Star health care

Star health care Tunatatua matatizo ya kiafya kwa kutumia virutubisho lishe

Tatizo la tezi dume inatibika bila upasuajiTatizo la tezi dume lina njia nyingi ambazo zinatumika kutatua tatizo hilo na...
09/01/2021

Tatizo la tezi dume inatibika bila upasuaji

Tatizo la tezi dume lina njia nyingi ambazo zinatumika kutatua tatizo hilo na leo nataka nikushauri kuwa njia ambayo ni salama kwako katika kutatua tatizo hili ni kutumia virutubisho vya asili ambazo hazina kemikali kabisa. Njia hii imesaidia Sana Wanaume wengi kutatua matatizo hayo na Wamekuwa wametupatia ushuhuda mkubwa.

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Ngono zembe ni kikwazo kikubwa Kwa tezi dume Tatizo la kuvimba Kwa tezi dume linasababishwa hasa na ufanyaji wa ngono ze...
08/01/2021

Ngono zembe ni kikwazo kikubwa Kwa tezi dume

Tatizo la kuvimba Kwa tezi dume linasababishwa hasa na ufanyaji wa ngono zembe, sababu hii hupelekea tezi dume kufanya kazi zaidi ya uwezo wake na ndivyo hupelekea tatizo la kuvimba Kwa tezi dume.

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Tatizo la tezi dume siyo tatizo la Kawaida Tatizo la tezi dume limekuwa likiwatesa Sana Wanaume na Wengi hufikiri ni Kaw...
07/01/2021

Tatizo la tezi dume siyo tatizo la Kawaida

Tatizo la tezi dume limekuwa likiwatesa Sana Wanaume na Wengi hufikiri ni Kawaida kukutana na tatizo hilo, tunapenda kushauri kuwa unapopata tatizo ni vyema Ukalitafutie ufumbuzi.

Tatizo la tezi dume linatatulika kabisa Kwa kutumia virutubisho lishe na vya asili ambazo hazina kemikali kabisa

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Wanaume wengi ambao wamepata tatizo la tezi dume hudhani kuwa wamelogwaJamii zetu zimekuwa zikiamini Sana upande wa ushi...
06/01/2021

Wanaume wengi ambao wamepata tatizo la tezi dume hudhani kuwa wamelogwa

Jamii zetu zimekuwa zikiamini Sana upande wa ushirikina Kwa sababu ya namna au aina ya matatizo husika, tatizo la tezi dume huwa ni moja ya matatizo hayo Kwa sababu hauambukizwi na Mtu mwingine lakini pia huchagua kundi la Watu Kwa maana ya umri ambao ni miaka 45 na kuendelea.

Epuka dhana mbovu zilizopo Kwenye jamii zetu, pata tiba sahihi ya tatizo lako

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Je! Umepata matibabu ya tatizo la tezi dume na haukufanikiwa kutatua tatizo lako?Tatizo la tezi dume limekuwa likiwapa c...
05/01/2021

Je! Umepata matibabu ya tatizo la tezi dume na haukufanikiwa kutatua tatizo lako?

Tatizo la tezi dume limekuwa likiwapa changamoto kubwa sana Wanaume wengi na limekuwa likiwaogopesha Sana na pengine alipata tiba tofauti tofauti na kudhani kuwa ni tatizo sugu au lisilotatulika, tatizo la tezi dume linatatulika kabisa Kwa kutumia virutubisho lishe ambavyo havina kemikali kabisa.

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Tatizo la tezi dume hupelekea ndoa kuvunjika Tezi dume husaidia Sana wakati wa tendo la ndoa kwa sababu ya kutoa homoni ...
28/12/2020

Tatizo la tezi dume hupelekea ndoa kuvunjika

Tezi dume husaidia Sana wakati wa tendo la ndoa kwa sababu ya kutoa homoni ambazo husaidia kuchochea hamasa ya kufanya tendo la ndoa pia humsaidia kufika kileleni. Tezi dume ikipata tatizo tayari unapoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa ambapo hupelekea mwenzi wake kutoka nje ya ndoa.

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Tezi dume huwatesa Wanaume wengi sanaTezi dume ni kiungo kilichopo katika mwili wa mwanaume ambayo humsaidia Kwenye mfum...
27/12/2020

Tezi dume huwatesa Wanaume wengi sana

Tezi dume ni kiungo kilichopo katika mwili wa mwanaume ambayo humsaidia Kwenye mfumo wa Uzazi na mfumo wa utoaji taka mwili kupitia njia ya haja ndogo

Tezi dume ikishapata matatizo hupelekea mwanaume huyu ateseke kutokana na dalili zake zikiwemo kupata maumivu wakati wa kukojoa na Upungufu wa nguvu za kiume pia hata Kwa upande wa madhara humpelekea saratani ya tezi dume

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Tunawatakia ninyi nyote heri ya krismasi na mwaka mpya tokea STAR HEALTH CARE kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045...
26/12/2020

Tunawatakia ninyi nyote heri ya krismasi na mwaka mpya tokea STAR HEALTH CARE

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Saratani ya tezi dume yashika Namba Mbili (2) kwa kusababisha vifoWanaume zaidi ya asilimia 95% wanahatari ya kupata sar...
24/12/2020

Saratani ya tezi dume yashika Namba Mbili (2) kwa kusababisha vifo

Wanaume zaidi ya asilimia 95% wanahatari ya kupata saratani ya tezi dume.Shirika la afya duniani (WHO) imetoa takwimu ya vifo vya Wanaume wanaofariki husababishwa na saratani mapafu ikifuatiwa na saratani ya tezi dume

CHUKUA TAHADHARI MAPEMA ILI KUEPUKANA NA SARATANI YA TEZI DUME

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Tatizo la tezi dume siyo Aibu kabisa hata kidogoTatizo la tezi dume unaweza kumpata mwanaume yeyote na moja Kati  ya mat...
05/12/2020

Tatizo la tezi dume siyo Aibu kabisa hata kidogo

Tatizo la tezi dume unaweza kumpata mwanaume yeyote na moja Kati ya matatizo makubwa ya Wanaume, tatizo K**a hili Watu wengi wameona k**a ni matatizo ya Aibu na kuyaficha ila baadaye huwaletea matatizo makubwa yakiwemo saratani ya tezi dume na hata kifo.

Mficha maradhi kifo humwumbua

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Jikinge na tatizo la tezi dume ili uwe huruTatizo la tezi dume limekuwa likiwaogopesha Sana Wanaume wengi hasa kutokana ...
04/12/2020

Jikinge na tatizo la tezi dume ili uwe huru

Tatizo la tezi dume limekuwa likiwaogopesha Sana Wanaume wengi hasa kutokana na madhara yake ikiwemo saratani ya tezi dume na hata husababisha vifo vya Wanaume wengi

Tatizo la tezi dume unaweza ukajikinga nalo kwa virutubisho vya asili ambazo husaidia ukuaji wa seli za mwili pia kuongeza kinga ya mwili pia Kwa kirutubisho maalumu ambalo husaidia ukuaji mzuri wa tezi dume

Kinga ni bora kuliko tiba

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Je!  Wewe ni mmoja Kati ya Watu ambao wamehangaika na tatizo la tezi dume kwa muda mrefu bila mafanikio? Tezi dume  husa...
03/12/2020

Je! Wewe ni mmoja Kati ya Watu ambao wamehangaika na tatizo la tezi dume kwa muda mrefu bila mafanikio?

Tezi dume husababishwa hasa ukuaji mbovu wa seli za mwili ambazo hupelekea kuvimba na matumizi ya dawa nyingi hupelekea kinga ya mwili kushuka kwa kasi Sana lakini uwepo wa kilimo biashara husababisha Upungufu mkubwa wa kinga na virutubisho mwilini.

Tuna virutubisho lishe ambavyo vinasaidia kuingiza kinga ya mwili na pia kusaidia Kulinda Tezi dume isipate madhara na isishambuliwe na maradhi na magonjwa na hazina madhara baadaye (side effects)

kwa matatizo k**a hayo tuwasiliane 0626045193 au weka maoni yako (comment) hapo Chini na mapendekezo au ushauri wako.

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii kwa :-

WhatsApp; 0626045193

Instagram;

Facebook; star health care

Twitter:

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Star health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram