Afya Fit Pro

Afya Fit Pro (0621425885)

💚 Health & Wellness Coach
Ninakusaidia kuboresha afya yako kwa njia ya asili — kutoka ndani hadi nje.
🌱 Jifunze jinsi ya kusafisha mwili, kuongeza kinga, na kupata mwili wenye nguvu.
📩 Wasiliana nami leo uanze safari yako ya afya njema!

Hizi lawama zimezidi kuwa nyingi sana!! Kwenye Tendo la ndoa hakuna Ulokole 🙌 Hata k**a mwanamke wako ni mtu wa ibada sa...
30/12/2025

Hizi lawama zimezidi kuwa nyingi sana!! Kwenye Tendo la ndoa hakuna Ulokole 🙌 Hata k**a mwanamke wako ni mtu wa ibada sana ila fahamu hauishi na Malaika, huyo ni mwanadamu mwenye nyama na damu.

Kuna wakati anapata hamasa ya kushiriki tendo (upwiru) anahitaji nafasi yako mwanaume pale kati.

Anaweza kukudanganya Kila siku, anakuambia Asante nimeridhika lakini wewe kwa akili yako dk 2 umeshamwaga, nani wa kuridhishwa hapo?

Anakupa maneno ya faraja lakini moyoni anaumia sana, anajutia kwanini alikupa nafasi ya kumpa Mapenzi ambayo hauyawezi?

Mwanamke kukosa ujasiri wa kukwambia kuwa unazingua kitandani akakaa kimya haina maana kwamba amepuuza na amekubali kuishi na wewe kwenye hali hiyo.

Kwako hasemi lakini akiwa na wanawake wenzake analalamika, na jua kizazi Cha Sasa sio k**a zamani, Sasa hivi mwanamke anasoma mtandaoni na kwenye seminar wanafundisha mwanaume anatakiwa kuperform vipi kitandani?

Mwanamke wako kukaa kimya sio kwamba amekubali kunyonywa haki yake ya kupewa penzi vizuri.MWANAUME JIIMARISHE💪🏻📌

Mwanamke Akikwambia Hajaridhika na Tendo, Amemaanisha huyo Hata K**a Amekwambia Kwa Utani UtaniHizi lawama zimezidi kuwa nyingi sana!! Kwenye Tendo la ndoa hakuna Ulokole 🙌 Hata k**a mwanamke wako ni mtu wa ibada sana ila fahamu hauishi na Malaika, huyo ni mwanadamu mwenye nyama na damu.

Kuna wakati anapata hamasa ya kushiriki tendo (upwiru) anahitaji nafasi yako mwanaume pale kati.

Anaweza kukudanganya Kila siku, anakuambia Asante nimeridhika lakini wewe kwa akili yako dk 2 umeshamwaga, nani wa kuridhishwa hapo?

Anakupa maneno ya faraja lakini moyoni anaumia sana, anajutia kwanini alikupa nafasi ya kumpa Mapenzi ambayo hauyawezi?

Mwanamke kukosa ujasiri wa kukwambia kuwa unazingua kitandani akakaa kimya haina maana kwamba amepuuza na amekubali kuishi na wewe kwenye hali hiyo.

Kwako hasemi lakini akiwa na wanawake wenzake analalamika, na jua kizazi Cha Sasa sio k**a zamani, Sasa hivi mwanamke anasoma mtandaoni na kwenye seminar wanafundisha mwanaume anatakiwa kuperform vipi kitandani?

Mwanamke wako kukaa kimya sio kwamba amekubali kunyonywa haki yake ya kupewa penzi vizuri.MWANAUME JIIMARISHE💪🏻📌

Mwanamke Akikwambia Hajaridhika na Tendo, Amemaanisha huyo Hata K**a Amekwambia Kwa Utani Utani

Usipuuze kabisa chukua hatua mapema upate suluhisho lake

Wasiliana nasi kupata virutubisho lishe bora

0621 425 885




゚viralシfypシ゚

♠️JE UNAPATA DALILI ZA TEZI DUME !??♠️ IPI NI CHANGAMOTO HASA UNAYOPITIA KWAKO !?i. Unapata tatizo la haja ndogo mara kw...
22/12/2025

♠️JE UNAPATA DALILI ZA TEZI DUME !??

♠️ IPI NI CHANGAMOTO HASA UNAYOPITIA KWAKO !?

i. Unapata tatizo la haja ndogo mara kwa mara.

ii. Unashindwa kuzuia haja hasa pale unapopata kwa ghafla!.

iii. Unapata maumivu chini ya kinena wakati wa haja ndogo au baada ya haja ndogo!!..

iv. Mkoja kubaki katika kibofu mara baada ya kumaliza kujisaidia & unatumia nguvu kubwa ku push haja ndogo!!...

V. Unashindwa kumudu tendo la ndoa, kupoteza hamu, kushindwa kurudia, nguvu na stamina wakati wa tendo!!...

vi. Kutoa haja ndogo iliyoambatana na damu au kutoa mbegu zilizoambatana na damu baada ya tendo la ndoa !???

K**a unapata dalili moja wapo kati ya hizi basi usisubiri hali iwe mbaya zaidi , kwani nina suluhisho bora kwa changamoto yako.

KARIBU UPATE MWONGOZO HUU VYEMA...

Mawasiliano
0621 425 885



゚viralシfypシ゚viralシ

18/12/2025

✨ NGOZI YENYE AFYA, MWANGAZA NA UJANA WA ASILI ✨

Je, unatamani ngozi yenye unyumbufu, unyevu na muonekano wa ujana?
Forever Marine Collagen ni chaguo sahihi kwako 👌

🌿 Faida kwa afya ya ngozi:
💧 Huongeza unyevu wa ngozi
✨ Huboresha elasticity (unyumbufu) na uimara
😊 Husaidia kupunguza mikunjo midogo
🌞 Hufanya ngozi ionekane laini, ang’avu na yenye mwangaza
🛡️ Hulinda ngozi dhidi ya uharibifu wa radicals huru (antioxidants)

Collagen ya baharini ni rahisi kufyonzwa na mwili, hivyo hufanya kazi kutoka ndani kwenda nje kwa matokeo bora 💚

📌 Tumia kwa uthabiti kwa wiki chache uone mabadiliko.
📩 Wasiliana nasi sasa ujipatie Forever Marine Collagen yako leo!

0621425885





KITAMBI NA MADHARA YAKE KIAFYAKuwa na kitambi si suala la mwonekano pekee, bali ni hatari kubwa kwa afya. Mafuta yanayoj...
16/12/2025

KITAMBI NA MADHARA YAKE KIAFYA

Kuwa na kitambi si suala la mwonekano pekee, bali ni hatari kubwa kwa afya. Mafuta yanayojikusanya tumboni (visceral fat) huzunguka viungo muhimu k**a ini na moyo, na kuongeza uwezekano wa magonjwa hatarishi.

🔴 Madhara ya kiafya ni pamoja na:

Kuongeza hatari ya shinikizo la damu na magonjwa ya moyo

Kuleta kisukari aina ya pili

Kupunguza nguvu za mwili na kuchosha haraka

Kuathiri homoni za kiume, hivyo kupunguza hamu na uwezo wa tendo

Kuongeza hatari ya kiharusi (stroke)

👉 Habari njema ni kwamba kitambi kinaweza kupungua kwa kutumia virutubisho lishe bora, mazoezi ya mara kwa mara, usingizi wa kutosha na kuepuka pombe kupita kiasi.

Usipuuzie kitambi — linda afya yako leo kwa kuchukua hatua mapema. 💪

Wasiliana nasi kupata virutubisho lishe vy C9 upungunze uzito ndani ya siku 9 pekee

Mawasiliano.
0621425885




PUNYETO NI MOJA YA MCHEZO AMBAO UMEONDOKA NA ULIJARI WA WANAUME WENGI...Unapoanza huu Mchezo, Huwezi Kuwaza Madhara Yake...
15/12/2025

PUNYETO NI MOJA YA MCHEZO AMBAO UMEONDOKA NA ULIJARI WA WANAUME WENGI...
Unapoanza huu Mchezo, Huwezi Kuwaza Madhara Yake ...Muda unaposogea Madhara huanza kujitokeza, Hapa ndipo Majuto huanza..

MADHARA YAKE MAKUBWA:_
📌Uume kusimama kwa ulegevu au kusimama na kulala baada ya muda mupi unapoingia mchezoni.
📌Round Kupungua.
📌Kuwahi kufika Kileleni wakati mwingine kumwaga kabla ya mchezo na baada ya kufika unashindwa kurudia au kuunganisha round.
📌Madhara ya kisaikolojia k**a Msongo wa Mawazo.
📌Kupoteza hamu ,hisia ,ashki na matamanio mara tu baada ya mshindo wa kwanza .
📌Uume Kusinyaa na kuwa mdogo.
📌Kukosa pumzi na stamina na kupelekea kuchoka sana.
📌Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.
📌Kutoa mbegu hafifu, Nyepesi K**a Maji Maji...

Sasa, Inawezekana Ulijichua na Bado hujaanza Kupata haya Madhara au Tayari Umeanza Kupata Madhara Haya:

TUPIGIE SIMU DIRECT AU TUTUMIE UJUMBE WTSAAP UKIELEZEA CHANGAMOTO YAKO.

Contact
0621 425 885

WAPO WANAUME WANAPITIA CHANGAMOTO HII.K**a mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili? Kwangu ilikua ngumu sana,nakumbuka ...
11/12/2025

WAPO WANAUME WANAPITIA CHANGAMOTO HII.

K**a mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili?

Kwangu ilikua ngumu sana,
nakumbuka mwanzoni mambo yalikua yanaenda vizuri huko ndani. Mwanamke alinifurahia sana na kwa kweli nilijiona mwanaume. Baadae mambo yalibadilika nilianza kukosa hamu ya tendo la ndoa, na hata nilipoipata haikua active sana, uume wangu ulisimama kwa muda kidogo tena ukiwa mlegevu sometimes nilikosa tu nguvu za mwili. Nilishangaa sana na wala sikujua tatizo limetokana na nini? Hata mbegu za kiume zilikua zinatoka chache au hazitoki kabisa most of the time niliwahi kufika kileleni.....

Hali hii ilinikosesha furaha hata mwanamke niliona hayuko comfortable tena kushiriki tendo na Mimi, kila nilipojaribu kumpapasa hakuonesha ushirikiano kwasababu mara kadhaa nimefanya hivyo lakini uume hausimami au nawahi kufika kileleni....niliumia sana siku mwanamke alivyo nitamkia "WEWE SIO MWANAUME" imagine umemzalisha watoto watatu halafu Leo anasema hivyo.. nilijisikia aibu sana na nilianza kuogopa hata kulala nae ilifikia hatua hata chakula alichopika niliona aibu kula kwasababu aliwahi kuniambia *"unakula hufanyi kazi yoyote huko ndani"* Duuuuu hakuna wakati mgumu k**a huu.

Kazini niliomba overtime ili tu niwe nachelewa home nikute amesha lala kuepusha zogo na dharau. Ilifikia hatua hata mshahara wangu sikuona thamani yake k**a naambiwa "mwanaume suruali wewe" means hata mahitaji ninayo gharamia kwa familia ni useless.... Ilibidi tu nianze kwenda kucheck mpira na rafik zangu atlest nirudi home muda umeenda. Au nipate zangu moja baridi then ndio nikalale.

Nilijaribu kua muwazi kwa rafik zangu k**a watatu hivi lakini mambo hayakua mazuri kwasababu hata wao huko nyumbani mambo hayaendi tukajikuta hatuna solution. Kumbe unaweza kufikiri uko peke yako la! Tuko wengi, nilijaribu vitu vingi lakini bado sana tu niliishia kuboost nguvu siku tatu tatizo limerudi yani ndio mwanamke aliniona "kweli dume suruali" ile furaha ya Nyumba ilizidi kuporomoka hata nilipokua nae kwenye gari muda wote amenuna,akawa mkali kitu kidogo anaweza kuniparuza hata makucha....niliamini hamna tena namna ya kumaliza tatizo langu nikabaki kua mnyonge tu sijui alipata kidume huko maana alinisahau kabisa nikawa mwanaume jina tu. Siwezi kumlaumu mwanamke kwasababu alinivumilia sana tatizo lilipoanza alinipa ushirikiano sana baadae akanikatia tamaa....mwanaume mwenye akili nafikir unaelewa hali ikiwa hivi nyumbani na hata k**a hayaja kukuta bora ujue solution mapema unaweza kufa kwa pressure au kujidharau though hujamwambia mtu inakua tu internal conflict....

Nimejaribu kuweka wazi ili kupanua uelewa wetu wanaume juu ya tatizo hili.Ni
Mwaka unakaribia kutimia sasa naanza kuona hali imebadilika mambo yanaenda vizuri. Naona hata mwenzangu amekua na ushirikiano na furaha imerejea natamani uone Nyumba ilivyo na amani zile fujo zote hazipo tena....nadhani hata wewe ungetamani iwe hivyo kwako.

Upungufu wa nguvu za kiume ni jambo nyeti sana ndugu yangu, nimegundua ni muhimu mwanaume kufahamu mapema namna ya ku-mantain nguvu zako kwasababu it's a lifetime huitaji tu kupooza tatizo kwa kufanya shortcut za hapa na pale k**a nilivyokua nafanya ku- boost then napiga mzigo kesho tatizo palepale..unaweza kuitwa majina mabaya nakumbuka nimewahi kulia machozi nikajuta kua mwanaume...see?..

For now,nafuraha sana kushare jambo hili na nimeanza kuona mabadiliko japo imenichukua muda kidogo lakini kumbe heshima ndani sio pesa tu au huduma za chakula NO" hata uanaume wangu nao ni asset kubwa huko ndani.

Sasa pengine unajiuliza sana nini hasa nilitumia au changamoto yako itatokaje,?

Zipo njia ama bidhaa zinaweza kukusaidia sana na ukafurahia tendo La Ndoa.

Usikubali kuwa myonge na kuendelea kudhalaulika nyumbani kwako wapigie Afya Fit Pro upate dozi yako.

Namba ya calls
Halotel
+255621425885





✨ Uchovu mwingi? Tumbo kujaa gesi? Kinga kushuka?Mchanganyiko wa Aloe Vera Gel + Field of Greens ndiyo suluhisho la kuru...
06/12/2025

✨ Uchovu mwingi? Tumbo kujaa gesi? Kinga kushuka?

Mchanganyiko wa Aloe Vera Gel + Field of Greens ndiyo suluhisho la kurudisha mwili wako kwenye hali nzuri bila dawa!

💚 Aloe Vera Gel – Inasafisha mwili, inaboresha mmeng’enyo, inaimarisha kinga na kuondoa uchovu.
🌱 Field of Greens – Chanzo cha mboga kijani uzalendo! Inakupa nguvu, inasaidia utumbo, inasafisha damu na kuboresha afya ya kila siku.

🔥 Faida unazopata:

✅ Huondoa gesi, bloating na kiungulia

✅ Huongeza kinga ya mwili

✅ Husaidia kupunguza uchovu na kuchoka haraka

✅ Hupunguza sumu mwilini (detox)

✅ Huboresha afya ya tumbo na utumbo

✅ Huongezea nguvu na uhai wa siku nzima

🌟 Leo chukua hatua!

Afya njema inaanzia ndani.

Piga simu/tuma ujumbe sasa kupata ofa na ushauri wa matumizi.

Mawasiliano
0621425885

---


🔥 MIN COMBO – RUDISHA NGUVU NA KUJIAMINI TENA!Unahisi kuchoka haraka? Stamina kushuka? Au hamu kupungua?Mchanganyiko huu...
29/11/2025

🔥 MIN COMBO – RUDISHA NGUVU NA KUJIAMINI TENA!
Unahisi kuchoka haraka? Stamina kushuka? Au hamu kupungua?
Mchanganyiko huu wa Nature-Min + Bee Pollen hukupa virutubisho vinavyosaidia mwili kupata nguvu, kuimarisha mzunguko wa damu na kuongeza uwezo wa kufurahia faragha bila hofu.
✔️ Huongeza stamina
✔️ Husaidia kuboresha nguvu na uwezo wa kurudia kwa haraka
✔️ Huimarisha mfumo wa homoni
✔️ Husaidia kuongeza hisia
💥 OFFER MAALUMU: Pata MIN COMBO sasa!
📩 Nitumie ujumbe kujua bei na namna ya kupata.

Namba +255621425885



🌿 FAIDA ZA MBOGA ZA KIJANI KWA AFYA YAKO 🌿Unataka mwili imara, ngozi nzuri na nguvu za kutosha? Siri iko kwenye sahani y...
25/11/2025

🌿 FAIDA ZA MBOGA ZA KIJANI KWA AFYA YAKO 🌿

Unataka mwili imara, ngozi nzuri na nguvu za kutosha? Siri iko kwenye sahani yako! Mboga za kijani ni hazina ya virutubisho vinavyosaidia:

✅ Kuongeza damu & mzunguko wa damu
Muhimu kwa nguvu za mwili na kuondoa uchovu wa mara kwa mara.

✅ Kuimarisha kinga ya mwili.
Zina vitamin A, C & antioxidants zinazokulinda dhidi ya magonjwa ya mara kwa mara.

✅ Kusaidia mmeng’enyo wa chakula.
Fiber huondoa choo kigumu na kuboresha afya ya tumbo.

✅ Kupunguza na kudhibiti uzito.
Kalori chache + kushibisha haraka = mwili mwembamba kwa njia ya asili.

✅ Kuboresha ngozi & macho.
Husaidia ngozi kung’ara, macho kuwa imara na kupunguza uzee wa mapema.

✅ Kuzuia magonjwa sugu.
Hupunguza hatari ya kisukari, shinikizo la damu na magonjwa ya moyo.

---

🌱 Anza leo kuongeza mboga za kijani kwenye mlo wako – afya njema hujengwa kila siku!

K**a una changamoto ya tezi dume, nguvu za kiume, uzito uliopitiliza, presha & kisukari pamoja na bawasiri. Usisite kuwasiliana na mshauri wetu ili kupata msaada.

Mawasiliano

+255621425885






UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – CHANGAMOTO INAYOTIBIKAUpungufu wa nguvu za kiume (ED) ni hali inayomkumba mwanaume anaposhi...
17/11/2025

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – CHANGAMOTO INAYOTIBIKA

Upungufu wa nguvu za kiume (ED) ni hali inayomkumba mwanaume anaposhindwa kupata au kudumisha nguvu ya kutosha wakati wa tendo la ndoa. Ingawa wengi huogopa kuzungumzia, ukweli ni kwamba ni tatizo la kawaida na linaweza kutibika kabisa.

Sababu Kuu Zinazosababisha Tatizo Hili

➖Msongo wa mawazo na uchovu wa mwili

➖Mzunguko hafifu wa damu

➖Kushuka kwa homoni (hasa testosterone)

➖Lishe duni inayopelekea upungufu wa vitamini na madini

➖Kisukari, shinikizo la damu na uzito uliozidi

➖Matumizi ya pombe na sigara

Dalili Unazoweza Kuziona

♦️Kupungua kwa hamu ya tendo

♦️Nguvu kudumu kwa muda mfupi

♦️Kuchoka haraka

♦️Kukojoa mara kwa mara usiku (mara nyingine huhusiana na tezi dume)

Habari Njema

Wanaume wengi hurudisha nguvu na kujiamini kwa kurekebisha lishe, kuongezea virutubisho vya asili, kufanya mazoezi na kupunguza msongo wa mawazo. Hatua ndogo zinaweza kuleta mabadiliko makubwa katika afya ya uzazi na ubora wa mahusiano.

Mwisho wa Ujumbe

K**a unapata dalili hizo, usikae kimya. Afya ya mwanaume ni muhimu k**a ilivyo ya mwanamke. Chukua hatua mapema — afya ni uwekezaji!

Wasiliana mshauri wetu
+255621425885





17/11/2025

🕵🏽‍♂️ Wanaume wengi wanapoteza nguvu zao taratibu…
Wengine wanaona aibu kuzungumzia. 😔

Je unaona Dalili ni k**a hizi:
⚡ Uchovu haraka
⚡ Kukosa hamu
⚡ Kushindwa kudumu muda mrefu
⚡ Msongo wa mawazo

Usiache hadi hali iwe mbaya 🙏🏽
Tuma neno “NGUVU” sasa ujue mpango wa kurejesha nguvu zako 💬 +255621425885







Address

Posta Mpya
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Fit Pro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram