Mpango Mzima

Mpango Mzima Karibu upate ushauri juu ya afya yako ya uzazi kwa mujibu wa wataalamu wa afya.

MAMBO MATANO(5) YA KUFANYA KUIMARISHA MIFUPA YAKO!!Tafiti zinasema kuwa, Mifupa ya kawaida huendelea kuongezeka uimara n...
16/11/2022

MAMBO MATANO(5) YA KUFANYA KUIMARISHA MIFUPA YAKO!!

Tafiti zinasema kuwa, Mifupa ya kawaida huendelea kuongezeka uimara na unene hadi mtu anapofikisha umri wa miaka 35. Halafu mchakato huu huanza kugeuka wenyewe Taratibu, na kiasi fulani cha mifupa hupotea kila mwaka.

Udhaifu huu huongezeka zaidi kwa wanawake baada ya ukomo wa hedhi na unaweza kuendelea kwa muda wa miaka 7 hadi 15. Ikiwa kuna visababishi chochezi, udhaifu huu wa mifupa hutokea maradufu zaidi na kuvunjika au kusagana kwa mifupa kwaweza kutokea kwa urahisi zaidi.

Ingawa mara nyingi huchukuliwa k**a ugonjwa kwa akina mama wazee, 20% ya wahanga ni wanaume.

NINI KIFANYIKE ILI KUZUIA UDHAIFU WA MIFUPA?
Kuna mambo kadhaa unayoweza kufanya ili kuimarisha afya yako ya mifupa.
1. Vitamin D: Mwili hutumia vitamin D ili kusharavu Kalsiam na kiwango kikubwa cha Vitamin Hii tunaweza kukipata kupitia mwanga wa kutosha hasa wakati wa asubuhi.

2. Tumia vyakula au virutubisho vyenye Madini mengi ya Kalsiam. Shirika la Afya Duniani (WHO), Taasisi nyingi za Marekani pamoja na Serikali ya Marekani hupendekeza kutumia mg 500 kwa siku.

3. mazoezi: Mifupa haitaweza kupanuka na kuimarika bila mazoezi ya mara kwa mara ya kubeba vitu vizito, kukimbia na kutembea. Ili kuendelea kubaki na Madini, mifupa huhitaji kubanwa, kusukumwa, kuvutwa, na kugeuzwa dhidi ya nguvu ya uvutano.

Endapo unavuta sigara, acha! Itasaidia mifupa yako kwa sehemu kubwa.

4. Punguza kiwango cha Protini ya wanyama, chumvi na kafeini kwenye chakula. Vyakula hivi husababisha Kalsiam kuondoshwa kwenye mifupa na kutolewa kupitia mkojo.

5. Tumia Vyakula vinayosaidia kuongeza uteute kwenye maungio k**a vile bamia, japo utatumia kwa muda mrefu lakini kwa kiasi fulani itakusaida. Lakini ukihitaji matokeo ya haraka zaidi kutokana na ukubwa wa tatizo lako, basi tumia Supplements za asili k**a ilivyooneshwa kwenye video hii ili upone haraka sana na usiendelee kupata madhara makubwa zaidi. Unaweza kuwasiliana nami nikushauri Supplement gani inakufaa kulingana na hali ya tatizo lako ili upone kwa haraka zaidi.

Piga simu kwenda namba 0692701172
Au bonyeza kibatani kilichoandikwa WhasApp kwa mawasiliano zaidi.

Asante na Kazi Njema.

Gsgsggjsvdvzb
20/10/2022

Gsgsggjsvdvzb

Address

Magomeni
Dar Es Salaam
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpango Mzima posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mpango Mzima:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram