29/07/2023
Je.. unasumbuliwa na changamoto ya Maumivu makali ya mifupa na maungio {ARTHRITIS}
🍀 ARTHRITIS huu ni ugonjwa unao tokana na namna ya hitilafu ktk Maungio ya mifupa ya binadamu, Ambao husababisha Maumivu makali sana, na pengine kuvimba ktk sehemu Moja au zaidi ya maungio hayo..
🍀 Neno Arthritis halilengi ugonjwa Moja Bali jamii ya Magonjwa Ambayo jumla yapo zaidi ya 💯
TABIA KUU YA MAGONJWA HAYO NI
❇️ Maumivu makali kwenye maungio ya mifupa(joint) Ambayo ni Endelevu hutokea eneo Hilo Moja:
CHANZO CHA UGONJWA:
❇️ Ugonjwa wa Arthritis una sababishwa na hitilafu yeyote ktk sehemu za maungio ya mifupa: inawezekana (Cartilage) imelika.
❇️ Upungufu wa Synovial fluid, maambukizi ya vidudu ktk Moja ya maeneo ya mifupa au mchanganyiko wa Matatizo tofauti tofauti:
DALILI ZA UGONJWA:
❇️ Athari za ugonjwa huanza taratibu na kuongezeka mda unapozidi kusogea, kutaanza kutokea Maumivu makali sana kwny joint baada ya kufanya shughuli flani au baada ya mapumziko ya mda mrefu joint zita kaza, hasa mapema Asubuh unapo taka Kuanza shughuli zako za kawaida, na siku zinavyo zidi kusogea ndivyo utakavyoona ni vigumu zaidi Kutumia Kiungo chako:
ATHARI ZAKE:
❇️ Huleta Matatizo ktk viungo vya mwili, UKavu macho, kutopenda mwanga na kutoona vizuri
❇️Uhafifu wa Damu, Upungufu wa chembe hai nyeupe za damu
❇️ Midomo kukauka na maambukizi ya Fidhi:
❇️ Ulemavu wa kudumu
❇️ Kukosa Mawasiliano ktk sehemu baadhi ya viungo vya mwili (Kupooza) STROKE:
NI MARA NGAPI UKIWAONA NDUGU, JIRANI AU RAFIKI WAKIHANGAIKA NA CHANGAMOTO HIZI ZA MIFUPA.. NA WAMETUMIA DAWA NYINGI PASIPO KUPATA SULUHISHO.. MAUMIVU YA MIFUPA SASA BASI.. ✍️
KWA USHAURI ZAIDI PAMOJA NA TIBA WASILIANA NAMI KUPITIA 👇
WhatsApp au piga 0683323939