01/03/2023
*SULUHISHO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA UPASUAJI{Treatment Of Fibroids Whitout Surgery}*
*FIBROIDS(UVIMBE KWENYE KIZAZI),SABABU, DALILI,* *PAMOJA NA TIBA ..*
Ni Uvimbe ambao hutokea katika misuli laini ya mfuko wa uzazi wa mwanamke.
Kuna Aina tatu za vimbe
*Submucosal fibroid- Uvimbe huu hutokea Ndani ya kizazi
*Intramural fibroid- uvimbe huu hutokea Ndani ya nyama ya kizazi
*Subserosal fibroid- Uvimbe huu hutokea nje kwenye ukuta wa kizazi
*SABABU YA UVIMBE*
Uvimbe huu sababu kubwa Ambayo husababisha na wingi wa vichocheo mwilini (hormon ya estrogen)ambayo hufanya kupata hedhi, *sindano,vidonge,vitanzi(uzazi wa mpango)pia nivichocheo ambavyo huchangia kuongezeka kwa hormona ya estrogen.
*WATU AMBAO WANA HATIHATI YA KUPATA UVIMBE NIKAMA:*
*ambao hawajazaa kabisa
*wanawake wanene(hasa ule wa kujiongezea na sindano)
*wanaopata hedhi mapema
*wasichana /wanawake ambao wako ktk umri wa kupata ujauzito.
*DALILI ZA UVIMBE*
dalili ya uvimbe hutegemea na ukubwa wa uvimbe Pamoja na sehemu ya uvimbe ulipo kwenye mfuko uzazi,,pia uvimbe ukiwa migo unaweza usioneshe Dalila zozote.
Dalili ni hizi zifuatazo:
*kutokwa Damu nyingi kwa muda mrefu wakati wa hedhi ikiambatana na mabonge isivyokawaida
*hedhi zisizokuwa na mpango na kutokwa Damu isiyo ya kawaida katikati ya mwezi
*kupata maumivu ya kiuno wakati wa hedhi(kutokana na ugonjwa kubana viungo vingine vya mwili)
*maumivu wakati wa tendo la ndoa
*maumivu ya mgongo
*kukokoa mara kwa mara (Uvimbe hukandamiza kibofu cha Mkojo)
*kutotunga mimba/mimba kutoka au kuharibika wakati mwingine ugumba
Uvimbe unapokuwa mkubwa sana huonesha husababisha:
*miguu kuvimba
*kufunga choo
*kupungukiwa damu
*mkojo kubaki kwenye kibofu
Nikwanini Uvimbe hufanya mtu kutopata mimba?
*uvimbe hukandamiza mirija ya kupitishia maya kutoka kwenye ovari/sehemu mayai yanapotengenezwa
*hufanya mfuko wa uzazi ukaze hivyo kushindwa kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitishia mayai
*uvimbe unaweza kuzuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi hada ikiwa ni submucosal fibroid
*TIBA YA UVIMBE HUU*
*upasuaji(myomectomy)
Tiba hii hutumika endapo Uvimbe ni mmoja na simkubwa sana,,hutoa Uvimbe na kubakiza kizazi
*dawa za kutuliza maumivu
*Hysterectomy
Hii hutoa sehemu ya Uvimbe yote iliyo ktk kizazi maanabyake hutoa kizazi chote endapo Uvimbe utakuwa mkubwa sana su vivimbe vingi vikiwa ktk kizazi.
Note:uvimbe unaweza kujirudia tena endapo vichocheo vinavyosababisha Uvimbe havita sawazishwa.
K**a una tatizo hilo wasiliana nami kwa tiba bila upasuaji🙏🏿 +255753809407