ili usizalishe bakteria waharibifu.

Wanawake wengi wanavaa nguo zisizopitisha hewa maungoni mwao, tena ni nguo zenye kubana sana kiasi cha kutengeneza fukuto na mseto wa uchafu mwingi sana ukeni, na mbaya zaidi hushinda kwenye mihangaiko ya kiuchumi na umma, hivyo kupata muda wa kufanya usafi unakosa hadi pale warudipo majumbani mwao.

Kwa tabia hii huwezi kujikinga na maambukizi ya bakteria na fangasi hata kidogo.

SWALI

Hivi wanawake mnaweza kujitetea kwanini mnavaa nguo nyingi na zilizobana sana maungo yenu.

Je? mngepewa maungo ya kiume (mobile) si mngeyafunga kamba kabisa! maungo ya k**e yametulia tofauti na ya kiume hivyo hakuna sababu ya kuyabana sana.

K**a hauko kwenye siku zako (hujavaa pad) huhitaji kujitundika minguo mingi na iliyobana, maungo yenu yanahitaji hewa ya oksijeni ya kutosha kuliko kitu chochote, vaa andawea yoyote tepetepe tu ili hewa ipite kwa Wingi.

Inaendelea

JINSI YA KUSAFISHA VIA VYA UZAZI NA KUJIKINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA U.T.I, FANGASI NA KISONONO.Wanaume/wanawakesehemu y...
05/10/2022

JINSI YA KUSAFISHA VIA VYA UZAZI NA KUJIKINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA U.T.I, FANGASI NA KISONONO.

Wanaume/wanawake

sehemu ya pili

1- Kunywa maji mengi sana kwa siku, ama kunywa maji mengi sana baada ya kufanya tendo la ngono/ndoa, na kabla ya tendo la ngono/ndoa ili upate mkojo mwingi na ukojoe sana. Kwani kufanya hivyo utakuwa unasafisha kibofu chako na kuwaondoa bakteria wabaya ambao yawezekana tayari wameanza kunyemelea via vya uzazi.

Wanawake wengi hawapendi kabisa kunywa maji kwa kuhofia kukujoa mara kwa mara, pia kwao hali hii huchukuliwa kuwa ni usumbufu. Lakini k**a wewe ni mwanamke unayejitambua basi badilisha mtazamo wako dhidi ya unywaji maji, utaepuka maradhi mengi sana zaidi ya u.t.i na fangasi.

Inaendelea 👉

MADA KUUJINSI YA KUTUNZA VIA VYA UZAZI DHIDI YA MAAMBUKIZI YA BAKTERIA NA FANGASI.utangulizisehemu ya kwanzaUbora wa via...
05/10/2022

MADA KUU

JINSI YA KUTUNZA VIA VYA UZAZI DHIDI YA MAAMBUKIZI YA BAKTERIA NA FANGASI.

utangulizi

sehemu ya kwanza

Ubora wa via vya uzazi kwa wanawake hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine kutegemeana na maumbile au kiwango cha usafi na utunzaji wake. Uke na mashavu ya uke ndiyo huathirika zaidi kutokana na uwepo wa joto jingi, na unyevunyevu unaoongeza nafasi ya uzalishwaji bakteria waharibifu kwa wingi.

Via vya mwanamke huwa na asili ya utindikali (lactic acid, 4.5 normal PH) ambayo husaidia uzalishwaji wa bakteria rafiki na walinzi pia (normal flora) wajulikanao k**a lactobacillus acidophillus na kazi yao kuu ni kupambana dhidi ya fangusi pamoja na bakteria wabaya ukeni muda wote.

Kipengele kinachofata hapo juu kitaelezea makundi mawili ambayo LACTOBACILLUS ACIDOPHILUS hupambana nayo kwenye via vya uzazi vya mwanamke.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Hormone imbalance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya na Hormone imbalance:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram