
22/06/2023
SIFA ZA CHAKULA ILI KUWEZA KUWA DAWA YA MAGONJWA MWILINI.
Kitu chochote kuwa Bora ni lazima kiwe na sifa maalumu .
Vivyo hivyo kwa chakula chako kiwe ili kiwe Bora na kuweza kuwa dawa mwilini ni lazima kiwe na sifa hizi
1.. kiwe na virutubisho vilivyo kusudiwa
Mfano: ukila chungwa liwe chungwa lenye vitamini C
Bila kuwa na virutubisho hivyo unakuwa umekula makapi yasio na virutubisho vinavyo takiwa.
2.. Kula chakula kwa wakati SAHIHI kulingana na Kundi lake la chakula.
Mfano: kinaliwa kabla au baada au pamoja na .
Usipo weza kuzingatia hili Kuna vyakula ukila utapoteza virutubisho vyake muhimu sababu ya muda ulio kila.
Je sasa kwanini pamoja na watu kula mlo unaoshauriwa bado wanapata tabu na magonjwa ?
TAG .. uwapendao nao wajue
Follow.. kujifunza zaidi
Andika kwenye comment K**a ndo umejua hili Leo