New Wave Ultrasound

  • Home
  • New Wave Ultrasound

New Wave Ultrasound Kila siku: jumatatu hadi jumapili saa 2.30 mpaka 11 jioni

Tunapatikana Tabata Posta, Dar es salaam, Mtaa wa Malecela karibu na TANESCO: Tunapima Ultrasound ya matiti, wajawazito, korodani, busha, mishipa,uvimbe, & kipimo cha Moyo.

Tunapima tezi dude kwa Ultrasound.  Karibuni
17/01/2024

Tunapima tezi dude kwa Ultrasound. Karibuni

04/01/2024
Tupo wazi December hii yote.  Uje upime afya yako kabla ya mwaka kuisha. Uanze mwaka ukijua afya yako.
05/12/2023

Tupo wazi December hii yote. Uje upime afya yako kabla ya mwaka kuisha. Uanze mwaka ukijua afya yako.

Uterine Fibroids zinaweza kugundulikwa kwa kutumia ultrasound ya tumbo
04/12/2023

Uterine Fibroids zinaweza kugundulikwa kwa kutumia ultrasound ya tumbo

World Aids Day
01/12/2023

World Aids Day

Ultrasound ina uwezo wa kuchunguza vyanzo vingi vya maumivu ya tumbo. Usisubiri maumivu kuzidi, karibu  upime ujue chanz...
29/11/2023

Ultrasound ina uwezo wa kuchunguza vyanzo vingi vya maumivu ya tumbo. Usisubiri maumivu kuzidi, karibu upime ujue chanzo.

Mambo 6 ya kuangalia wakati wa kufanya ultrasound ya mama mjamzito.
28/11/2023

Mambo 6 ya kuangalia wakati wa kufanya ultrasound ya mama mjamzito.

Ukipima ultrasound ya mimba, daktari atakwambia k**a kuna mimba, na k**a mtoto yupo hai, na je ni wangapi?, na maji k**a...
26/11/2023

Ukipima ultrasound ya mimba, daktari atakwambia k**a kuna mimba, na k**a mtoto yupo hai, na je ni wangapi?, na maji k**a yanatosha, mlalo wa mtoto, na kondo limekaa upande gani wa kizazi.

Baadhi ya sababu za maumivu ya tumbo zinaweza kugundulika kwa kutumia ultrasound. Karibu upime ultrasound utambue kinach...
23/11/2023

Baadhi ya sababu za maumivu ya tumbo zinaweza kugundulika kwa kutumia ultrasound. Karibu upime ultrasound utambue kinachokusumbua.

Usidharau maumivu ya tumbo: makali au ya muda mrefu. Na ultrasound ina uwezo wa kutambua baadhi ya vyanzo vya maumivu ha...
23/11/2023

Usidharau maumivu ya tumbo: makali au ya muda mrefu. Na ultrasound ina uwezo wa kutambua baadhi ya vyanzo vya maumivu hayo.

Mrejesho wa mgonjwa wetu alivotoka kupiga ultrasound. Tunamuombea heri ajifungue salama.
22/11/2023

Mrejesho wa mgonjwa wetu alivotoka kupiga ultrasound. Tunamuombea heri ajifungue salama.

Usisubiri kuambiwa au kupata dalili za saratani. Tumia kipimo cha ultrasound kuchunguza viungo mbali mbali vya mwili wak...
22/11/2023

Usisubiri kuambiwa au kupata dalili za saratani. Tumia kipimo cha ultrasound kuchunguza viungo mbali mbali vya mwili wako. Sisi k**a New wave ultrasound tunajali afya yako

Address

Tupo Tabata Posta, Karibu Na TANESCO

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New Wave Ultrasound posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to New Wave Ultrasound:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram