Selina health care

Selina health care Nawasaidia wanaume wenye changamoto yeyote ya nguvu za kiume, pia nawasaidia wakina mama wenye chang

25/10/2022

ZOEZI LA UCHUNGUZI WA KIAFYA KWA WATU WOTE.

Unachangamoto yoyote ya kiafya inayokusumbua, au inayokukabili au kukukosesha usingizi au kukupa mawazo?

Umewahi kufanya uchunguzi wa kina watatizo lako?

Kwa sasa taasisi ya Gcat eternal health inayojihusisha na afya na kutoa huduma ya uchunguzi wa mag'onjwa mbalimbali imeanza zoezi la utoaji wa vipimo vya mwili mzima kwa gharama nafuu sana ya 20,000 tu.

Utafanyiwa uchunguzi kwenye maeneo haya;
1/Mfumo wa damu/mishipa ya damu(Moyo na ubongo)
2/Mifupa na maradhi ya Mifupa
3/Mfumo wa uyeyushaji na mmeng'enyo wa chakula
4/Afya ya uzazi kwa kina mama
5/Afya ya Ngozi na maradhi ya Ngozi
6/Mfumo wa fahamu
7/Jicho na maradhi ya macho
8/Afya ya uzazi kwa kinababa
9/Mfumo wa upumuaji.

Zaidi ya watu 230 sasa wamepata huduma ya uchunguzi wa vipimo na kupatiwa ufumbuzi wa matatizo yanayowakabili.

Baada ya uchunguzi utaweza jua chanzo Cha tatizo lako, tatizo lenyewe na ugonjwa nyemelezi.

Pia utakutana na wataalamu watakao kusimamia, kukushauri, na kukusaidia kuondokana na tatizo lako,

Zaidi sana utaokoa muda wako Kwa kuhudumiwa kwa haraka na Kwa gharama nafuu.

Tupo Dar es salaam, kariakoo mtaa wa Uhuru na Muheza,
Mawasiliano 0743 696 935.

Kumbuka Huduma hii ni Kwa watu 20 tu wa mwanzo idadi ikitimia gharama itapanda.

25/07/2022

Nawasaidia wanaume wenyechangamoto za nguvu zakiume, pia nawasaidia wakina mama ,wakina dada, wenyechangamoto zozote zile za uzazi na wenye kutaka kupunguza unene kwa njia rahisi na salama.

Kwa yeyote yule mwenye changamoto nilizozieleza hapo juu usisite kunitafta kwa namba hizi 0743696935

Au kufika ofisini jengo la China Plaza.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Selina health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram