28/05/2023
UNAJUA NI CALORIES NGAPI BINADAMU WA KAWAIDA ANATAKIWA KULA KWA SIKU ILI KUWEZA KUMAINTAIN UZITO WAKE? ๐ค
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐?
Kwa lugha nyepesi kabisa iko hivi, Kiwango cha Calories Kwenye chakula chako ni sawa na Kiwango cha โENERGYโ kilichohifadhiwa kwenye hicho chakula.
Mwili wa Binadamu Unaitaji hii โENERGYโ kuweza kufanya kazi zake kawaida k**a Vile ๐๐ถ๐ฐ๐ฏ๐จ๐ฆ๐ข, ๐๐ถ๐ต๐ฆ๐ฎ๐ฃ๐ฆ๐ข, ๐๐ถ๐ฑ๐ถ๐ฎ๐ถ๐ข, ๐ฌ๐ถ๐ธ๐ข ๐ฎ๐ข๐ค๐ฉ๐ฐ, ata kazi ndogo k**a ๐๐ถ๐ด๐ข๐จ๐ข ๐๐ฉ๐ข๐ฌ๐ถ๐ญ๐ข ๐ฎ๐ธ๐ช๐ญ๐ช๐ฏ๐ช au ๐๐ถ๐ง๐ช๐ฌ๐ช๐ณ๐ช๐ข na hii Energy mwili unaitoa kwenye Calories za kwenye hivi vyakula.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐?
Mtu wa kawaida (Average Person) anatakiwa kula Calories 2,000 kwa Wanawake hadi 2,500 kwa Wanaume. Lakini pia kiwango hutofautiana kutokana na sababu nyingi k**a JINSIA, UMRI na ACTIVENESS ya huyo mtu.
Mfano mtu anaefanya mazoezi mara kwa mara, na anayejishughulisha sana kwa siku ataitaji Calories Nyingi kuliko Mtu anaekula na Kukaa tu.
Pia chanzo cha unapopata hizo Calories ni muhimu sana, Mfano kuna vyakula vina Calories nyingi lakini havina VIRUTUBISHO, hivyo hapo Mwisho wa Simu Unajikuta umekula Calories Nyingi lakini mwili hauna Afya Kabisa hivi vyakula vinaitwa โ๐ฌ๐๐๐๐ ๐ช๐๐๐๐๐๐๐โ
๐๐๐๐ง๐จ: Keki ๐ฐ , Cookies ๐ช , Donuts ๐ฉ, Nyama ๐ฅฉziliokua processed k**a Sausage๐ฅ, Soda๐ฅค, Chips๐ , Pizza ๐, Ice Cream ๐ฆ na vingine vyingi.
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐:
Kila Calories kumbuka ni Energy, na Mwili unaitaji kidogo tu kutokana na matumizi yake, tufanye ni Calories 2500/= Tu, sasa K**a haufanyi Mazoezi na kwa siku Umekula Calories 4,000 hapo umekula Wali mwingi, Soda, Cake, Mkate, Chai, Chips mayai
Kitakacho tokea ni kwamba Mwili utatumia Calories unazoitaji alafu zitakazo baki Mwili utazihifadhi kwenye Cell kwa kuzibadilisha kua Mafua. Na hapo ndipo unaanza Kujikuta unanenepa Mwili.
Hivyo basi, Ili kuishi maisha ya afya, Epuka kula โ๐ฌ๐๐๐๐ ๐ช๐๐๐๐๐๐๐โ na ule vyakula vyenye Calories nzuri k**a Matunda, Mboga mboga, Protein, au Wali wa Brown.