
18/08/2022
♓ MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONE IMBALANCE):-
🔵 Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapopata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya %80.
VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI:-
â•Uwepo wa sumu mwilini,
â•Mfumo Mbovu wa maisha,
â•Umri kuenda sana, kukoma kwa hedhi,
â•Uzito mkubwa,
â•Mabadiliko ya mazingira,
â•Msongo wa mawazo,
â•Upungufu wa lishe bora mwilini,
â•Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango,
â• Utoaji wa mimba kiholela,
â•Ongezeko la homoni ya Androgen hupelekea mwanamke [kuota ndevu, base voice]
DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI:-
🔵Uke kuwa mkavu,
🔵Maumivu wakati wa tendo la ndoa,
🔵Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi,
🔵Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa,
🔵Mabadiliko ya siku za hedhi mfano kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7 na hutoka mabonge ya dam au dam nyingi zaid kuliko kawaida.
Kwa Tiba Na Ushauri Kuhusu Afya Ya Uzazi Kwa Mwanamke Wasiliana Nasi Kwa Namba:
+255755944117
Dr. Hassani
[Whatsapp/Sms/Call]