Vina_afya_uzazi

Vina_afya_uzazi TUNATIBU UTISUGU,FANGASI,UPUNGUFU NGUVU ZA KIUME NA CHANGAMOTO ZOTE ZA UZAZI KWA MWANAUME NA MWANAMKE

✍️✍️✍️ jifunze
23/04/2026

✍️✍️✍️ jifunze

Watu wa mikoani sina cha kuwalipa zaidi ya kusema asanteni sana
23/04/2026

Watu wa mikoani sina cha kuwalipa zaidi ya kusema asanteni sana

Je una ufahamu ugonjwa wa bawasiri basi jifunze
23/04/2026

Je una ufahamu ugonjwa wa bawasiri basi jifunze

Asante mteja wetu wa Dar es salaam
23/04/2026

Asante mteja wetu wa Dar es salaam

*DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE:* Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na kuzipuuza lakini ba...
09/04/2026

*DALILI 15 ZA HATARI KWA MWANAMKE:*

Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake *huziona ni za kawaida* na kuzipuuza lakini baada ya muda huona *madhara makubwa* yanayogharimu afya zao za uzazi.

Hapa nimekuwekea baadhi ya dalili ambazo *hupaswi kuzipuuza* pale zinapokutokea.👇

1. Kupata Maumivu makali chini ya
kitovu yanayo ambatana na maumivu
ya kiuno,

2. Kuhisi maumivu na hali ya
kuchomachoma wakati wa haja
ndogo,

3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje
ya uke,

4. Kutokwa na ute ukeni usio wa
kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
njano, mweupe, kijani, kahawia, au
uliochanganyika na damu hizi ni dalili
za maambukizi katika via vya uzazi,

5. Kupata maumivu makali wakati wa
tendo la ndoa,

6. Kuhisi k**a kuna kitu kinasukumwa
kinachouma wakati wa tendo la ndoa,

7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,

8. Kupata maumivu makali sana wakati
wa hedhi,

9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye
mabonge au nyeusi sana,

10. Kutokwa na damu ya hedhi mfurulizo
bila kukata zaidi ya siku 7 na
kuendelea,

11. Hedhi kujirudia ndani ya mwezi
mmoja zaidi ya mara mbili au tatu,

12. Kutopata hedhi kwa muda mrefu
wakati si mjamzito na bado
hajafikia umri wa kukoma hedhi,

13. Kupata vipele vinavyouma na
kuwasha sehemu za siri,

14. Kuvimba na kuwa mwekundu kati
midomo ya nje ya uke,

15. Uke kuwaka Moto.

Harufu za ukeni
18/03/2026

Harufu za ukeni

⸻🌸 UNASUMBULIWA NA HOMONI IMBALANCE? 🌸Je, unapata dalili hizi mara kwa mara?❌ Hedhi zisizo na mpangilio❌ Maumivu makali ...
01/03/2026



🌸 UNASUMBULIWA NA HOMONI IMBALANCE? 🌸

Je, unapata dalili hizi mara kwa mara?

❌ Hedhi zisizo na mpangilio
❌ Maumivu makali ya tumbo la hedhi
❌ Chunusi za ghafla au ngozi kubadilika
❌ Uzito kuongezeka bila sababu
❌ Uchovu na mabadiliko ya hisia

Hizi zinaweza kuwa dalili za Hormone Imbalance (kutokuwepo sawa kwa homoni mwilini).

Mwili wa mwanamke unahitaji uwiano sahihi wa homoni ili:
✅ Hedhi iwe ya kawaida
✅ Kupata ujauzito kwa urahisi
✅ Kuwa na nguvu na afya njema

TUNA SULUHISHO TUPIGIE 0683886521

Ulaji wako unazingatia haya
07/02/2026

Ulaji wako unazingatia haya

VIFURUSHI VYENU VIKO TAYARI
18/01/2026

VIFURUSHI VYENU VIKO TAYARI

Address

Kimara
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vina_afya_uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Vina_afya_uzazi:

Share