Bone and jonts solution

  • Home
  • Bone and jonts solution

Bone and jonts solution TUNA SURUHISHO LA MIFUPA KUSAGANA NA MAUMIVU YA VIUNGO KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE
�+255766715146

K**a una uhitaki wa kupata watoto mapacha tuwasiliane kwa ushauri zaidi0766715146
05/10/2024

K**a una uhitaki wa kupata watoto mapacha tuwasiliane kwa ushauri zaidi

0766715146

26/04/2024
19/04/2024

NIAMBIE K**A HUYU NI WEWE?

1.✍️ Unawahi kufika kileleni mapema. Chini ya dakika saba.

2.✍️Unashindwa kurudia tendo kwa mara ya pili au zaidi.

3✍️.Uume Unashindwa kusimama au unasimama ukiwa legelege kwa mara ya pili au zaidi

4.✍️Unashindwa kumpa mwanamke mimba Kutokana na uchache au udhaifu wa mbegu (shahawa)

5.✍️Unapata maumivu kwenye korodani au misuli ya UUME baada ya tendo

6.✍️Unakosa hamu ya kufanya mapenzi au hamu ya kurudia tendo baada ya kufanya kwa mara ya kwanza

7.✍️ Umeathirika na Punyeto ulizopiga zamani au Sasa na uume umekosa Nguvu.

8.✍️ Una magonjwa mengine nyemelezi yanakusumbua k**a vile pressure, kisukari, Tb, ini, Nk?

8.✍️Umetumia Dawa nyingi na virutubisho lakini hujapata matokeo, umekosa Uaminifu kwenye dawa.

*Wanawake*
K**a unasumbuliwa na changamoto zote nilizozitaja hapo tafadhali tumiiaa dawa hii uondoe tatizo Moja Kwa moja ndani ya week mbili

Wasiliana nasi Sasa tukupatie Tiba uweze Kumudu tendo. Tiba zetu ni steam cell na zinatoa matokeo haraka na kutibu tatizo kabisa. Tuambie tatizo lako tukusaidie utapona Moja Kwa moja

Tuwasiliane kwa namba/Whatsapp + *255766715146*

05/04/2024
14/03/2023

𝐉𝐄 𝐔𝐍𝐀𝐒𝐔𝐌𝐁𝐔𝐋𝐈𝐖𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐓𝐀𝐓𝐈𝐙𝐎 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐅𝐔𝐏𝐀 𝐈𝐊𝐈𝐖𝐄𝐏𝐎 𝐌𝐀𝐔𝐌𝐈𝐕𝐔 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐆𝐎𝐓𝐈 𝐍𝐀 𝐌𝐆𝐎𝐍𝐆𝐎 𝐍.𝐊 (𝐎𝐒𝐓𝐄𝐎𝐏𝐎𝐑𝐎𝐒𝐈𝐒) 0766715146

Osteoporosis Ni ugonjwa ambao husababishwa na maambukizo ya bacteria katika mfupa na misuli inayozunguka mfupa bacteria hao ni (staphylococci).

Mara nyingi tatizo hili la mifupa hutokea kwenye uti wa mgongo(mgongo kupinda na kuuma Mara kwa Mara), MAGOTI kuuma,nyonga na kifuani.

*SABABU ZINAZOSABABISHA MATATIZO YA MIFUPA (OETEOPOROSIS)

*1⃣Magonjwa ya figo.
*2⃣Upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye`` ( *MENOPAUSE) kikomo cha hedhi
*3⃣Upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
*4⃣ANOREXIA uzito mdogo kupita kias APA ni kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoez`` kupita kiasi.

*KINGA ZA MATATIZO YA MIFUPA.(OSTEOPOROSIS)

*1⃣Epuka matibabu yeye kutumia kemikali
*2⃣ Zingatia rishe bora haaa utotoni pia pendelea kula vyakula vya asili vyenye madini yakutosha yanayoimarisha MIFUPA
*3⃣ Acha au punguza matumizi ya pombe
*4⃣ Fanya mazoez ya kutosha na kunywa maji ya kutosha

ATHARI
*ZINAZOSABABISHWA NA TATIZO HILI
1⃣Mifupa kuvunjika kwa urahisi.
*2⃣kupinda mgongo wakati wa uzeeni
*3⃣Maumivu makali ya Mifupa hasa ktk uti wa mgongo,mabegani,kifuani na ktk nyonga.

*Karibu sana*𝑵𝑰𝑲𝑼𝑺𝑨𝑰𝑫𝑰𝑬 𝑷𝑰𝑮𝑨 +255766715146 𝑨𝑼 𝑾𝑯𝑨𝑻𝑺𝑨𝑷𝑷 𝑲𝑨𝑹𝑰𝑩𝑼.

12/03/2023

*UGONJWA WA PRESSURE*
☎️0766715146☎️
Ni ugonjwa unatokana na mzunguko mbovu wa damu au shinikizo la damu. Hiki ni nguvu/kiwango ambacho moyo husukuma damu kwenye kuta za mishipa inayosafirisha damu.
Kwa kawaida presha inatakiwa kuwa na wastani (120/80mmHg) ambapo 90/60mmHg (pressure ya chini) 130/80mmHg (pressure ya juu) zaidi ya hapo ni tatizo

AINA MBILI ZA PRESSURE

1. PRESSURE YA KUPANDA

Hii Mara nyingi mtu hatosikia dalili zozote mpaka pale inakuwa imeshafanya uharibifu mkubwa mwilini ambapo anakuwa ameshapata msh*tuko wa moyo kitu kinachopelekea vifo vya gafla.
*DALILI*
🌑Kichwa kuuma
🌑Kizunguzungu
🌑Kubanwa na pumzi
🌑Kutokuona vizuri
🌑Kichefuchefu

2.PRESSURE YA KUSHUKA (Hypotension)

Hii huwa chini ya (90/60mmHg) mtu huyu damu ufika kidogo katika ubongo ambapo hali hii utokea pale mtu anapofanya jambo la haraka km. Kuinama na kutaka kusimama kwa haraka
DALILI
🌑Udhaifu usioutegemea ghafla
🌑Kuanguka ghafla na kupoteza fahamu
🌑Kukauka mdomo
🌑Kichwa kuuma
🌑Kizunguzungu
🌑Kubanwa na kifua
🌑Kutokuona vizuri
🌑Kichefuchefu

WATU WALIOPO KWENY HATARI

🙄Watumiaji wa chumvi nyingi mbichi /pombe/sigara
🙄Unene uliozidi na kutokufanya mazoezi
🙄 Umri mkubwa au wazee
🙄Figo ikiwa haifanyi kazi
🙄Historia ya ugonjwa wa pressure kweny familia
🙄Ugonjwa wa kisukari
🙄Kutopata usingizi wa kutosha/Msongo wa mawazo

MADHARA YA KUTOTIBU PRESSURE

👌Huaribu mishipa ya damu katika macho(kupelekea upofu)
👌Misuri ya moyo kuwa minene
👌Mshutuko wa moyo(heart attack)
👌Mishipa wa damu Safi kuwa migumu
👌Figo kushindwa Kufanya kazi(kidney failure)
👌Kiharusi
👌Kifafa cha mimba na kufanya kiumbe kufa tumboni kwa mwanamke mjamzito

KWA MSAA ZAIDI
☎️☎️0766715146

IFAHAMU TEZI DUME NA TIBA YAKE.            +255766715146Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bal...
12/03/2023

IFAHAMU TEZI DUME NA TIBA YAKE.
+255766715146

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo K**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza maji maji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalowakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

Ukuaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume. Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:

- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini.
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini.
- Kutokufanya mazoezi.
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara.
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi.
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance).
- Msongo wa mawazo (Stress).
- Magonjwa ya zinaa.
- Umri mkubwa.
- Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja.
- Historia ya Familia (Kurithi).
- Mazingira (Ethnicity).

DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), ujue amekaa na tatizo hilo kwa muda mrefu, si chini ya miaka isiyopungua 10.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa; ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).
Saratani ziko stage nne. Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kuja gesi mara kwa mara

MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.

Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

Kwa mawasiliano zaidi
Wasiliana nasi:
/Whatsap +255766715146

03/10/2022

𝐉𝐄 𝐔𝐍𝐀𝐒𝐔𝐌𝐁𝐔𝐋𝐈𝐖𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐓𝐀𝐓𝐈𝐙𝐎 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐅𝐔𝐏𝐀 𝐈𝐊𝐈𝐖𝐄𝐏𝐎 𝐌𝐀𝐔𝐌𝐈𝐕𝐔 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐆𝐎𝐓𝐈 𝐍𝐀 𝐌𝐆𝐎𝐍𝐆𝐎 𝐍.𝐊 (𝐎𝐒𝐓𝐄𝐎𝐏𝐎𝐑𝐎𝐒𝐈𝐒) 0766715146

Osteoporosis Ni ugonjwa ambao husababishwa na maambukizo ya bacteria katika mfupa na misuli inayozunguka mfupa bacteria hao ni (staphylococci).

Mara nyingi tatizo hili la mifupa hutokea kwenye uti wa mgongo(mgongo kupinda na kuuma Mara kwa Mara), MAGOTI kuuma,nyonga na kifuani.

*SABABU ZINAZOSABABISHA MATATIZO YA MIFUPA (OETEOPOROSIS)

*1⃣Magonjwa ya figo.
*2⃣Upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye`` ( *MENOPAUSE) kikomo cha hedhi
*3⃣Upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
*4⃣ANOREXIA uzito mdogo kupita kias APA ni kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoez`` kupita kiasi.

*KINGA ZA MATATIZO YA MIFUPA.(OSTEOPOROSIS)

*1⃣Epuka matibabu yeye kutumia kemikali
*2⃣ Zingatia rishe bora haaa utotoni pia pendelea kula vyakula vya asili vyenye madini yakutosha yanayoimarisha MIFUPA
*3⃣ Acha au punguza matumizi ya pombe
*4⃣ Fanya mazoez ya kutosha na kunywa maji ya kutosha

ATHARI
*ZINAZOSABABISHWA NA TATIZO HILI
1⃣Mifupa kuvunjika kwa urahisi.
*2⃣kupinda mgongo wakati wa uzeeni
*3⃣Maumivu makali ya Mifupa hasa ktk uti wa mgongo,mabegani,kifuani na ktk nyonga.

*Karibu sana*𝑵𝑰𝑲𝑼𝑺𝑨𝑰𝑫𝑰𝑬 𝑷𝑰𝑮𝑨 +255766715146 𝑨𝑼 𝑾𝑯𝑨𝑻𝑺𝑨𝑷𝑷 𝑲𝑨𝑹𝑰𝑩𝑼.

TUNA SURUHISHO LA MIFUPA KUSAGANA NA MAUMIVU YA VIUNGO KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE
�+255766715146

Address


Telephone

+255766715146

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bone and jonts solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Bone and jonts solution:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram