Ntomola Herbal Clinic

Ntomola Herbal Clinic herbal medicine

JE UNATESEKA NA MARADHI YA VIUNGO au  MIFUPA.?............................................................ SASA SULUHISH...
27/10/2024

JE UNATESEKA NA MARADHI YA VIUNGO au MIFUPA.?............................................................
SASA SULUHISHO LIMEPATIKANA HATA K**A NIMZEE ANAZAID YA MIAKA 80, USIKATE TAMAA WEWE UNAETESEKA NA MARADHI HAYO

"KARIBU,"NTOMOLA HERBAL MEDICINE" "TUMEKULETEA DAWA BORA YA ASILI KABBSA,

JOINT PAIN DISEASE
NIDAWA BORA INAYOTIB YAFUATAYO:
1) MAUMIVU YA KIUNO,MGONGO,MIGUU NA VISIGINO
2) INAONDOA UCHOV WA MWILI
3) INATIBU MAGOT KUUMA NA KUVIMBA
4) INATIBU TATIZO LA PINGILI ZA KIUNO NA MGONGO
5) HUTIBU (GAUT) URIC ACID
6) INAONGEZA UTE UTE KWENYE VIUNGO NA MIFUPA YA MWILI
7) INATIBU ROMATISM AU BARIDI KWENYE MIFUPA
8) INAONGEZA CULCIUM NA KUIMARISHA MIFUPA
9) INASAIDIA KUUNGA MIFUPA KWA HARAKA KWA ALIEVUNJIKA
10) INAUWEZO WAKUTIBU STOCK AU MTU ALIEPOOZA VIUNGO VYA MWILI
11) INAONDOA MAUMIVU MAKALI YA MIFUPA INAYOSABABISHWA NA MIFUPA KUSAGANA.
12) HUONDOA MAUMIVU YA MIFUPA HATA K**A NIMZEE WA WAZID YA MIAKA 80 NIDAWA BORA NA NZUR SANNA.

BEI YA DAWA NI TSH;120,000

TUNAPATIKANA MTAA WA LIVINGSTON & MAHIWA KARIB NA MSKITI WA MTORO

WASILIANA NA Dr, muzammilu KWA NAMBAR ZIFUATAZO

WHATSAPP📞 0784 989894
📞0718 214545
KARIBUNI.

JE UNATESEKA NA MARADHI YA VIUNGO au  MIFUPA.?............................................................ SASA SULUHISH...
31/01/2024

JE UNATESEKA NA MARADHI YA VIUNGO au MIFUPA.?............................................................
SASA SULUHISHO LIMEPATIKANA HATA K**A NIMZEE ANAZAID YA MIAKA 80, USIKATE TAMAA WEWE UNAETESEKA NA MARADHI HAYO

"KARIBU,"NTOMOLA HERBAL MEDICINE" "TUMEKULETEA DAWA BORA YA ASILI KABBSA,

JOINT PAIN DISEASE
NIDAWA BORA INAYOTIB YAFUATAYO:
1) MAUMIVU YA KIUNO,MGONGO,MIGUU NA VISIGINO
2) INAONDOA UCHOV WA MWILI
3) INATIBU MAGOT KUUMA NA KUVIMBA
4) INATIBU TATIZO LA PINGILI ZA KIUNO NA MGONGO
5) HUTIBU (GAUT) URIC ACID
6) INAONGEZA UTE UTE KWENYE VIUNGO NA MIFUPA YA MWILI
7) INATIBU ROMATISM AU BARIDI KWENYE MIFUPA
8) INAONGEZA CULCIUM NA KUIMARISHA MIFUPA
9) INASAIDIA KUUNGA MIFUPA KWA HARAKA KWA ALIEVUNJIKA
10) INAUWEZO WAKUTIBU STOCK AU MTU ALIEPOOZA VIUNGO VYA MWILI
11) INAONDOA MAUMIVU MAKALI YA MIFUPA INAYOSABABISHWA NA MIFUPA KUSAGANA.
12) HUONDOA MAUMIVU YA MIFUPA HATA K**A NIMZEE WA WAZID YA MIAKA 80 NIDAWA BORA NA NZUR SANNA.

BEI YA DAWA NI TSH;120,000

TUNAPATIKANA MTAA WA LIVINGSTON & MAHIWA KARIB NA MSKITI WA MTORO

WASILIANA NA Dr, muzammilu KWA NAMBAR ZIFUATAZO

WHATSAPP📞 0784 989894
📞0718 214545
KARIBUNI.

Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni/ Sehemu Za Siri(Vaginal Thrush)Uke Ni Kiungo Cha Uzazi Wa Mwanamke, Ambamo Ndani Yake Kuna L...
10/06/2023

Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni/ Sehemu Za Siri
(Vaginal Thrush)

Uke Ni Kiungo Cha Uzazi Wa Mwanamke, Ambamo Ndani Yake Kuna Lactobacillus Bacteria Na Fangasi Wazuri Abao Wako Katika Kiwango Kinacho Lingana/a Balanced Mix. Bacteria Hawa Na Fangasi Hizi Husaidia Sana Kuulinda Uke Na Maradhi Mbalimbali Endapo Uwiano Wake Hauta Bughuziwa. Lactobacillus Bakteria Hutoa Acid Ambazo Huzuia Fangasi Kukuwa Au Kuwa Wengi Zaidi.

ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni Ni Ugonjwa Anaoupata Mwanamke Endapo Fangasi Watakuwa Wengi Zaidi Ya Bacteria Wazuri Waliopo Ukeni Au K**a Ph Ya Ukeni Imezidi Kiwango Cha Kawaida Kinachopaswa(Ph 3.5-4.5 Ndio Kiwango Kizuri Kiafya).

fangasi Za Ukeni Mara Nyingi Husababishwa Na Fangasi Waitwao Candida Albicans, Lakini Wakati Mwingine Ni Aina Nyingine Za Fangasi Na Hizi Ni Vigumu Sana Kutibika

vitu Vinavyoweza Kusababisha Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni

kunasababu Nyingi Sana Baadhi Ya Hizo Ni;

1.Matatizo Ya Homoni(Homoni Za Kubadilika/kuwanyingi Sana Au Kushuka Sana) Hii Inaweza Kusahabishwa Na; Ukomo Wa Hedhi,ujauzito, (Mp)kuwa Katika Siku Za Mwezi, Matumizi Ya Dawa Za Kuongeza Kiwango Cha Hormon Za K**e

2. Matumizi Ya Antibiotics Hizi Huuwa Bacteria Wazuri Na Kubadiri Ph Ya Uke

3. Kufanya Mapenzi Na Mtu Aliye Na Ugonjwa Wa Fangasi Za Sehemu Za Siri Bila Kinga

4. Kushuka Kwa Kinga Ya Mwili Hii Inaweza Kusababishwa Na Magonjwa Mbalimbali K**a Ukimwi, Kisukari, Upungufu Wa Madini,vitamini Na Virutubishi Mbalimbali Vya Mwili.

5. Ulaji Mbaya Hasa Kupendelea Vyakula Vyenye Sukari Kwa Wingi (Sukari Ni Chakula Kwa Fangas Hivyo Huongezeka).

6. Kukosa Usingizi Na Msongo Wa Mawazo .

dalili Zinazoonesha Kuwa Unaugonjwa Wa Fangas Za Ukeni

kuna Dalili Nyingi Sana K**a Zifuatavyo;

🔹Muwasho Sehemu Za Siri

🔹Vipele Vidogo Vidogo Ukeni

🔹Kutokwa Uchafu Mweupe Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya

🔹Vidonda Au Michubuko Ukeni

🔹Kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni

🔹Kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo La Ndoa

🔹Kuvimba Na Kuwa Mwekundu Katika Mdomo Wa Nje Wa Uke

🔹Kuwaka Moto Ndani Na Nje Ya Uke

kinga Ya Fangasi Za K**e

1. Epuka Kusafisha Uke Kwa Kutumia Vitu Vyenye Kemikali K**a Sabuni

2. Epuka Kutumia Marashi Yenye Chemikali Ukeni Na Kuingiza Vitu Mbàlimbali Ukeni K**a Vidole, Asali, Mgagani N.k

3. Epuka Kutawadha Kutokea Nyuma Kwenda Mbele Baada Ya Kujisaidia Haja Kubwa Au Ndogo

4. Mtibu Mpenzi Wako Alie Na Ugonjwa Wa Fangasi

5. Safisha Uke Na Kujifuta Kwa Kitambaa Safi Ilikuuacha Mkavu

6. Hakikisha Kinga Ya Mwili Wako Iko Juu

7. Vaa Chupi Zitengenezavyo Kwa Vitu Harisi K**a Pamba Na Hariri

8. Epuka Ulaji Mbaya Wa Chakula Hasa Punguza Vyakula Vyenye Kukupayia Sukari Kwa Wingi Mwilini

9. Tumia Pads Zisizo Na Kemikali Na Zenye Vitu Vya Kukulinda Na Maambukizi,kukufanya Uwe Mkavu Na Huru.

N:B Ni Muhimu Kutumia Dawa Za Asili Za Virutubisho Na Kuacha Zenye Kemikali Wakati Wa Kutibu Fangasi Za Ukeni.
kwa Maelezo Zaidi,
maoni Na Ushauri

matibabu Ya Fangasi Sugu Na Za Kawaida wasiliana nasi kwa namba zilizoko hapa chini.
Dr. Muzammilu R Ntomola ✍🏾
+255784989894📞
+255718214545📞

UGONJWA WA NGIRIJinsi ugonjwa wa ngiri unavyoathiri nguvu za kiume Ngiri hujulikana pia k**a “Hernia” kwa Kiingereza. Ug...
05/06/2023

UGONJWA WA NGIRI
Jinsi ugonjwa wa ngiri unavyoathiri nguvu za kiume

Ngiri hujulikana pia k**a “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake. Au kuta hizo kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo.

Tunaweza kuufahamu zaidi ugonjwa wa ngiri k**a hali inayotokea katika mwili ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu iliyo dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu inayoathiriwa mara nyingi ni maeneo ya tumbo, kokwa, pumbu na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri.

Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya:
Tumboni
Eneo la kinena
Eneo la paja kwa juu
Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma
Kifuani n.k.
Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote.

Aina za Ngiri:

Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza.

1. Ngiri maji – Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu k**a (hydrocele)
2. Ngiri kavu (Hernia) – hujulikana pia k**a ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume
3. Ngiri ya kwenye kifua – hujulikana pia kitaalamu k**a ‘hiatus hernia’
4. Ngiri ya tumbo – hujulikana pia k**a ‘abdominal hernia’
5. Ngiri ya kwenye kitovu – hujulikana pia k**a ‘umbilical hernia”
6. Ngiri ya sehemu ya haja kubwa – hujulikana pia k**a ‘anal hernia’

Dalili za aina zote za ngiri hazitofautiani sana na ngiri hujitokeza bila maumivu yoyote ingawa kuna baadhi ya ngili hua na maumivu makali hutegemea ngiri ilivotokeza.

Ngiri ya kwenye kinena

Ingiri ya kwenye kinena ambayo kitaalamu huitwa 'inguinal hernia' hutokea wakati tishu laini hujitokeza kupitia eneo la udhaifu au kasoro katika misuli yako ya chini ya tumbo. Mara nyingi huwa karibu na eneo la kinena. Mtu yeyote anaweza kupata henia hii, lakini ni kawaida zaidi kwa wanaume kuliko wanawake.

Upasuaji sio lazima kila wakati, lakini henia kwa ujumla henia inasumbua sana bila hiyo. Katika baadhi ya matukio, henia isiyotibiwa inaweza kuwa hatari ya kutishia maisha. Ingawa kuna madhara na hatari zinazohusiana na upasuaji, watu wengi wana matokeo mazuri.

Nini husababisha ngiri ya kinenani?

Sababu ya ngiri ya kinenani haijulikani, lakini inaweza kuwa ni matokeo ya maeneo dhaifu katika ukuta wa tumbo. Ulegevu unaweza kuwa kutokana na kasoro zilizopo wakati wa kuzaliwa au mwili kuingiliwa na sumu baadaye katika maisha.
Baadhi ya sababu za hatari zinazoweza kusababisha kutokeza henia ya kinenani ni pamoja na:

Maji au shinikizo katika tumbo
Kuinua nzito, k**a vile 'weightlifting'
Kufunga choo (kusukuma choo kwa nguvu nyingi wakati wa kujisaidia haja kubwa)
Kikohozi cha muda mrefu
Mimba

Watu wazima na watoto wanaweza kupata henia ya kinenani. Wanaume wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata henia ya kinenani. Watu wenye historia ya ngiri wanakuwa katika hatari kubwa zaidi ya kuwa na ngiri nyingine pia. Ngiri ya pili hutokea kwa upande mwingine.

Je! ni zipi dalili za henia ya kinena?

Dalili za ngiri ya kwenye kinena zinajumuisha maumivu au, shinikizo, hasa wakati wa kuinua kitu, au kukohoa. Dalili hizi kawaida hupungua wakati wa kupumzika. Wanaume pia wanaweza kuwa na uvimbe katika eneo la ngiri.

Je, unahitaji upasuaji?

Kwa kawaida upasuaji haupendekezwi k**a henia haijasababisha tatizo. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba wangonjwa wengi hutibiwa kwa dawa zetu za asili, wachache sana hupona kwa upasuaji. Daktari wako anaweza kupendekeza tiba gani utumie kulingana na tatizo lako litakavokuwa

Hernia inaweza kuwa hatari sana ikiwa matumbo yako yamepotoka au kupigwa. Ikiwa hii itatokea, unaweza kuwa na:
Homa
Kiwango cha moyo kilichoongezeka
Maumivu
Kichefuchefu
Kutapika
Uvimbe kuwa giza

Ikiwa una dalili hizi yoyote, wasiliana na daktari wako mara moja.

Je, ngiri huathiri nguvu za

Hata hivyo, henia ambayo imeshakuwa kubwa inaweza kuathiri nguvu za kiume - - huathiri utendaji wa mishipa ya neva iliyo kwenye uume/korodani na hali ya homoni. Ukosefu wa homoni ya testosterone inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Upasuaji wa ngiri unaweza kusababisha shida katika korodani kufanya uwezekano wa homoni ya testosterone kuwa chini. Hata hivyo, kwa sababu watu wengi wana korodani mbili, hata k**a moja inaweza kuwa na shida, nyingine inaweza kuzalisha viwango vya kutosha vya homoni. Ngiri pia huweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kuharibu mishipa ya neva iliyo kwenye uume.

Calls & whatsap 0784 989894

SULUHISHO LA MARADHI YA MIFUPA SASA LIMEPATIKANA HATA K**A NIMZEE ANAZAID YA MIAKA 80 MPATIE JOINT PAIN DISEASENIDAWA BO...
05/06/2023

SULUHISHO LA MARADHI YA MIFUPA SASA LIMEPATIKANA HATA K**A NIMZEE ANAZAID YA MIAKA 80 MPATIE

JOINT PAIN DISEASE
NIDAWA BORA INAYOTIB YAFUATAYO:
1) MAUMIVU YA KIUNO,MGONGO,MIGUU NA VISIGINO
2) INAONDOA UCHOV WA MWILI
3) INATIBU MAGOT KUUMA NA KUVIMBA
4) INATIBU TATIZO LA PINGILI ZA KIUNO NA MGONGO
5) HUTIBU (GAUT) URIC ACID
6) INAONGEZA UTE UTE KWENYE VIUNGO NA MIFUPA YA MWILI
7) INATIBU ROMATISM AU BARIDI KWENYE MIFUPA
8) INAONGEZA CULCIUM NA KUIMARISHA MIFUPA
9) INASAIDIA KUUNGA MIFUPA KWA HARAKA KWA ALIEVUNJIKA
10) INAUWEZO WAKUTIBU STOCK AU MTU ALIEPOOZA VIUNGO VYA MWILI
11) INAONDOA MAUMIVU MAKALI YA MIFUPA INAYOSABABISHWA NA MIFUPA KUSAGANA.
12) HUONDOA MAUMIVU YA MIFUPA HATA K**A NIMZEE WA WAZID YA MIAKA 80 NIDAWA BORA NA NZUR SANNA.

BEI YA DAWA NI TSH;120,000

TUNAPATIKANA MTAA WA LIVINGSTON & MAHIWA KARIB NA MSKITI WA MTORO

WASILIANA NA Dr, muzammilu KWA NAMBAR ZIFUATAZO

WHATSAPP📞 0784 989894
📞0718 214545
KARIBUNI.

31/05/2023
18/05/2023

herbal medicine

*ZIJUE FAIDA ZA  MAFUTA YA ZAITUNI (OLIVA OIL)*1)kungarisha ngozi mafuta ya mzaituni ni mazuri sana kwa matumizi ya kupa...
07/02/2023

*ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA ZAITUNI (OLIVA OIL)*

1)kungarisha ngozi mafuta ya mzaituni ni mazuri sana kwa matumizi ya kupaka kwenye ngozi yako yanafanya ngozi iwe laini na kuondoa mikunjo ya ngozi pia mafuta mzaituni ni mazuri.sana kwa watoto wadogo.

2)huzuia allergy mchafuko wa damu tumia vifuniko viwili changanya na mafuta habat soda kifuniko 1 kunywa kutwa x 2 kwa muda wa siku saba au unaweza kuchanga kwenye uji ukawa unanywea kwenye uji.

4)kufanya ngozi nywele zako kung'aa tumia kwa kupata tu.

5) huzuia magonjwa ya moyo kula tunda 1 na 1 jioni kwa muda wa siku 14 tiba hii itakusaidia kuzuia magonjwa ya moyo.

6)hufukuza mashaitwani chukua mafuta ya mzaituni changanya na harititi tumia kupaka mwili mzima usiku wakati wa kulala hakika kwa tiba hii sheitwani.atakaa mbali nawewe.

7)ugonjwa wa kusahau sahau chukua mafuta ya mzaituni changanya na mafuta ya misk tumia kupakaa kwenye paji la uso.

8)huondoa sihri (uchawi)mwilini chukua mafuta ya mzaituni vijiko viwili changanya na mafuta ya habat soda vijiko viwili kunywa yote kwa pamoja fanya zoezi hilo kwa muda wa siku saba uwe unakunywa usiku wakati wa kulala hakika tiba hii ni nzuri sana hata k**a una vitu vinatembea tumboni vitatoka kwa idhini ya Allah.

9)kurefusha nywele pakaa kichwani kila siku utaona matokeo.

10)hutibu tatizo la mba chukua mafuta ya mzaituni ml.50 changanya na unga wa salufa (kibiliti upele) kijiko kidogo cha chai.changanya dawa yako vizuri tumia kupakaa kutwa x mbili ukitaka kuanza tiba hii nyoa upala. Kisha anza kutumia dawa nakupa siku 7 tu utakua huna mba wala mapunye.

11)hutibu maumivu ya misuli chukua mafuta ya mzaituni changanya na alimiti tumia kuchua sehemu yenye maumivu dawa hii inatibu
*maumivu ya kiuno chua
*maumivu ya mgongo chua
*ganzi ya mikono na miguu chua
*kiharusi chua
*miguu kuwaka moto chua
*maumivu ya kichwa (kipanda uso) pakaa kichwani
*mafua pakaa kwenye tundu za pua kwa nje.

Kwatiba,nasaha, ushauri wasiliana na Dr muzammilu tunapatukana Kariyakoo mtaa Livingston na mahiwa Dar es Salaam

📞+255784 989894
📞+255718 214545

Address

Mahiwa Street & Livingston Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255784989894

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ntomola Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram