14/11/2025
🩺 Je, unajua kuwa shinikizo la damu huitwa “muuaji kimya”? Wengi hawajui hadi madhara yanapoanza kujitokeza. Kagua afya ya moyo wako leo katika Fakhri Healthcare Center — kinga ni hatua ya kwanza ya tiba.