
11/06/2025
BOOK YOUR APPOINTMENT NOW
📞 #0782-421367
Tezi ya koo ni tezi ndogo yenye umbo la kipepeo, iliyopo mbele ya shingo chini ya koromeo (kibuyu cha koo). Tezi hii huzalisha homoni zinazodhibiti kasi ya mwili kutumia nishati (metabolism), mapigo ya moyo, joto la mwili, na kazi nyingine muhimu za mwili.
burhanihospital