Dr_Nazar na Afya

  • Home
  • Dr_Nazar na Afya

Dr_Nazar na Afya NASAIDIA KUTATUA CHANGAMOTO ZOTE ZA VIUNGO NA MIFUPA

24/05/2023
Pona bila kufanyiwa upasuaji.
16/05/2023

Pona bila kufanyiwa upasuaji.

Tatua Changamoto yako Sasa.
16/05/2023

Tatua Changamoto yako Sasa.

Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.Kazi yake kubwa nikutengeneza ...
16/05/2023

Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.

Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mno. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.

Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume,

mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.

Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

Address


Telephone

+255711717053

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr_Nazar na Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram