22/11/2021
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Katika zama hizi za sayansi na teknolojia, tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limezidi kuwa kubwa Tanzania na dunia nzima.
Hapo zamani tatizo hili lilikuwa la wazee zaidi lakini jambo la ajabu na kuhuzunisha tatizo hili kwa miaka ya sasa, limekuwa likiwakumba vijana wengi sana zaidi hata ya wazee. Utamkuta mwanaume ni wa umri wa miaka 18 au 25 ama 30 au 40 lakini jinsi anavyotenda tendo la ndoa ni sawa na mzee wa umri wa miaka 90 au 100.
Atakwambia, "ninafika kileleni ndani ya dakika 2," au " nikimaliza raundi ya kwanza siwezi kurudia mpaka ifike kesho," au "uume wangu unasimama kwa uregevu sana, na nikiingia ukeni tu unaregea,". Habari k**a hizo ni nyingi mno na kwa watu tofauti tofauti, vijana kwa wazee, na vijana kwa miaka ya sasa wakiwa wameshika usukani zaidi hata ya wazee.
Kwa bahati nzuri matatizo mengi ya nguvu za kiume yanatibika, iwapo tu matibabu sahihi yatachukuliwa kuanzia kwenye chanzo cha tatizo.
Hata hivyo, kwa bahati mbaya, waathirika wengi wa nguvu za kiume wamekuwa hawaponi kutokana na kubugia tu chungunzima ya dawa mbalimbali na kupoteza tu pesa bure kwa matibabu hayo yakubahatisha.
YA NGUVU ZA KIUME.
Ni neno lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi, kusimama kwa uume barabara, uwezo wa kurudia tendo la ndoa kwa wakati muafaka, pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili muda wa tendo. Kwa ujumla vipengele hivyo ndivyo ukamilifu wa nguvu za kiume.
ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
1.kukosa hamu ya tendo la ndoa.
2.k**a uume hausimami barabara.
3.k**a uume unasimama kwa muda mfupi kisha kulegea.
4.k**a uume wako unalegea mara tu ya kuingia kwenye uke wa mwanamke.
5.k**a unafika kileleni muda mfupi tu baada ya kuingia ukeni.
6.k**a unashindwa kufika kileleni kabisa.
7.k**a unasikia maumivu wakati uume unaposimama, wakati wa tendo au baada.
8.k**a unashindwa kutoa mbegu(shahawa).
9.kuchelewa kupita kiasi kufika kileleni.
10,kuchoka sana baada ya tendo.
MWILINI VINAVYOHUSIKA NA NGUVU ZA KIUME.
1.ubongo. 2.moyo. 3.mishipa ya neva. 4.mishipa ya ateri. 5.mirija iliyo ndani ya uume( corpora cavernosa). 6.neva maalumu za parasympathetic. 7.tezi dume(prostate gland). 8.ini. 9.figo. 10.homini ya testestorone. 11.kemikali za acetylcholine. 12.serotonin. 13.dopamine. 14.uti wa mgongo. 15.kiuno au eneo la chini ya mgongo. 16.eneo la nyonga. 17.misuli maalumu iitwayo pelvic floor. 18.tezi pituitari(pituitary gland). 19.utando maalumu wa uume uitwao tunica albuginea. 20.misuli iitwayo pubococcygeus (PC muscles). 21.kemikali ya nitric oxide n.k...
/SABABU.
Zipo sababu mbalimbali na tofauti, zikiwemo vyakula,maradhi, tabia za mtindo wa maisha zakujizoesha.
1.punyeto(masturbation).
2.kisukari.
3.presha yakupanda na kushuka.
4.uvutaji wa sigara.
5.unywaji wa pombe.
6.madawa ya kulevya.
7.kufanya kazi kuzidi kiwango na kukosa muda wa kupumzika.
8.matatizo yakukosa usingizi.
9.unene au uzito wa mwili kuwa mkubwa.
10.kutokunywa maji ya kutosha.
11.kutofanya mazoezi ya mwili.
12.tatizo la kumbukumbu.
13.kuvimba kwa tezi dume.
14.saratani ya tezi dume.
15.matibabu ya mionzi ya tezi dume na operesheni.
16.vyakula vilivyowekea homoni bandia za k**e.
17.ugonjwa ambao huduru ubongo na mwondoko.
18.vyakula vya mafuta mengi.
19.kiharusi (stroke).
20.madawa ya kemikali(madawa ya hospitalini).
**Upungufu wa kiume unatibika, endapo utapata tiba sahihi itakayoweza kutibu hadi chanzo cha tatizo hilo. Watu wengi hukurupuka kutumia madawa mbalimbali pasipo hata kupona. Sababu kubwa ya kutokupona ni kutumia dawa za mitishamba ambazo hazijafanyiwa utafiti wakisayansi, pia kutumia dawa pasipo kujua chanzo cha tatizo hilo ni nini.
KWA TIBA YA VIRUTUBISHO VYA MIMEA YA ASILI SAHIHI KWA TATIZO LAKO NA USHAURI, KARIBU NobleDream Green Health
Kwa walio Dar es Salaam fika MLIMANI TOWEL karibia na MLIMANI CITY au wasiliana nasi kwa simu.
kwa walio mikoani au nje ya nchi wasiliana nasi kwa ushauri na pia tutaweza kukutumia virutubisho kukufikia popote ulipo mara tu utakapo pata mashauri na kufanya malipo.
MAWASILIANO:
TUMA UJUMBE KUPITIA PAGE HII NOBLEDREAM GREEN HEALTH. AU
WHATSAPP 0621392776.