09/05/2022
VIRUTUBISHO LISHE
NINI MAANA YA VIRUTUBISHO (FOREVER product)
Ni vitu (substance ) ambavyo hurutubisha mwili, Virutubisho hivi hupatikana kwenye vyakula vyote,
Virutubisho vya chakula vimegawanyika katika makundi Sita,
(1) 👉 Wanga
-kazi yake kubwa ni kuleta nguvu mwilini Mfano:mahindi, viazi, ngano, mchele
(2) 👉protini
Kazi yake ni kujenga mwili Mfano :nyama, mayai, maharage, njegere, maziwa,
(3) 👉Vitamini
Kazi yake kubwa ni kulinda mwili
Mfano: maembe, machungwa, nanasi, zabibu,
(4) 👉Madini Huusika sana katika kuwezesha mifumo ya mwili
Mfano: chumvi,ubuyu, dagaa, mboga mboga za kijani, (vyanzo vya baadhi ya madini)
(5) 👉Maji huwezesha mifumo mbali mbali katika mwili,
(6) 👉 Tambua kua hizo ni baadhi ya kazi za hivyo virutubisho
Ili mwili wa binadamu ufanye kazi vizuri na uweze kujilinda na magonjwa unahitaji kupata virutubisho vyote Sita ktk uwiano au kiasi sahihi, yaani lishe bora.
"kulingana na takwimu za WHO (shirika la afya duniani) lilisema 👉ili mwili wa binadamu uweze kuwa na kinga bora ya mwili dhidi ya magonjwa mbali mbali unatakiwa kila siku uwe na uwezo wa kupata matunda aina Saba na mboga mboga aina Saba kila siku"
Je kulingana na takwimu hizo za WHO , upo salama ?
K**a ni hapana Je, una uwezo wa kumudu gharama za matunda aina Saba na mboga mboga aina Saba kwa kila siku ?
Ushauri, matumizi ya virutubisho lishe vyenye ubora wa hali ya juu ni muhimu kwa mtu ambae hana uwezo wa kupata mlo wa matunda aina saba na mboga mboga aina saba kila siku
MADHARA YATOKANAYO NA KUKOSA LISHE BORA
👉magonjwa k**a upungufu wa za kiume Na mengine mengi
👉maambukizi ya wadudu
👉uchovu
👉udhaifu wa mwili
Watoto wanaokosa lishe bora hupata matatizo ya kukua vibaya na kufanya vibaya katika masomo
"kumbuka kinga ni bora kuliko tiba" Anza leo kula matunda na mboga mboga kwa mpangilio maalum au kutumia virutubisho lishe uweze kujilinda na magonjwa na kuepuka garama za matibabu ya hospitalini
AFYA NA USHAURI BURE
VIRUTUBISHO LISHE VYENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA AJILI YA KINGA NA TIBA YA MAGONJWA
KINGA NI BORA KULIKO TIBA
KWA USHAURI NA HUDUMA
KARIBUNI SANA
WHATSAPP,
+255 758975729