Afya Forum

Afya Forum Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Forum, Medical and health, Dar es Salaam.

🇹🇿REFUSHA UUME WAKO    BILA MADHARA💯🗣SOMA KWA MAKINI SANA MWANZO MPAKA MWISHO ✅🌈UTAJIFUNZA JINSI YA KUREFUSHA NA KUNENEP...
08/09/2022

🇹🇿REFUSHA UUME WAKO BILA MADHARA💯

🗣SOMA KWA MAKINI SANA MWANZO MPAKA MWISHO ✅

🌈UTAJIFUNZA JINSI YA KUREFUSHA NA KUNENEPESHA UUME BILA MADHARA🍌

🌈Wanasayansi wengi wa tiba wametoa machapisho mengi ya kitafiti kuhusu urefu na upana wa uume juu ya wastani unaokubalika.☑

wa.me/255755162724

🚦By Dr. Liwaya 💧 Dar es salama 🇹🇿

☎ +255755162724♨
✅ Watsap
✅ calls
✅ txt sms
✅ imo
✅ instagrm
-Liwaya
✅ U-Tube . #
DrLiwaya official

🚦🚦Moja ya jambo ambalo huwaumiza kichwa wanaume wengi ni kuwa na maumbile madogo ya kiume. Wengi huamini uume mrefu na mpana ndiyo urijali wenyewe kuweza kumfikisha kileleni mwanamke.

🚦🚦Wanasayansi wengi wa tiba wametoa machapisho mengi ya kitafiti kuhusu urefu na upana wa uume juu ya wastani unaokubalika.
Baadhi ya wanaume wamekuwa wakiishi kwa hofu na kukosa kujiamini katika mahusiano yao kwa kuhisi wana uume mdogo usioweza kumridhisha mwenza.

🚦🚦Hofu hiyo inawezekana ni kutokuwa na ufahamu sahihi juu ya maumbile yao yanavyotakiwa kuwa. Wengi wanakosa taarifa sahihi kutoka kwa wataalam wa afya wenye uelewa wa kutosha wa jambo hili.

🚦🚦Hofu ya wanaume inapanda zaidi kila siku hasa kutokana na utitiri wa matangazo ya magazeti, mitandaoni, stori za vijiweni na matangazo ya matabibu wa mtaani wanaojitangaza kuwa na dawa na vifaatiba vya kukuza uume.

🚦🚦Dondoo zifuatazo zinajumuisha machapisho ya kitafiti yakiwamo yaliyochapishwa katika majarida makubwa na maarufu duniani k**a vile Science Today, Men’s Health na British Journal of Urology International.

🚦🚦Asilimia 85 ya wanawake wanaridhika na urefu na upana wa maumbile ya uume wa wenza wao ingawa wanaume wenyewe hawana uhakika wa jambo hilo huku asilimia 45 ya wanaume wanaamini wana maumbile madogo.

🚦🚦Utafiti unahitimisha kuwa wastani wa urefu wa uume ukiwa tepetepe yaani kabla ya kusimama ni kati ya sentimita saba mpaka 10 au inchi 2.8 hadi 3.9. urefu huu unapimwa kuanzia kwenye shina la uume mpaka kichwani.

🚦🚦Urefu wa uume unapokuwa umesimama ni kati ya sentimita 12 na16 au ichi 4.7 hadi 6.3. Urefu wa mzunguko wa uume ukiwa umesimama ni kati ya sentimita 12 au inch 4.7. AU Kwa wastani wanaume wengi wana uume wenye urefu wa kati ya nchi 6 na nchi 7

KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE KUPITIA WHATSAPP LINK.

wa.me/255755162724

Karibu sana.

Ngiri hutokea wakati ambapo Organ ama tissue hujitokeza/hujisukuma kupita eneo dhaifu katika Msuli ama tissue onganishi ...
26/09/2021

Ngiri hutokea wakati ambapo Organ ama tissue hujitokeza/hujisukuma kupita eneo dhaifu katika Msuli ama tissue onganishi (Connective tissue) izungukayo eneo hilo dhaifu iitwayo FASCIA

MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU
•Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:⤵⤵⤵⤵⤵⤵

1📎 Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)

2📎Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati

3📎 Uume kurudi ndani na kuwa na uume mdogo k**a wa mtoto mdogo

4📎 Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa uume

5📎 Uume kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakari hushindwa kabisa kusimama.

Hakikisha una bofya link ya WhatsApp iliyopo katika profile yetu kwaajili ya maelekezo zaidi.

🌴  TIBA ASILIA 🌴Dar es salaam Ilala-pangani street0755162724
25/09/2021

🌴 TIBA ASILIA 🌴

Dar es salaam Ilala-pangani street

0755162724

U R O G E T I X  5_______________________________________________________________Ni dawa asilia yenye uwezo mkubwa wa ku...
25/09/2021

U R O G E T I X 5

_______________________________________________________________

Ni dawa asilia yenye uwezo mkubwa wa kutibu maambukizi katika njia ya mkojo na maambukizi katika via vya Uzazi.Dawa hii ni tiba ya Uhakika na ya haraka kwa matatizo yafuatayo:⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬

▶️ Maambukizi katika via vya Uzazi (Pelvic inflammatory disease)-- *PID*
▶️ Kutokwa na Uchafu sehemu ya siri ya Mwanamke-- *Vaginal discharge.*
▶️ Kisonono-- *Ghonorrhea*
▶️ Kaswende-- *Syphilis*
▶️ Maambukizi katika njia ya Mkojo (Urinary Track Infections)-- *UTI*

Dr Liwaya
Tiba Asilia
Tanzania

+255755162724

muhammadliwaya@gmail.com

PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE____________________________________________________________...
24/09/2021

PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE

_________________________________________________________________________
PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)

-Ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.Na maambukizi haya kutokea ikiwa bacteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye Uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus),Mirija ya uzazi na kwenye O***y (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana).

-Maambukizi ya PID mara nyingi husababishwa na Bacteria wanaosababisha Ugonjwa wa Kisonono na Chlamydia.Hivyo wanawake wenye Kisonono wapo hatarini zaid Kupata PID

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:
⏬⏬⏬⏬

▶️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.
▶️ Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.
▶️ Maumivu makali wakati wa kujamiiana.
▶️ Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).
▶️ Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.
▶️ Hupatwa na kichefuchefu.
▶️ Kutapika
▶️ Miwasho sehemu za
siri
▶️ Uchovu
▶️ Uke kuwa mlaini sana
▶️ Kizunguzungu
▶️ Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.
▶️ Kuvurugika kwa Hedhi.

ATHARI ZA PID
⚫ Ugumba kwa wanawake
⚫ Kupata Kansa ya shingo ya Uzazi.
⚫ Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi.
⚫ KUSABABISHA majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi.
⚫ Maumivu ya tumbo /ngonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji mayai (Ovulation).

*JINSI YA KUEPUKA/KUJIKINGA NA PID*

⚫ Epuka kuvaliana nguo za ndani.
⚫ Kuwa na tabia ya kupima mara kwa mara mfumo wako wa Uzazi.
⚫ Kuwa msafi wa mwili na nguo zako za ndan
⚫ Kula lishe bora.
⚫ Epuka kufanya tendo la ndoa na mwenza wako mara baada ya kugundua ana magonjwa ya kujamiiana (STDs)

Tumia dawa Asili iitwayo UROGETIX 5 kwa matibabu ya haraka na uhakika ya PID.

TIBA NA USHAURI
⏬⏬⏬⏬⏬⏬

Dr Liwaya
Tiba Asili
Tanzania
PANDEX HERBS

+255755162724

Madhara Yatokanayo Na PIDPID ambayo haikupata tiba inaweza kusababisha makovu na vifuko vyenye maji yenye wadudu kwenye ...
23/09/2021

Madhara Yatokanayo Na PID

PID ambayo haikupata tiba inaweza kusababisha makovu na vifuko vyenye maji yenye wadudu kwenye mkondo wa njia ya uzazi ya mwanamke. Vitu hivi vinaweza kusababisha madhara ya kudumu kwenye viungo vya uzazi

Madhara yanayoweza kutokea ni pamoja na:
Mimba nje ya mirija (ectopic pregnancy). PID ndiyo sababu kubwa ya mimba kutunga nje ya kizazi. Mimba huweza kutunga nje ya kizazi endapo PID imesababisha makovu ndani ya mirija ya uzazi. Makovu haya husababisha yai lililopevushwa kushindwa kusafiri ndani ya mirija ya uzazi kuelekea kwenye nyumba ya uzazi. Badala yake yai hunata ndani ya mirija ya uzazi . Mimba nje ya kizazi husababisha utokaji wa damu usio wa kawaida unaoweza kukatisha maisha ya mwanamke.
Ugumba. Uharibifu wa viungo vya uzazi huweza kusababisha ugumba – kushindwa kupata ujauzito. Kadiri unavyozidi kupata PID mara nyingi zaidi, ndivyo hatari ya ugumba inavyozidi. Kuchelewa kupata tiba ya PID kunaongeza hatari ya ugumba.
Maumivu sugu ya nyonga. PID inaweza kusababisha maumivu ya nyonga yanayoweza kudumu kwa miaka mingi. Makovu ndani ya mirija ya uzazi na viungo vingine vya uzazi huweza kuleta maumivu wakati wa kujamiiana na wakati yai linadodondoshwa (ovulation).
Tubo-ovarian abscess. PID huweza kusababisha kutunga kwa usaha na kufanya majipu ndani ya njia ya uzazi. Mara nyingi majibu haya hutokea ndani ya mirija ya uzazi na ovari, ingawa huweza kuota ndani ya nyumba ya uzazi na shingo ya kizazi. K**a tiba haitatolewa, unaweza kupata maambukizi hatarishi kwa maisha.

Dr Liwaya
0755162724

CHANZO CHA PIDKuna bakteria wa aina nyingi wanaoweza kusababisha PID, lakini maambukizi ya gonorrhea na chlamydia ndiyo ...
23/09/2021

CHANZO CHA PID

Kuna bakteria wa aina nyingi wanaoweza kusababisha PID, lakini maambukizi ya gonorrhea na chlamydia ndiyo yanayoonekana zaidi. Bakteria hao huambukiza wakati tendo la ndoa linapofanyika bila ya kutumia kinga.

Aghalabu, bakteria hawa huingia kwenye viungo ya uzazi vya mwanamke pale ulinzi wa kwenye shingo ya kizazi (cervix) unapovurugwa. Hii inaweza kutokea mathalani, wakati wa hedhi na baada ya kuzaa, mimba kuharibika au kutoa mimba. Mara chache bakteria huweza kujipenyeza wakati kifaa cho chote cha tiba kinapoingizwa kwenye nyumba ya uzazi.

Mazingira Hatarishi

Kuna vipengele ambavyo huweza kukuweka kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata PID, navyo ni:
Kuwa mwanamke uliye chini ya miaka 25 unayeshiriki ngono Kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja Kuwa na mahusiano na mpenzi mwenye wapenzi zaidi ya mmoja Kufanya mapenzi bila kinga Kujisafisha na maji mara kwa mara Kuwa uliwahi kupata PID kabla au magonjwa mengine ya ngono

Dr Liwaya
0755162724

Dalili Za PIDPID inaweza isilete dalili zo zote mbaya na ndogo zikitokea zinaweza kuwa ngumu kuzigundua. Baadhi ya wanaw...
23/09/2021

Dalili Za PID

PID inaweza isilete dalili zo zote mbaya na ndogo zikitokea zinaweza kuwa ngumu kuzigundua. Baadhi ya wanawake hawapati dalili zo zote. Pale zinapojitokeza, zinaweza kuwa:
Maumivu – yanaweza kuwa madogo au makali – maeneo ya chini ya tumbo au nyonga Uchafu usio wa kawaida au mzito ambao unaweza kuwa na harufu mbaya Kutokwa damu kusiko kwa kawaida, hasa wakati wa tendo la ndoa, au katikati ya siku Maumivu wakati wa kujamiiana Homa, wakati mwingine kusikia baridi Maumivu wakati wa haja ndogo, haja ndogo ya mara kwa mara au haja ndogo kutoka kwa shida.

Dr Liwaya
0755162724

Pelvic Infalammatory Disease (PID) ni maambukizi kwenye viungo vya uzazi vya mwanamke. PID hutokea pale bakteria waenezw...
23/09/2021

Pelvic Infalammatory Disease (PID) ni maambukizi kwenye viungo vya uzazi vya mwanamke. PID hutokea pale bakteria waenezwao kwa ngono wanaposambaa kutoka kwenye uke (va**na) hadi kwenye nyumba ya uzazi (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes) na ovari.

Dalili za PID huweza kuwa ni ngumu kueleweka. Baadhi ya wanawake hawaoni dalili zo zote. Kwa maana hiyo, unaweza usihisi cho chote hadi pale utakaposhindwa kupata ujauzito au hadi utakapoanza kupata maumivu ya kiuno.

Dr Liwaya
0755162724

Unapopita maeneo mengi ya mijini na pembezoni wa miji utakutana na wafanyabiashara wa miwa wanaouza miwa na  juisi yake....
06/09/2021

Unapopita maeneo mengi ya mijini na pembezoni wa miji utakutana na wafanyabiashara wa miwa wanaouza miwa na juisi yake. Wengi hununua juisi ya miwa kwa kuwa hufurahia utamu wake. Lakini umeshajiuliza juisi miwa ina faida gani kiafya?

Kuna faida nyingi za juisi ya miwa. Baadhi ya faida hizo ni k**a zifuatazo;
■Juisi ya miwa ina uwezo mkubwa wa kuipatia miili nguvu kwa haraka na kukata kiu ya maji. Hii ni kwa sababu juisi ya miwa ina sukari “sucrose” ambayo kazi yake kuu ni kutengeneza nguvu mwilini. Kwa hiyo wakati mwingine ukiwa na uchovu, badala ya kunywa vinywaji vya viwandani tafuta juisi ya miwa.
■Ingawa juisi ya miwa ina utamu lakini inafaa sana kwa watu wenye kisukari. Hii ni kwa sababu juisi ya miwa ina sukari halisi ambayo ina uwezo mdogo wa kuzidisha kiwango cha sukari mwilini au kitaalamu inaitwa “Low Glycemic Index”. Kutokana na hilo juisi ya miwa inashauriwa kutumiwa k**a mbadala wa vinywaji vingine vya viwandani. Ni muhimu pia kwa watu wenye kisukari kutumia juisi hii kwa kiasi kidogo au kulingana na ushauri wa Daktari.
■Juisi ya miwa ina kiwango kikubwa cha madini ya calcium, magnesium, potassium, chuma na manganese. Madini haya yana uasili wa ualkali ambao husaidia kupunguza uwezekano wa kupata kansa k**a vile kansa ya Tezi dume “Prostate cancer” na kansa ya maziwa “Breast Canser”
■Juisi ya miwa inasaidia kuongeza kiwango cha protein mwilini na ku-imarisha ufanyaji kazi wa figo.
■Juisi ya miwa iliyochanganywa na maji ya N**i husaidia kupunguza maumivu hasa yanayosababishwa na maambukizi ya ngono “STDs” na kidney stones.
■Juisi ya miwa husaidia kulinda maini yasipate maambukizi. Hii ndo maana Madaktari hushauri matumizi ya juisi ya miwa kwa watu wenye ugonjwa wa Homa ya Manjano
■Juisi ya miwa ina kiwango kikubwa cha madini ya potassium ambayo husaidia kuimarisha mmeng’enyo wa chakula.
■Husaidia kuzuia maambukizi katika tumbo na utumbo.
■Vilevile husaidia katika kutibu matatizo ya choo kigumu au kitaalamu inaitwa “constipation”.
■Uchunguzi unaonyesha juisi ya miwa husaidia kuzuia meno kuoza na matatizo ya kupumua kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha madini.

Kwa hiyo k**a unafikiria kwenda kwa daktari kung’arisha meno yako, kunywa juisi ya miwa mara kwa mara.
■Juisi ya miwa husaidia katika kupambana na mabaka mabaka na kung’arisha ngozi.
■Juisi ya miwa huweza kutumika k**a ” face mask na scrub” kwa kuipaka kwenye ngozi na hivyo kusaidia katika kuing’arisha na kuiimarisha uso
■Juisi ya miwa ina faida nyingi mwilini, ni muhimu kuhakikisha usafi katika utengenezaji wake.

-Juisi ya miwa isiyokuwa salama inaweza ikawa ni chanzo kikubwa cha magonjwa ya tumbo na kuhara.

Dr liwaya
0755162724

MADHARA YA KUWA UZITO MKUBWAUkiwa na uzito mkubwa madhara yafuatayo huweza kujitokeza;1.Matatizo kwenye figo2.Uwepo wa m...
06/09/2021

MADHARA YA KUWA UZITO MKUBWA

Ukiwa na uzito mkubwa madhara yafuatayo huweza kujitokeza;
1.Matatizo kwenye figo

2.Uwepo wa michirizi

3.Kupunguza hamu ya tendo la ndoa na hata kupoteza Kabisa uwezo wa kushiriki jimai

4.Kuharibu mfumo mzima wa upumuaji

5.Kuharibu ini

6.Hupelekea uwezekano wa kupata kisukari,tatizo la presha na kwenye gauti

7.Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa moyo

8.Hupelekea kuleta shida kwenye mfumo wa ubongo

9.Hupunguza kasi ya kuishi

10.Huleta shida kwenye mmeng'enyo wa chakula

11.Maumivu kwenye viungo k**a vile magoti,kiuno mgongo,nk

12.Kuongeza kiwango cha mafuta mwilini.

Kwa ushauri na maswali kuhusiana na kupunguza uzito na manyama uzembe na matatizo mengine ya kiafya wasiliana nami

wa.me/255755162724

Dr Liwaya
Tiba Asilia
Tanzania

+255755162724
+255717541527

Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa bawasiri na jinsi gani unaweza kupona bawasiri bila kufanyiwa operesheni lipo suluhisho k...
05/09/2021

Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa bawasiri na jinsi gani unaweza kupona bawasiri bila kufanyiwa operesheni lipo suluhisho kwa ajiri yako una weza kunipigia kwa 0755162724 niweze kukusaidia kuondokana na hiyo changamoto ya Bawasiri sugu. Au bonyeza link itakuleta moja kwa moja WhatsApp tuzungumze kwa kirefu namna ya kupona Bawasiri na isijirudie.

NB: Usifanye operation bawasiri inatibika kwa muda mfupi tu.

Pia k**a unasumbuliwa na mengine k**a kisukari, presha, PID, U.T.I, Vidonda vya tumbo nk usisite kunitafuta kwa kujipatia utatuzi wa tatizo lako.

Karibu sana.

Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa bawasiri na jinsi gani unaweza kupona bawasiri bila kufanyiwa operesheni lipo suluhisho k...
04/09/2021

Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa bawasiri na jinsi gani unaweza kupona bawasiri bila kufanyiwa operesheni lipo suluhisho kwa ajiri yako npgie kwa 0755162724 niweze kukusaidia kuondokana na hiyo changamoto.
Au unaweza kubonyeza Link itakuleta WhatsApp kwa maelezo zaidi
wa.me/255755162724

Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa bawasiri na jinsi gani unaweza kupona bawasiri bila kufanyiwa operesheni lipo suluhisho k...
04/09/2021

Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa bawasiri na jinsi gani unaweza kupona bawasiri bila kufanyiwa operesheni lipo suluhisho kwa ajiri yako una weza kunipigia kwa 0755162724 niweze kukusaidia kuondokana na hiyo changamoto. Au bonyeza link itakuleta moja kwa moja WhatsApp
wa.me/255755162724

04/09/2021
JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO?Ndugu mpendwa, na ieleweke kuwa hali ya chaku...
01/09/2021

JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO?

Ndugu mpendwa, na ieleweke kuwa hali ya chakula kutokumeng’enywa tumboni mwako sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili zinazokupata, kwa mfano; tumbo kuuma na kujaa gesi mara baada tu unapoanza kula chakula. Ingawa tatizo hili linaonekana kuwa la kawaida sana, lakini tatizo hili linaweza kutokana na vyanzo mbalimbali. Dalili za chakula kutokumeng’enywa unaweza kuzihisi mara kwa mara kila siku.

NUKUU: Hali ya kutokumeng’enywa kwa chakula tumboni inaweza kuwa dalili ya ugonjwa mwingine wa usagaji chakula tumboni mwako.

wa.me/255755162724

JE, NINI DALILI ZA TATIZO HILI?

Watu wengi wenye tatizo hili wanaweza kuwa na dalili moja au zaidi, nazo huwa k**a ifuatavyo:

1️⃣Tumbo kujaa gesi wakati anapokula chakula

2️⃣Tumbo kujaa gesi muda mrefu

3️⃣Kuisi maumivu ya tumbo la juu

4️⃣Kuhisi kiungulia juu ya tumbo

5️⃣Tumbo kuunguruma sana mara kwa mara na kuhisi maumivu chini ya kitovu

6️⃣Kuhisi kichefuchefu na kutaka kutapika.

NUKUU: Wakati mwingine watu wanaosumbuliwa na tatizo hili pia hupatwa na kiungulia, lakini kumbuka kuwa kiungulia au chakula kutokumeng’enywa tumboni huwa ni hali mbili tofauti. Kiungulia huwa ni moto au maumivu unayoyahisi katikati ya kifua chako ambayo yanaweza kupenya mpaka kwenye shingo yako au mgongoni mwako wakati ama baada ya kumaliza kula.

JE, NINI USABABISHA CHAKULA KUTO KUMENG'ENYWA TUMBONI?

☑️Chakula kutokusagwa au kumeng’enywa tumboni husababishwa na vyanzo vingi. Mara nyingi hali hii hutokana na mtindo wa maisha ya muhusika mwenyewe, hasa katika matumizi ya vyakula, vinywaji au madawa ya vidonge anayoyatumia. Visababishi vya tatizo hili huwa k**a ifuatavyo:

▶️Vyakula vyenye mafuta mengi sana, k**a vile chips, roast, nk.

▶️Vyakula vilivyokobolewa k**a vile, ugali wa sembe, maandazi, chapati, nk

▶️Utumiaji wa nyama mara kwa mara

▶️Vinywaji vyenye caffeine nyingi,k**a vile pombe, kahawa, nk

▶️Ulaji wa chokleti,

▶️Uvutaji sigara

▶️Kuwa na wasiwasi

▶️Mazoea ya kula kupindukia au kula haraka haraka bila kujali kutafuna chakula vizuri

▶️Matumizi ya madawa ya vidonge vya antibiotic au vyenye kupunguza maumivu mwili mwako k**a vile panadol, nk. Yafaa sana kupata ushauri kwanza wa daktari kabla hujatumia madawa hayo.

▶️Wakati mwingine hali ya chakula kutokumeg’enywa tumboni husababishwa na magonjwa au matatizo yanayokuwa tumboni mwako k**a vile:

▶️Vidonda vya tumbo

▶️Uvimbe tumboni(Gastritis)

▶️Mawe ya figo

▶️Kuvimba kwa kongosho

▶️Saratani ya tumbo

▶️Utumbo kuziba

▶️Kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye utumbo mwembamba(intestinal ischemia)


JE, NINI MADHARA YA CHAKULA KUTO KUSAGWA TUMBONI?

🔳Kwa kawaida tatizo hili linapodumu kwa muda mrefu bila kufanyiwa ufumbuzi, basi linaweza kusababisha madhara yafuatayo katika mwili wako:



1️⃣Mzunguko wa damu kuharibika na kuwa mdogo

2️⃣Mgongo au kiuno kuuma

3️⃣Miguu, au mikono kufa ganzi

4️⃣Mwili kuchoka mara kwa mara

5️⃣Kukosa hamu ya kula

6️⃣Macho kushindwa kuona vizuri

7️⃣Mapigo ya moyo kwenda mbio

8️⃣Kichwa kuuma

9️⃣Kutojisikia raha na kukosa amani

NJIA YA KUJITIBIA TATIZO LA TUMBO KUJAA GESI

1️⃣Kupunguza vyakula vya nyuzinyuzi zinazotokana na vyakula vya mbegu huweza kusaidia kupunguza dalili za tatizo hili kwa asilimia 20 hadi 30

2️⃣Zuia kula mikate, mayai, ngano, biskuti , vitumbua, maandazi na vyakula vingine jamii ya ngano.

3️⃣Zuia vyakula vingine vyenye mayai au mayai kwa sababu huleta gesi

4️⃣Zuia pia kula vitu vifuatavyo k**a utaweza, ngano, vitunguu, kabeji, alizeti, maharagwe, tufaa,tikiti maji, peasi,

5️⃣Zuia kutafuna bablishi ili kuepuka kumeza gesi

6️⃣Tafuna chakula taratibu kuzuia kumeza gesi, pia usile mlo mkubwa kwa wakati mmoja

7️⃣Zuia kumeza chakula na maji ili kuepuka gesi kuingia tumboni

8️⃣Tumia vyakula visivyo na maziwa au mazao ya maziwa

9️⃣Fanya masaji ya tumbo kukusaidia ubeue gesi iliyo tumboni

🔟Tumia dawa za kusaidia mmeng'enyo wa vyakula vya laktozi na gluteni

1️⃣1️⃣Zuia kupata haja ngumu au kukosa haja kubwa kwa muda mrefu, tumia vyakula vya kulainisha tumbo na kunywa maji ya kutosha oamoja na kufanya mazoezi

1️⃣2️⃣Ongea na daktari wako kuhusu kutumia dawa za antibayotiki endapo gesi yako inasababishwa nabakteria kwenye tumbo

1️⃣3️⃣Tumia mafuta ya yenye minti(kuzuia) kupata gesi

1️⃣4️⃣Onana na daktari wako

TIBA ZAKE

Pandex Herbal tuna tiba nzuri zenye uwezo mkubwa wa kuondoa tatizo hili pamoja na madhara yake

Je, unahitaji huduma? Tupigie kwa namba hizi:

+255755162724
+255717541527

wa.me/255755162724

Tunapatikana Ilala-Mtaa wa Pangani

Karibuni sana🤝

Nyanya mbichi pia hutupatia vitamini C. Maboga yasipopikwa sana pia huitunza vitamini C. Matunda halisi hasa yenye tindi...
18/08/2021

Nyanya mbichi pia hutupatia vitamini C. Maboga yasipopikwa sana pia huitunza vitamini C. Matunda halisi hasa yenye tindikali k**a vile machungwa, malimau, mapera, mabalungi, magogondi, matonga, zabibu n.k. yote haya kwa pamoja iwapo yataliwa halisi (freshi)hutupatia kiasi kikubwa cha vitamaini C. Viazi vibichi, mihogo mibichi, magimbi na ndizi mbivu, zote kwa pamoja hutupatia vitamini. Pia ndizi za kupika zina kiasi fulani cha vitamini C. Maziwa (freshi) na maziwa ya mama yana kiasi kidogo cha vitamini C, lakini chenye manufaa mwilini. Iwapo maziwa yatachemshwa sana, basi vitamini C hupotea.

Kumbuka kuwa vitamini C huyayuka kwenye maji, hupotea au kuharibika kwenye joto kali hasa wakati wa kupika au kuacha kwenye jua kali. Na iwapo chakula kitaachwa wazi baada ya kupikwa kwa muda mrefu, hupoteza vitamini iliyopo kupitia mvuke unaosafiri. Hivyo basi ni vizuri kuwa makini na mapishi au maandalizi yake. Matunda yaandaliwe muda mfupi kabla ya kula. Mathalani saa ya kula ni saa 7.00 mchana, basi maandalizi ya matunda yafanywa dakika tano kabla. Na mboga za majani hali kadhalika. Vilevile ni vyema ukafahamu kuwa vitamini C si yenye kuhifadhiwa mwilini, hivyo basi haina haja ya kula kiasi kikubwa ukitaraji utatumia wiki nzima' La hasha. Ndio maana tunalazimika kula vyakula hivyo siku zote hata kwa kiasi kidogo. Mpaka hapo sina la ziada nikutakie kazi njema na utekezaji mwema kwa hiki ulichokisoma.

Ni mimi ninayejali afya yako

0755162724
WhatsApp/Call/SMS

Asanteni...

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Forum posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Forum:

Share