Afya yako

Afya yako Jikinge na tibuu afya yako kwa kutumia bidhaa zilizo bora kutoka bfsuma

04/06/2021
mwanamke ondoa aibu unayoipata kwa kutumia femicare  Tsh 35000/=  ulipo utaletewa Tz nzimacall/WhatsApp   0746022763
22/05/2021

mwanamke ondoa aibu unayoipata kwa kutumia femicare

Tsh 35000/= ulipo utaletewa Tz nzima

call/WhatsApp 0746022763

12/05/2021

unakuwa wakala wa Bfsuma kwa maelezo zaidii nifuate inbox

CALL/WASUP 0746022763🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia👉kupa...
28/04/2021

CALL/WASUP 0746022763

🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀
👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
👉maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
👉kukosa usingizi
👉watu wengine macho kuwa mekundu

🍀ATHARI ZA BAWASILI🍀
👉upungufu wa dam mwilini
👉kinyesi kutoka bila kujitambua
👉kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
👉kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume
👉kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
👉kupata tatizo la kisaikolojia

🍀NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASILI🍀
👉kula mboga za majani na nafaka zisizokobolewa kwa wingi.
👉kunywa maji mengi lita sita au 12 kwa siku
👉acha kufanya tendo kinyume na maumbile
👉punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kusababisa shinikizo la dam sehem ya haja kubwa.

kwa kupata tiba pamoja na ushauri piga /WhatsApp 07460227663

call/wasup 0746022763🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia👉kupa...
18/04/2021

call/wasup 0746022763

🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀
👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
👉maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
👉kukosa usingizi
👉watu wengine macho kuwa mekundu

🍀ATHARI ZA BAWASILI🍀
👉upungufu wa dam mwilini
👉kinyesi kutoka bila kujitambua
👉kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
👉kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume
👉kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
👉kupata tatizo la kisaikolojia

🍀NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASILI🍀
👉kula mboga za majani na nafaka zisizokobolewa kwa wingi.
👉kunywa maji mengi lita sita au 12 kwa siku
👉acha kufanya tendo kinyume na maumbile
👉punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kusababisa shinikizo la dam sehem ya haja kubwa.
👉MATIBABU ConsintRirax Novel-Depile

17/04/2021

kwa mawasiliano zaidii piga/wasup 0746022763

*BAWASILI*  *DALILI ZA BAWASILI* 👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa.👉Kupata maumivu makali wakati wa kuji...
17/04/2021

*BAWASILI*

*DALILI ZA BAWASILI*
👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa.
👉Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia.
👉Kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa.
👉Kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo.
👉Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana.

* NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASILI #*

💌Matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula, hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia virutubisho ambavyo vitashughulika na Mfumo wa Mmeng'enyo mzima wa Chakula Kwanzia Kinywani hadi sehemu ya haja kubwa ili kumaliza kabisa Tatizo Hilo.

*UGONJWA WA BAWASILI UNAWEZA KUEPUKIKA KWA KIFUATA MFUMO UFUATAO*

👉KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA.
👉KUNYWA MAJI MENGI.
👉EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU.
👉EPUKA KUKAA MUDA MREFU BILA KWENDA HAJA KUBWA.

*MADHARA YA TATIZO LA BAWASILI*

👉kupata upungufu wa damu (anemia).
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo.
👉Hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.
👉Kuathirika kisaikolojia.
👉kukosa morale (Hari) ya kufanya kazi kutokana na Maumivu Makali.

*KWA MASWALI NA USHAURI NA MATIBABU*

Tafadhali Wasiliana Nasi 📥 call/WhatsApp 0746022763

16/04/2021

Xpower Coffee
Huboresha tendo la ndoa bila kukuachia madhara kabisa ya kiafya sababu Ni ya asili asilimia 100%

Imetengenezwa kwa mitishamba inayotumika kutibu matatizo ya uzazi kwa wanaume kwa miaka mingi Sana iitwayo...Maca, Tongkat ali, Ginseng na Epimedium..

Huongeza hamu ya tendo la ndoa
Huongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa
Hufungua mishipa midogo midogo kwenye Uume hivyo kumfanya mwanaume kukaa muda mrefu kwenye tendo na kumridhisha mwenzi wako. (Haimaanishi ndo usimuandae kufanya tendo la ndoa)
Huondoa maumivu ya mgongo, uchovu na msongo wa mawazo na humfanya mwanaume awe katika ubora wa Hali ya juu katika tendo la ndoa.
Husaidia kuzalisha mbegu zenye ubora na zisizokufa mapema kwa wale wenye shida ya uzazi.

call/WhatsApp 0746022763

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/SEHEMU ZA SIRI( VAGINAL CANDIDIASIS ). UKE ni KIUNGO cha UZAZI cha MWANAMKE ,ambamo ndani ya...
18/02/2021

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/SEHEMU ZA SIRI( VAGINAL CANDIDIASIS ).

UKE ni KIUNGO cha UZAZI cha MWANAMKE ,ambamo ndani yake kuna Lactobackujitibucteria na fangasi wazuri ambao wako katika kiwango kinacholingana .

BAKTERIA hawa na FANGASI hizi husaidia sana kuulinda UKE na MARADHI mbalimbali endapo UWIANO wake hautabughuziwa .
Lactobacillus bakteria hutoa acid ambazo huzuia fangasi kukuwa au kuwa wengi .

UGONJWA wa FANGASI za UKENI ni ugonjwa anaoupata MWANAMKE endapo fangasi watakuwa wengi zaidi ya bacteria wazuri waliopo UKENI au k**a pH ya UKENI imezidi kiwango cha kawaida kinachopaswa ( pH 3.5 - 4.5 ndio kiwango kizuri kiafya ).

FANGASI za UKENI hujulikana k**a Candida .Lakini zile zinazosababisha UGONJWA UKENI zinajulikana k**a CANDIDA ALBICANS .Fangasi hawa husababisha muwasho mkali , Uvimbe kwenye kuta za Ukeni na pia Mtekenyo .

MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA FANGASI UKENI .
Sababu zipo nyingi sana lakini baadhi ya sababu hizo ni hizi zifuatazo :-

1. MATATIZO YA HOMONI.
Homoni za kubadilika /kuwa nyingi sana au kushuka sana . Tatizo ili linaweza kusababishwa na Ukomo wa hedhi ,Ujauzito , Kuwa katika siku za mwezi ( MP ), matumizi ya dawa za kuongeza kiwango cha homoni za k**e .

2. MATUMIZI YA ANTIBIOTICS.
Hii usababisha kuua Bacteria wazuri na kubadili pH ya Uke .

3. KUFANYA MAPENZI NA MGONJWA.
Hii inasababishwa na kufanya mapenzi na Mtu aliye na Ugonjwa wa fangasi za sehemu za siri bila kinga .

4. KUSHUKA KWA KINGA YA MWILI .
Hii inaweza kusababishwa na Magonjwa mbalimbali k**a Ukimwi ,Kisukari , Upungufu wa Madini , Vitamini na Virutubisho mbalimbali vya Mwili .

5. ULAJI MBAYA .
Hii linatokana na kutozingatia utaratibu mzuri wa Ulaji. Kupendelea Vyakula vyenye Sukari kwa wingi ( Sukari ni chakula kwa fangasi ivyo uongezeka ) .Pia punguza vyakula vinavyokuongezea asidi nyingi tumia zaidi vinavyokuongezea alikaline mwilini ili kuweka sawa uwiano katika mwili .

6. USINGIZI.
Kukosa usingizi na Msongo wa mawazo .

call/wasup 0746022763

05/01/2021

KIBOKO YA FANGASI,U.T.I SUGU,MIWASHO KWA WANAWAKE HII HAPA:-

Imetengenezwa kwa virutubisho kutoka kwenye mimea, matunda madini na viua sumu mwilini.

Inamadini yanayohuisha uke na kuwa na ulinzi asilia,inaviua sumu vinavyozuia uke kuzeeka(mashavu),uke uliolegea,

Ina mafuta mazuri yanaitwa essential oil kwa ajili ya kufanya uke urudishe mnato wake wa asili. Kazi zake ni hizi hapa👇🏼👇🏼
👉🏿Huondoa fangasi,miwasho na harufu mbaya ukeni
👉🏿Huondoa bacteria wabaya kutibu na kuzuia U.T.I sugu
👉🏿Hurudisha size nzuri ya uke hasa uke uliolegea na kupwelepweta.
👉🏿Huondoa maji maji yatokayo ukeni yenye Harufu mbaya k**a shombo la samaki na ya mgando k**a mtindi
👉🏿Huondoa maumivu ya kiuno na wakati wa tendo la ndoa
👉🏿Humkinga mwanamke na maambukizi mabaya hasa fangasi na u.t.i sugu kwenye vyoo,kemikali za swimming pool, maambukizi Mabaya kutoka kwa mwanaume.n.k👇🏿👇🏿👇🏿 Piga simu kupata oda yako sasa 0746022763

26/12/2020

X power Man set ya Vidonge na Kahawa imetengenezwa kwa ustadi mkubwa
kuwezesha kusaidi homoni ya Testestory inayoratibu shughuri zote muhimu za kiume ndani ya mwili kuweza kulejea katika uwezo wake wa kufanya kazi vizuri.
X Power Man Capsules (Nguvu zaidi kwa Wanaume).
Ni bidhaa yenye mchanganyiko wa virutubisho vinavyoboresha Afya ya Uzazi kwa Mwanaume
FAIDA ZAKE
 Una Mchanganyiko wa kipekee wa vyakula vya asili vinavyoongeza ufanisi katika tendo la ndoa
 Inamuongezea Mwanaume uwezo wa kufanya mapenzi bila madhara
 Kuongeza wingi na ubora wa manii (s***m)
 Inasaidia kumuongezea mwanaume hari ya kujiamini
 Inaondoa Uchovu na msongo wa mawazo
 Inaoboresha mzunguko wa damu kwenye uume hari inayosaidia uume kusimama vizuri.
VIUNGO (Ingredients)
 Epimedium ni kirutubisho kinachoongeza hamu ya kufanya mapenzi, kinasaidia
kuchelewa kufika kileleni na kuongeza uwezo wa s***m kurutubisha Yai.
 Maca inaongeza nguvu kwa mwanaume na kusimama kwa uume.

*Dr Cow* Je una mtoto ambaye:👉👫Anasumbua kula? 👉👫Ana nywele nyepesi k**a mgonjwa?? 👉👫Ana matatizo ya meno kuota?? 👉👫Ana ...
21/12/2020

*Dr Cow*

Je una mtoto ambaye:
👉👫Anasumbua kula?
👉👫Ana nywele nyepesi k**a mgonjwa??
👉👫Ana matatizo ya meno kuota??
👉👫Ana mifupa laini ambayo rahisi kuvunjika??
👉👫Mtoto ambaye hakui kwa haraka k**a inavyotakiwa???
👉👫Anayeumwa mara kwa mara kikohozi na mafua???
👉👫Ana matege??? Jibu ni kwamba mtoto huyo ana upungufu wa madini hasa ya calcium

Sasa kwakua tunajua watoto hawapendi vyakula, ambapo vyakula hivyo vina virutubisho vizuri ikiwemo madini ya calcium ambayo ni muhimu sana katika suala zima la ukuaji wao.

Bf suma kwa kujua hilo inakiletea bidhaa inayoitwa *DR COW* maalum kwa watoto na wamama wanaonyonyesha kwa ajili ya kuongeza calcium mwilini mwake.
Dr cow ipo kwenye mfumo wa candy ambao watoto wengi sana wanapenda na ilivyo k**a p**i, mtoto akionja tu anaweza kula vingi sana. Mtoto anatakiwa ale 4 tu ambapo kula hivyo vinne ni sawa sawa na mtoto aliyekunywa maziwa ml 200. Mtoto akianza kutumia hii bidhaa hata magonjwa yatamkalia mbali.

*Dr cow inasaidia sana watoto na mama mjamzito.*
Wasiliana nasi0676228347

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya yako:

Share