Health care and medical center

Health care and medical center Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Health care and medical center, Medical and health, starringluck741@gmail. com, Dar es Salaam.

Welcome to the health care and medical center,, this page will help to know you're healthy statue,,, living style and also about cosmetic products which will be good for your healthy au kwa afya yako

28/01/2022

Hello my people,,leo nipo free natoa nafasi ya mtu kunielezia tatizo lake Dm,,, karibuni

Matunda husaidia ku-boost au kuongeza au kukukinga na magonjwa mbalimbali yale,,,,kwa mfano husaidia kw mgonjwa kwa kuml...
15/10/2021

Matunda husaidia ku-boost au kuongeza au kukukinga na magonjwa mbalimbali yale,,,,kwa mfano husaidia kw mgonjwa kwa kumletea nguvu,,,,
NB; upende kula matunda kwa uwingi ht ukiw mtu mzim wenye afya yko,,,,

14/10/2021

TATIZO LA MWANAUME KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME NA KUA NA UUME MDOGO HUTOKEA kwa sababu tofautitofauti wapo ambao wamekua na shida io baada ya kufanya sana punyeto, wapo ambao wamewah ugua magonjwa yanayo athiri mfumo wa uzazi k**a vile ngiri lakn pia wengine walitahiriwa wakiwa wadogo sana lakin jambo jema ni kua shida hii inatatiluliwa vzur kwa kutumia dawa inaitwa MSENZAGUA iliotengenezwa kwa mchanganyiko wa mitishamba na mimea tiba zaidi ya12 inayopatikana apa Tanzania na mengine kutoka India ni dose ya siku11 na dose hii inajumuisha dawa2 ambapo yakwanza inatumika kwa kunywa kwa siku6 inafuata inayotumika kwa kupaka kwa siku5 lengo nikufanya matibabu yaliokamili yakwanza inanza kusafisha mfumo wako wa uzazi wote kwa ujumla kwa kuzibua mirija yako ya uzazi ambayo ndio mishipa mikubwa miwili inayofanya kazi ya kuingiza damu na kutoa kwenye uume wako sasa hii mirija mara nyingi huwa inasinyaa kwa sababu ya kufanya sana punyeto na sababu nyingine k**a vile mfumo wa maisha ulaji wa vyakula visivyo sahih hupelekea mirija hii kuwa na kiwango kikubwa cha uchafu k**a vile mafuta ivo kushindwa kufanya kazi yake ya kusafirisha damu kwa kiwango sahihi kuingia kwenye uume wako ivo kufanya uume wako kuwa dhaifu sana nakushindwa hata kumudu tendo ipasavyo lakini pia misuli ya uume husinyaa kwa sababu izo ivo kufanya uume wako kuonekana mdgo sana na kusimama kwa udhaifu sana ivo io dawa inayofuata inatumila kwa kupaka kwa siku5 inalaza missuli kwa wenye changamoto ya kuwa misuli ya uume iliolegea na ivo kukufanya kua na uume wenye misuli imara na nguvu za kutosha tupigie simu 0685664984 tukusaidie

13/10/2021
03/10/2021
28/09/2021

Napenda kutoa wito kwa watu 🌝
Kuweza kuniuliza juu ya afya au changamoto inayomkabil kuhusu afya,,,,,
Karibu kuuliza,,,,pia naombeni support yenu ya kuwaita na wengine zaidi il waje kujua afya zao pia,,,

Send a message to learn more

Karibu nikutatulie
26/09/2021

Karibu nikutatulie

26/09/2021

Dalili za PID huweza kuwa ni ngumu kueleweka. Baadhi ya wanawake hawaoni dalili zo zote. Kwa maana hiyo, unaweza usihisi cho chote hadi pale utakaposhindwa kupata ujauzito au hadi utakapoanza kupata maumivu ya kiuno.Dalili Za PID
PID inaweza isilete dalili zo zote mbaya na ndogo zikitokea zinaweza kuwa ngumu kuzigundua. Baadhi ya wanawake hawapati dalili zo zote. Pale zinapojitokeza, zinaweza kuwa:
Maumivu – yanaweza kuwa madogo au makali – maeneo ya chini ya tumbo au nyonga Uchafu usio wa kawaida au mzito ambao unaweza kuwa na harufu mbaya Kutokwa damu kusiko kwa kawaida, hasa wakati wa tendo la ndoa, au katikati ya siku Maumivu wakati wa kujamiiana Homa, wakati mwingine kusikia baridi Maumivu wakati wa haja ndogo, haja ndogo ya mara kwa mara au haja ndogo kutoka kwa shida.

26/09/2021

Maambukizi kwenye njia ya uzazi au kwa kifupi PID, ni mambukizi ya bacteria yanayoathiri sana wanawake kwenye mfumo wa uzazi. Na kuweza kuleta athari katika sehemu zozote kwenye njia ya uzazi. Moja ya athari za PID ambayo wanawake hupata ni kutoweza kushika mimba yaani ugumba.

Tafiti zinasema kati ya wanawake nane walaiowahi kuugua PID basi mmoja wao atakutana na shida kupata mimba kwa siku za hapo baadae. Huku wale wanaofanikiwa kupata ujauzito basi hupata matatizo pia ikiwemo mimba kuharibika au kujifungua kabla ya wakati.

26/09/2021

What is pelvic inflammatory disease (PID)?
PID is infection and inflammation of one or more organs in a woman's pelvic area, such as the cervix, endometrium (lining of the uterus), fallopian tubes or ovaries.

It affects around 1 in 8 women and is most common in sexually active women aged 20 to 24.

When diagnosed early, PID is easily treated and most women make a full recovery.

Address

Starringluck741@gmail. Com
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health care and medical center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram