Afya Bora

Afya Bora , ,, kwenye kizazi,, ya uzazi,, magonjwa mengine katika mfumo wa uzazi yanatibika karibu upate huduma Bora.

Tatizo la maumivu ya tumbo wakati wa hedhi limekusumbua muda gani Leo Nina habari njema kwako
11/03/2022

Tatizo la maumivu ya tumbo wakati wa hedhi limekusumbua muda gani

Leo Nina habari njema kwako

SIRI YA KUPONA TATIZO LA MAUMIVU Wakati wa hedhiHabari             K**a wewe Ni muhanga wa tatizo Hilo Leo Nina habari n...
04/03/2022

SIRI YA KUPONA TATIZO LA MAUMIVU Wakati wa hedhi

Habari
K**a wewe Ni muhanga wa tatizo Hilo Leo Nina habari njema kwako gusa link hii kupata taarifa kamili👇👇
https://wa.me/255689715054

Kwa kutumia virutubisho tatizo lako LINAPONA KABISA
Karibu ujielimishe

 **a ww Ni muhanga wa matatizo haya fuatana nami katika jukwaa langu whatsĂ ppWeka namba yako ya simu kwa kujielimisha za...
02/03/2022

**a ww Ni muhanga wa matatizo haya fuatana nami katika jukwaa langu whatsĂ pp
Weka namba yako ya simu kwa kujielimisha zaidi

       #0689715054
25/02/2022




#0689715054

 #0689715054Je wajua Mfadhaiko katika penzi sio powa?,Umekosa hamu ya tendo la ndoa kwa mwenzi wako?Sio kawaida kabisa k...
23/02/2022

#0689715054
Je wajua Mfadhaiko katika penzi sio powa?,

Umekosa hamu ya tendo la ndoa kwa mwenzi wako?
Sio kawaida kabisa kwani unakosa amani na raha uliyoitamani kuipata

Njoo upate ushauri na tiba sahihi kwako

  sugu 0689715054Je wajua?,hivi unajua kuwa hauko salama unapoona UTI imejirudia rudia ?,Umetumia njia gani kutibu tatiz...
22/02/2022

sugu 0689715054

Je wajua?,hivi unajua kuwa hauko salama unapoona UTI imejirudia rudia ?,
Umetumia njia gani kutibu tatizo lako?

Njoo Sasa ujielimishe na matibabu sahihi,ubaki salama

 #0689715054PID inatibika vizuuri sana
21/02/2022

#0689715054
PID inatibika vizuuri sana

10/02/2022


0689715054

  SUGU NA FANGASI UKENI Wanawake wengi wamesumbuka Sana kutatua changamoto ya UTI wametumia Sana sindano,na Dawa nyingi ...
07/02/2022

SUGU NA FANGASI UKENI

Wanawake wengi wamesumbuka Sana kutatua changamoto ya UTI wametumia Sana sindano,na Dawa nyingi lkn bila mafanikio

Habari njema leo

K**a wewe Ni muhanga wa UTI sugu na miwasho ukeni karibu upate suluhisho, ushauri na suruhisho la kudumu.

 Changamoto ya PID (pelvic inflammatory desease),Ni maambukizi ya bakteria wabaya katika via vya uzazi wa mwanamke,Maamb...
07/02/2022



Changamoto ya PID (pelvic inflammatory desease),Ni maambukizi ya bakteria wabaya katika via vya uzazi wa mwanamke,

Maambukizi haya yanaweza kusababishwa na kuugua UTI kwa muda mrefu, kuweka vitu visivyotakiwa ukeni,nk

Hivyo wanawake wengi wamesumbuka Sana K**a wewe Ni muhanga wa changamoto hiii karibu ufahamu tatizo,lako na utatuzi wa changamoto yako.

Piga simu au njoo WhatsApp 👇
0689715054

https://wa.me/255689715054

Karibu sana upate kujua tatizo lako

  la uzaziHIVI UNAJUA MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA? JE UNAJUA SULUHISHO LAKE?  FUATANA NAMI NIKUELEZEE...
30/01/2022

la uzazi

HIVI UNAJUA MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA? JE UNAJUA SULUHISHO LAKE? FUATANA NAMI NIKUELEZEE*_ 👇👇👇👇👇

P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba.

P.I.D NI NINI ?

P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke. Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke.

Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D ?

DALILI ZA P.I.D
👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kutapika na homa
👉Uchovu
👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
👉Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
👉Kukojoa mara kwa mara

FIBROIDS NI NINI ?
FIBROIDS ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi

Je utajuaje k**a una fibroids ?? Hebu angalia dalili zake

DALILI ZA FIBROIDS
👉Kutokwa damu nyingi kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi au wakati wa hedhi
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya(wengi wenu huwa mnakimbilia kwamba mna fangas)
👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe
👉Tumbo kuuma sana chini ya kitovu
👉Hedhi zisizokua na mpangilio na damu hutoka nyingi mpaka kupelekea wengine kupungukiwa damu na kutakiwa kuongezewa damu
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa(hii hupelekea achukie tendo la ndoa)
👉Kukosa kwa choo kikubwa au choo kuwa kigumu(constipation. )
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kukojoa mara kwa mara
👉Ugumba(kuchelewa au kutokupata mtoto)
👉Mimba kutoka mara kwa mara

KWANINI NIMEAMUA KUELEZEA KUHUSU P.I.D NA FIBROIDS????

Yote yanawezekana,magonjwa yanatibika, matatizo mengi kiafya yanalo suluhisho la kudumu

Address

Makumbusho Bus Stop
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Bora:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram