10/11/2021
*KWA NINI MTU ATUMIE FOOD SUPPLEMENTS*
Kwa nini watu wana opt
kwenye food supplements.Jibu halisi la swali lako linapatikana katika swali kwa nini tunakula chakula?
Tunakula ili miili yetu iweze kupata virutubisho, miili ivitumie hivyo virutubisho kuupa mwili nguvu uweze kufanya kazi yake vizuri. According to World Health Organization (WHO) *Tunapaswa kula k**a ifuatavyo:*
1. nafaka ambazo hazijakobolewa (lipids and sterols)
2. mboga na matunda (fruits and vegetables) 5 to 9 types a day
3. protein
4. mafuta yasiyoganda kwa urahisi (unsaturated fats)
5. carbohydrates (sukari)
Mpangilio huo hapo juu unaashiria umuhimu wa chakula, yaani sehemu kubwa ya chakula chetu inapaswa kuwa lipids, ikifuatiwa na fruits and veg, protein, unsaturated fats na sukari.
Lakini asilimia 99 ya watu hula kinyume: sehemu kubwa tunakula sukari na mafuta yanayoganda, protein, matunda na mboga kidogo sana, nafaka zisizokobolewa ndio hatuli kabisa.
*Nini matokeo ya kula kinyume na maagizo ya WHO? MAGONJWA* :
1.Uchovu
2.Kisukari
3.Blood pressure
4.Cancer
5.Impotency
6.Heart attack
7.Stroke etc.
*Kwa nini watu wasile fresh food?*
Ukweli ni kwamba ni vigumu mno kupata virutubisho vyote vinavyotakiwa mwilini kwenye vyakula vya siku hizi.
*Kwa nini?*
Sababu ni nyingi sana mfano *uharibifu wa mazingira* umechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza uwezo wa ardhi.
Pili muda wa kuvuna vyakula shambani mpaka kumfikia mlaji unachangia kwa kiasi kikubwa sana upotevu wa virutubisho. Chukulia chungwa ambalo lina vitamin c nyingi sana, dakika 15 tu baada ya kuchumwa vitamini c yote inakuwa imeondoka na kubaki fructose tu! Sasa piga hesabu wewe mwenyewe uone chungwa linalotoka Tanga kuja Dar es Salaam litakuwa katika hali gani? Na hii ni hivyo hivyo katika vyakula vyote.
*Suluhisho ninini?*
Solution ni kupata vyakula mbadala (food supplements )! Kwa nini? Kwa sababu ni vyakula halisi vimetengenezwa kwa technologia ya hali ya juu kuhakikisha mwili unapata exactly unachotakiwa kupata (natural,