International Eye Hospital

International Eye Hospital The new service point International eye hospital the center of the city and the representative of the modern equipment ,Comfort and quality of hospital uni

In 2014, we started as a private in Dar es salaam and Laser Center since 2014 as a private International eye Hospital achievements, we continue the adventure, the 2rd anniversary of service in September 2016 as a private International eye hospital continue our services. Although Tanzania is one of the Best eye hospital, eye diseases and managed to become one of the leading companies in Tanzania's

International eye Hospital in the last 1.5 years, leading practices, and values, we have earned the trust and proximity to the local community in mind, Dar es salaam, surrounding cities, all over Tanzania and from abroad against all kinds of problems related to eye health and 312 days, 10 hours a day, continue to provide high-level services and solutions. The new service point International eye hospital the center of the city and the representative of the modern equipment ,Comfort and quality of hospital units, which represents spacious Patient Waiting Exam Room, excimer laser and IntraLase (without blades Laser) Units, Argon and Yag laser unit, SLT, Diagnosis and Treatment of Retinal Diseases Unit, Keratoconus Diagnosis and Treatment Center, Strabismus and Children's Eye Center, Chronic Diseases Monitoring Center, Emergency Services department. International eye Hospital with the diagnosis and treatment of eye diseases, providing you with the latest information and a pioneer in applications, while closely following the latest developments in medical technology and devices, we are serving the most preferred in the world. Practices within the;
• 2 recent technological Excimer Laser
• Intralase laser (Laser without blades) applications,


Keratakonus Diagnostic and Treatment Center;
• Intralase Laser Marks corneal ring implantation method
• Cross Linking Treatment
• SLT (new technology for patients with glaucoma laser device system)
• OCT (Optical Coherence Tomography)
• Pentecam treatments.

25/03/2024
25/11/2023
IJUE MIWANI YAKOBaadhi ya aina za miwani ambazo utaweza kuzipata ukifika hospitali kwetu. 1. Blue cut Glasses, hii ni ai...
08/11/2023

IJUE MIWANI YAKO

Baadhi ya aina za miwani ambazo utaweza kuzipata ukifika hospitali kwetu.

1. Blue cut Glasses, hii ni aina ya miwani yenye lenzi ya kisasa ambayo inamsaidia mvaaji kujikinga na mionzi inayotokana na vyombo vya kieletroniki kwa 100%, miwani hii pia ni Photochromic ikiwa na maana ya kwamba inamsaidia mvaaji kujikinga na mwanga wa Jua pia. K**a unafanya kazi kwenye mazingira ya Computer tunashauri upate miwani hii kwa ajili ya kukinga madhara yatakayotokana na mwanga wa computer k**a vile kichwa kuuma, kutoka machozi wakat unatumia computer n.k

2. Progressive Glasses, hii ni miwani ambayo kwa asilimia kubwa huvaliwa na watu wenye shida ya kusoma karibu, watu wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea wanakua na changamoto ya kutoweza kusoma karibu, hili ni tatizo la kiumri kadri unavyoongezeka uwezo wa kusoma karibu unapungua.

Wataalamu wetu siku zote hushauri watu hawa kutumia Progressive Multifocal Lens ambayo itamsaidia mvaaji kuweza kuona mbali, kusoma karibu na special near kwa ajili ya computer, hivyo hufanya mvaaji kutotumia miwani miwili miwili wakati wa matumizi yake na kusave gharama.

Kwa kifupi miwani hii ukiwa nayo utaweza kuona mbali, kusoma karibu, na kuzuia miale ya kwenye computer isikuathiri macho yako kwa wakati mmoja.

Karibu sana International Eye Hospital

04/11/2023

Je wewe ni mvaaji wa miwani? Karibu tuanze maandalizi ya kupokea mwaka mpya 2024 kwa mambo mazuri.
Kuna habari njema hapa kutoka kwetu, mabingwa wa magonjwa yote ya macho Tanzania. Huna haja ya kuteseka tena kwa ajili ya kuwaza kununua miwani kila mwaka, k**a umechoka hali ya kuvaa miwani una uwezo wa
kupata matibabu kutoka kwetu na kuacha
KABISA kutumia miwani.
Karibu tukurudishe utotoni
Karibu tukuhudumie
Tupigie 0784104300

29/08/2023

Karibu International Eye Hospital, mabingwa wa magonjwa yote ya macho. Una jambo lolote unataka kutuambia leo? Sema nasi kwenye comment section

07/04/2023

Je WAJUA??
16/03/2023

Je WAJUA??





Happy new Year 2023
01/01/2023

Happy new Year 2023

Chukua hatua madhubuti k**a wewe ni muhanga wa Kisukari
03/11/2022

Chukua hatua madhubuti k**a wewe ni muhanga wa Kisukari

Usikubali….
25/10/2022

Usikubali….

19/10/2022
Ikiwa umewahi kutumia kope bandia na ukapaata changamoto zozote kwenye macho yako, tafadhali mtembelee mtaalamu wa macho...
19/10/2022

Ikiwa umewahi kutumia kope bandia na ukapaata changamoto zozote kwenye macho yako, tafadhali mtembelee mtaalamu wa macho akufanyie uchunguzi, ushauri na matibabu.


Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when International Eye Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to International Eye Hospital:

Share