08/05/2023
Tatizo la tumbo kujaa gesi imekuwa kubwa kwa siku za hivi karibuni. Hii inatokana nalishe mbovu tunayokula kila siku kwa kutegemea zaidi vyakula vya haraka na bei rahisi (fast foods & snacks). Vyanzo vingine vya tatizo ni msongo wa mawazo, matumizi ya vidonge mara kwa mara na mazingira yenye sumu yanayotuzunguka k**a moshi wa magari na kemikali za viwandani
Madhara ya Tumbo Kujaa Gesi
Kuwa na gesi tumboni ni tofauti kabisa na kitambi. Kitambi kinaweza kuwa cha muda mrefu lakini tumbo la gesi ni la muda tu baadae husinyaa na kurudi katika hali ya kawaida kwani huletekezwa na hewa kukwama tumboni na kufanya tumbo kutanuka. Kwa watu wengine tumbo linaweza kuwa kubwa k**a mjamzito
📍Homa
📍Muwasho kwenye koo, machozi
📍Kukosa choo au kupata choo kigumu na kuharisha
📍Uwepo wa damu kwenye hajakubwa au mkojo
📍Kupungua kwa uzito kusiko kawaida
📍Maumivu kwenye sehemu za tezi hasa kwenye koo na kwapa
📍Mwili kukosa nguvu na uchovu sana
📍Kuvurugika kwa hedhi
📍Bawasiri
📍Ubongo kutofanya kazi vizuri
Sababu Zinazoletekeza Tumbo Kujaa Gesi
📍Matatizo kwenye Mmeng’enyo wa Chakula
Magojwa k**a Ulcerative colitis, celiac disease na IBS-inflammatory bowel syndrome huletekeza kujaa gesi kwa tumbo
📍Maji kubakizwa mwilini (fluid retention)
Wakati fulani maji yanaweza kuabakizwa kwenye sehemu fulani za mwili k**a kweye magoti, tumboni na kwenye nyonga. Maji haya huletekeza maumivu makali kwenye joints na tumboni. Uwepo wa maji tumboni hujulikana k**a ascites na inaweza kuashiria kwamba una tatizo kwenye ini au maambukizi ya bacteria.
📍Mwili kukosa maji (Dehydration)
Umewahi kufuatilia siku ukiwa umekunywa sana pombe ama kula zaidi vyakula vyenye chumvi kwa wingi na tumbo likajaa gesi?. Mwili unapokosa maji hufanya uchakataji na usagaji wa chakula kuwa mgumu. Mwili unapokosa maji ya kutosha hufanya kazi ya kuvuta na kuhifadhi maji mengi zaidi pale utakapokunywa maji ili kuepuka kutokea kwa upungufu huu.
Majeraha Kwenye Mfumo wa Chakula
Wakati mwingine unaweza kupata gesi tumboni kutokana na vidonda ama uvimbe kwenye baadhi ya sehemu za mfumo wa chakula k**a utumbo mdogo na utumbo mpana. Uvimbe unaweza kuzuia utolewaji wa uchafu na kuletekeza gesi na maji kukwama.
📍Mabadiliko ya Homoni
PMS (pre menstrual syndrome) ikimaanisha mkusanyiko wa dalili zisizo za kawaida za kipindi cha hedhi ni chanzo cha tumbo kujaa gesi. Tatizo linaweza kuwa kubwa k**a una uvimbe kwenye kizazi na hedhi yako inavurugika. Kwanini wanawake hupata gesi tumbo wakati au karibia na kipindi cha hedhi? Mwanamke anapokaribia hedhi kiwango cha homoni ya estrogen huongezeka na ukuta wa mfuko wa mimba kuongezeka. Pale anapopata siku zake basi damu na maji mengi hutolewa nje na hivo tumbo kurudi katika hali ya kawaida.
📍Saratani
Moja ya dalili za saratani ya utumbo mpana na saratani ya mfuko wa mimba ni tumbo kujaa gesi. Ndio maana ni muhimu kuongea na daktari wako pale ambapo umejaribu kila njia ya kundoa tatizo lako lakini bado halijaisha.
USHAURI
Vyakula vya Kuepuka pale Unapotaka Kutibu Tatizo la Tumbo Kujaa Gesi
📍Vyakula vya sukari na snacks zilizooongezewa utamu
😒Nafaka na vyakula vya nafaka hasa ngano na Maharage huongeza uzalishaji wa gesi tumboni
📍Vinywaji vilivosindikwa k**a soda (Carbonated drinks)
MUHIMU UTUMIE TIBALISHE KUIMARISHA MFUMO MZURI WA MMENG’ENYO WA CHAKULA NA KUZALISHA BACTERIA WALINZI TUMBONI (probiotics) ITAKUSAIDIA SANA KUONDOKANA NA TATIZO LAKO GAS TUMBONI
NIPIGIE KWA NAMBA +255 786 094 976