Afya Tanzania

  • Home
  • Afya Tanzania

Afya Tanzania AFYA NA MUONEKANO

Faida za kula zabibu:1.zabibu lina virutubisho vingi k**a vitamini C , B6 na K na fat na madini ya shaba na manganese.2....
29/12/2022

Faida za kula zabibu:
1.zabibu lina virutubisho vingi k**a vitamini C , B6 na K na fat na madini ya shaba na manganese.
2.Ina antioxidanti zinazohusika kuondoa sumu za kemikali na vyakula mwilini
3.Hupunguza athari ama hatari ya magonjwa k**a saratani, kisukari na maradhi ya moyo na mishipa ya damu
4.Huondoa stress na misongo ya mawazo
5.Hushusha shinikizo la damu
6.Hupunguza cholesterol mbay
7.Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
8.Husaidia kuimarisha afya ya macho
9.Huimarisha afya ya ubongo na utunzaji wa kumbukumbu
10.Husaidia kuboresha afya ya mifupa
11.Husidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria, virusi na fangasi
12.Hupunguza kuzeheka mapema

28/12/2022

AFYA YAKO NI MTAJI WAKO WA KWANZA 2023

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Tanzania:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share