Vima_herbal

Vima_herbal AFYA BORA KWA WOTE

16/09/2022

JINSI UGONJWA WA BAWASIRI AU MGORO UNAVYO KUUCHOSHA NA KUUFUBAZA MWILI WAKO.

Bawasiri ni nyama zinazotokea eneo la haja kubwa, nyama hizi hutokana na kuvimba kwa mishipa midogo ya damu. Nyama hizi zaweza kuwa ndogo mithiri ya punje ya harage au zikawa kubwa zaidi.

📍 BAWASIRI HUSABABISHWA NA:

Kuharisha/kuhara kwa muda mrefu
Kutokufanya mazoezi mara kwa mara
Visababishi vya lishe (chakula kilicho na kiwango cha chini cha faiba), Kutokuwepo kwa vali katika vena ya hemoroidi
Vinasaba, Umri mkubwa
Kukaa kwa muda mrefu
Kikohozi cha muda mrefu
Unene/uzito wa mwili uliozidi
Ujauzito kwa wanawake.

📍 Bawasiri imegawanyika katika aina mbili:

1. BAWASIRI YA NJE:
Hii ni aina ya bawasiri ambayo hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu pamoja na muwasho katika sehemu husika.
Aina hii ya bawasiri huwa na tabia ya mishipa ya damu katika eneo hilo kupasuka na kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoids.

2. BAWASIRI YA NDANI:
Hii ni bawasiri ambayo hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huwa haiambatani na maumivu makali. Kutokuwepo kwa maumivu huwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili. Lakini pia aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo;

📍 Bawasiri kutotoka katika mahali pake( yaani inakuwa imesimama)
📍Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia.
📍Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na huwa hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe.
📍Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia.

VIASHIRIA VINAVYOWEZA KUONYESHA UWEPO WA BAWASIRI NI:

👉Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉Kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉Uvimbe au Kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉Choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu/nne
👉Maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉Kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula
👉Kukosa usingizi pamoja na dalili zingine nyingi.

BAWASIRI ISIPOTIBIWA HUWA NA ATHARI ZIFUATAZO;

📍 Haja kubwa (kinyesi) kutoka na damu
📍 Kukosa monkari/ha-mu ya kufanya tendo la ndoa kwa wanawake
📍 Kupungukiwa nguvu za kiu-me kwa wanaum
📍 Kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
📍Kupata tatizo la kisaikolojai
📍 Mwili kudhoofika na kupauka (nuru ya uso hupotea)
📍Uchovu wa mara kwa mara
📍 Kupata choo k**a cha mbuzi

HYMOROYA ni dawa ya mimea asilia, hutibu mgoro (bawasiri) kwa uharaka zaidi bila upasuaji. Dawa hii haina madhara kabisa kwa mtumiaji.
Inapatikana kwa Tsh 30000/=
Inapatikana katika Clinic yetu
Iliyopo
Dar es Salaam
Majohe – Viwege
0627 641 949

AFYA BORA KWA WOTE

16/09/2022

VISABABISHA VYA MAUMIVU YA TENDO LA NDOA

📍 Poor sexual stimulation- (Maandalizi mabovu wakati wa tendo)

📍 Vaginismus - ( misuli ya uke kukaza au kubana ghafla wakati uume uko ndani)

📍 Vulvovaginitis – Hii ni hali uke kushambuliwa na magonjwa k**a (Trichomonas vaginalis,

📍 ulceration vidonda ukeni, pamoja na kivimbe k**a jipu kinachoitwa bartholinitis)

📍 Vaginal dryness ( uke kuwa mkavu hii hutokana na hormone imbalance)

📍 Endometriosis - (vijivimbe katika kuta za uke ambvyo hutengeneza k**a vidonda pia (cyclical pain)

📍 PID/cervicitis

📍 Kisaikolojia kutokuwa sawa

📍 Ovarian cyst/ tumour - (uvimbe na uvimbe maji kwenye mayai)

📍 Allergy to s***m – hii huwa inatokea sana kwa baadhi ya wanawake kuwa na miwasho hasa wanapokutana na mbegu za kiume katika uke wao lakini pia hutokea hata kwa wanaume wakikutana na baadhi ya wanawake hupata miwasho hii ni aalegy nawengine hupata mapele na wakidhani wameambukizwa magonjwa pia husababisha kutoshika ujauzito pia

📍 Cystitis/ Uremritis hii ni U.T.I iliyokomaa mara nyingi imekuwa tatizo sana kwa wanawake wengi na imekuwa chanzo chakupata maumivu makali kwa wanawake wwengi

Karibu kwa Ushauli na tiba
Tunapatikana 👇👇
DAR ES SALAM
MAJOHE — VIWEGE
0627641949

JINSI UGONJWA WA BAWASIRI AU MGORO UNAVYO KUUCHOSHA  NA KUUFUBAZA MWILI WAKO. Bawasiri ni nyama zinazotokea eneo la haja...
15/09/2022

JINSI UGONJWA WA BAWASIRI AU MGORO UNAVYO KUUCHOSHA NA KUUFUBAZA MWILI WAKO.

Bawasiri ni nyama zinazotokea eneo la haja kubwa, nyama hizi hutokana na kuvimba kwa mishipa midogo ya damu. Nyama hizi zaweza kuwa ndogo mithiri ya punje ya harage au zikawa kubwa zaidi.

📍 BAWASIRI HUSABABISHWA NA:

Kuharisha/kuhara kwa muda mrefu
Kutokufanya mazoezi mara kwa mara
Visababishi vya lishe (chakula kilicho na kiwango cha chini cha faiba), Kutokuwepo kwa vali katika vena ya hemoroidi
Vinasaba, Umri mkubwa
Kukaa kwa muda mrefu
Kikohozi cha muda mrefu
Unene/uzito wa mwili uliozidi
Ujauzito kwa wanawake.

📍 Bawasiri imegawanyika katika aina mbili:

1. BAWASIRI YA NJE:
Hii ni aina ya bawasiri ambayo hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu pamoja na muwasho katika sehemu husika.
Aina hii ya bawasiri huwa na tabia ya mishipa ya damu katika eneo hilo kupasuka na kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoids.

2. BAWASIRI YA NDANI:
Hii ni bawasiri ambayo hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huwa haiambatani na maumivu makali. Kutokuwepo kwa maumivu huwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili. Lakini pia aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo;

📍 Bawasiri kutotoka katika mahali pake( yaani inakuwa imesimama)
📍Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia.
📍Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na huwa hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe.
📍Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia.

VIASHIRIA VINAVYOWEZA KUONYESHA UWEPO WA BAWASIRI NI:

👉Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉Kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉Uvimbe au Kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉Choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu/nne
👉Maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉Kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula
👉Kukosa usingizi pamoja na dalili zingine nyingi.

BAWASIRI ISIPOTIBIWA HUWA NA ATHARI ZIFUATAZO;

📍 Haja kubwa (kinyesi) kutoka na damu
📍 Kukosa monkari/ha-mu ya kufanya tendo la ndoa kwa wanawake
📍 Kupungukiwa nguvu za kiu-me kwa wanaum
📍 Kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
📍Kupata tatizo la kisaikolojai
📍 Mwili kudhoofika na kupauka (nuru ya uso hupotea)
📍Uchovu wa mara kwa mara
📍 Kupata choo k**a cha mbuzi

📍 KAHEMBO ni dawa ya mimea asilia, hutibu mgoro (bawasiri) ya ndani kwa uharaka zaidi.

📍 MSEKA ni dawa ya mimea asilia, hutibu mgoro (bawasiri) ya nje kwa haraka zaidi bila upasuaji

Dawa hizi hazina madhara kabisa kwa mtumiaji.

Inapatikana katika Clinic yetu
Iliyopo
Dar es Salaam
Majohe – Viwege
0627 641 949

TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE PAMOJA NA KUPATA CHOO KIGUMU}. Suluhisho sasa ni kwa Tsh.30,000/= BAWASIRI {HEM...
08/09/2022

TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE PAMOJA NA KUPATA CHOO KIGUMU}.
Suluhisho sasa ni kwa Tsh.30,000/=

BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE
📍 Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

CHANZO CHA BAWASIRI
📍 Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
📍 Tatizo sugu la kuharisha
📍 Ujauzito
📍 Uzito wa mwili kupita kiasi
📍 Kufanya ngono kupitia kinyume na maumbile (kulawitiwa)
📍 Kupata haja kubwa ngumu
📍 Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
📍 Kunywa pombe
📍 Kula sana nyama nyekundu
📍 Vidonda vya tumbo
📍 Ngiri(Chango/Hernia
📍 Kula sana pilipili
📍 Kunyanyua vitu vizito

DALILI ZA BAWASIRI
📍 Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
📍 Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
📍 Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
📍 Kupata kinyesi chenye damu
📍 Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
📍 kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
📍 Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
📍 Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
📍 Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)

MADHARA YA BAWASIRI
📍 Upungufu wa damu mwilini
📍 Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa wanawake
📍 Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
📍 Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
📍 Kupata tatizo la kisaikolojia
📍 Kutopata ujauzito

Tunapatikana
DAR ES SALAM
MAJOHE — VIWEGE
0627 641 949

05/09/2022

NJIA NZURI YA KUMALIZA CHANGAMOTO YA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus.

Acidi au tindikali inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO
1. Vidonda vya utumbo mkubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa

2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ila vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

1. Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
2. Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
3. Kuwa na mawazo mengi
4. Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
5. Kunywa pombe na vinywaji vikali
6. Uvutaji wa sigara
7. Kutokula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;

1.Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa
k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
2.Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
3.Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4.Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
5.Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
6.Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
7.Kushindwa kupumua vizuri

MADHARA YA VIDONDA TUMBO
Saratan ya utumbo
Kupungua kwa kinga ya mwili
Kupungua uzito
Kupungua kwa ham ya kushiriki tendo la ndoa.

Tunayo dawa nzuri yenye uwezo wa kumaliza kabisa matatizo hayo:

📍Vima Ulcers .
Dawa bora ya vidonda vya tumbo
Utaipata katika clinic yetu kwa gharama nafuu
Tsh 30000/=

karibu kwa dawa bora na salama.

Kituo chetu kipo
DAR ES ALAAM
MAJOHE – VIWEGE
Wasiliana nasi: 0627641949

AFYA BORA KWA WOTE

NJIA NZURI YA KUMALIZA CHANGAMOTO YA VIDONDA VYA TUMBO Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au...

KUKOSA NGUZU ZA KIUME NA SABABU ZAKEHii ni hali inayowapata wanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa. Hii huwenda kuwa u...
04/09/2022

KUKOSA NGUZU ZA KIUME NA SABABU ZAKE

Hii ni hali inayowapata wanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa. Hii huwenda kuwa uume unashindwa kusimama (kutisa) kwa kwa muda mrefu, ama unashindwa kabisa kusimama. Kitaalamu hali hii hufahamika k**a erectile dysfunction. Hali hii haihusishi wale wenye tatizo la kumaliza hamu mapema (premature ej*******on) yaani wanaomaliza haja yao hata kabla ya mwenza kuridhika.

SABABU ZA TATIZO HILI.
📍Kuwa na maradhi ya moyo
📍Kuziba kwa mishipa ya damu (atherosclerosis)
📍Kuwa na mafuta mengi mwilini (high cholesterol)
📍Kuwa na presha ya kupanda (high blood pressure)
📍Kisukari
📍Matumizi ya baadhi ya madawa
📍Uvutaji wa sigara
📍Maradhi kwenye uume k**a peyronie
📍Unywaji wa pombe
📍Utumiaji wa madawa ya kulevya
📍Matibabu ya saratani ya korodani
📍Upasuaji katika maeneo nyeti au ugwe mgongo
📍Kuwa na mdongo wa mawazo ama woga
📍Mahusiano yasiyo mazuri
📍Kuwa na uzito kupitiliza

DALILI ZINAZOWEZA KUONYESHA UPUNGUFU.. (VIASHIRIA VYA KUKUFANYA UONNE IPO HAJA YA TIBA):
▪️Kuwahi kufika kileleni
▪️Kukosa hamu ya tendo
▪️Kushindwa kurudia tendo
▪️Dhakari kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
▪️Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
▪️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
▪️Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
▪️Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU
Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, wengi hudanganywa na kupewa dawa za kuongeza nguvu pale unapoenda kufanya tendo na sio dawa ya kutibu.

tunazo dawa za mimea zenye uwezo mkubwa wa kutatua matizo ya nguvu kwa kurejesha uwezo wa asili.

Dawa zetu ni za asili hazina kemikali yoyote
NA zipo katika bei elekezi ya Tsh 30000

Tunapatikana
DAR ES SALAAM
MAJOHE — VIWEGE
0627641949

02/09/2022

VISABABISHA VYA MAUMIVU YA TENDO LA NDOA

📍 Poor sexual stimulation- (Maandalizi mabovu wakati wa tendo)

📍 Vaginismus - ( misuli ya uke kukaza au kubana ghafla wakati uume uko ndani)

📍 Vulvovaginitis – Hii ni hali uke kushambuliwa na magonjwa k**a (Trichomonas vaginalis,

📍 ulceration vidonda ukeni, pamoja na kivimbe k**a jipu kinachoitwa bartholinitis)

📍 Vaginal dryness ( uke kuwa mkavu hii hutokana na hormone imbalance)

📍 Endometriosis - (vijivimbe katika kuta za uke ambvyo hutengeneza k**a vidonda pia (cyclical pain)

📍 PID/cervicitis

📍 Kisaikolojia kutokuwa sawa

📍 Ovarian cyst/ tumour - (uvimbe na uvimbe maji kwenye mayai)

📍 Allergy to s***m – hii huwa inatokea sana kwa baadhi ya wanawake kuwa na miwasho hasa wanapokutana na mbegu za kiume katika uke wao lakini pia hutokea hata kwa wanaume wakikutana na baadhi ya wanawake hupata miwasho hii ni aalegy nawengine hupata mapele na wakidhani wameambukizwa magonjwa pia husababisha kutoshika ujauzito pia

📍 Cystitis/ Uremritis hii ni U.T.I iliyokomaa mara nyingi imekuwa tatizo sana kwa wanawake wengi na imekuwa chanzo chakupata maumivu makali kwa wanawake wwengi

Karibu kwa Ushauli na tiba
Tunapatikana 👇👇
DAR ES SALAM
MAJOHE — VIWEGE
0627641949

AFYA BORA KWA WOTE

SOMA HAPO CHINI UTANISHUKURU👇👇. Pelvic floor musclesHII NDIO MISULI MHIMU SANA KWAKO MWANAUMEMisuli hii hutambulika Kwa ...
02/09/2022

SOMA HAPO CHINI UTANISHUKURU👇👇.

Pelvic floor muscles

HII NDIO MISULI MHIMU SANA KWAKO MWANAUME

Misuli hii hutambulika Kwa jina la Pelvic floor MUSCLES, Ni misuli ambayo imeshikilia asilimia 85% ya Uume.

Hii ndio misuli inayowezesha Mwanaume kusimamisha uume wake muda Mrefu .

Misuli hii imeunganisha uume na tundu la haja kubwa na sehemu ya mwanzo wa Uti wa Mgongo.

Misuli hii ikiwa Dhaifu uume pia unasimama kwa muda mfupi tu na hatimaye unasinyaa.

Vifuatavyo ni vitu ambavyo hupelekea msuli huu KULEGEA na kuufanya kuwa Dhaifu;

1. Bawasiri (kutokwa na kinyama kwenye sehem za tundu la haja Kubwa)
2. Kupata choo kigumu mara Kwa mara.
3. Kupiga punyeto/ kujichua.
4. Uzito mkubwa/ kitambi.
5. Kuingiliwa kimapenzi kinyume na maumbile/ kulawitiwa.

Tatizo la wanaume wengi kumaliza mapema Wakati wa tendo la ndoa inasababishwa na kusinyaa kwa misuli hiyo (Pelvic floor muscle)

JINSI YA KUITAMBUA MISULI HII

Nikuulize swali moja kidogo. Umeshawahi kubana mkojo?

Pengine upo maeneo ya ghafla k**a darasani, ofisini, mpirani, kwenye gari ama safarini.

Katika mazingira haya watu wengi wanajikuta wakibana mkojo kwa muda Fulani ili wamalizie uhondo wa mada Fulani.

Hivyo basi ile hali ya kubana mkojo unakuwa unaitumia misuli hiyo ya uume (Pelvic muscles) ambayo hutumika k**a breki ya mkojo.

SEHEM INAYOPATIKANA?

Misuli hii ya uume ipo chini ya maungo ya mapaja katikati ya korodani na sehemu ya haja kubwa!

Hivyo basi misuli hii (Pelvic floor muscle) ndiyo inayotakiwa ifanyiwe mazoezi, sehemu hii ikiwa kak**avu uume unasimama vizuri na utaacha kumaliza mapema (Premature ej*******on)

Uzuri ni kwamba Wengi waliopata bahati ya kuhudumiwa na Tumeweza kuwasaidia kuimarisha misuli hii Kwa kuwapa ushauri wa Mazoezi maalum pamoja na Matibabu sahihi!

K**a unapenda kuwa imara

Karibu kwa huduma bora na salama.
Tunapatikana
DAR ES SALAM
MAJOHE — VIWEGE
0627641949

Haya ni madhara ya kujichua ( punyeto ) 1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wa...
02/09/2022

Haya ni madhara ya kujichua ( punyeto )

1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako.

2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili

3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha uhanithi (uume kushindwa kusimama)

4. Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara

5. Huleta uchomvu sugu na kwa haraka zaidi, mara nyingi utahitaji kulala usingizi hata nyakati za mchana

6. Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye roho yako pia

7. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua

8. Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.

9. Punyeto inakupelekea kufanya makutanuturamu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho

10. Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.

11. Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your s***m count) k**a matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.

12. Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo k**a hutaiacha tabia hii haraka.

13. Punyeto inapoteza muda wako na kukufanya mtu usiye na faida

14. Raha ya kujichua haibaki akilini kwa kipindi kirefu k**a vile ukishiriki tendo la ndoa kwa na mtu halisi

Tunapatikana
DAR ES SALAM
MAJOHE — VIWEGE
0627641949

KUKUA KWA TEZI YA KIUMEKukua kwa tezi ya kiume kitalamu tunaita BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH).Hili tatizo mara nyin...
01/09/2022

KUKUA KWA TEZI YA KIUME
Kukua kwa tezi ya kiume kitalamu tunaita BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH).
Hili tatizo mara nyingi huanza baada ya miaka 40 hivi na dalili huja kujionesha uzeeni.

Hivyo tezi inaweza ikawa kubwa sana lakini haina dalili hii ni kutokana na sehemu gani ya tezi iliyovimba au kuongezeka Miongoni mwa changamoto inayo wakumba wanaume wengi karne hii ni Tezi-dume...

Dalili zake ni
- Kupata haja ndogo mara kwa mara hasa nyakati za usiku
- Kushindwa kutoa mkojo
- Kupata maumivu wakati wa kukojoa
- Kupata haja ndogo iliyo changanyikana na damu
- Kukosa kabisa hamu ya tendo la kikubwa
- Kupata maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.

📍 Wengi hupata maumivu ya nyonga k**a dalili za awali.

ZINGATIA
📍 Dalili hizi huweza kutofautiana kati ya mwanaume mmoja na mwingine.
📍 Pia sio kila mwenye dalili hizi basi ana Tezi-dume, Ni muhimu uchunguzi ufanyike kuthibitisha.

Karibu kwa Ushauli tiba na Vipimo
Tunapatikana
DAR ES SALAAM
MAJOHE — VIWEGE
0627641949

➡️Uzoefu wetu ni mkubwa sana katika kukabiliana na changamoto hii kwa njia salama na rahisi bila upasuaji wala madawa makali.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vima_herbal posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Vima_herbal:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram