10/11/2021
UTATUZI SAHIHI WA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME
Unapokuwa na shida ya nguvu za kiume usitafute dawa. Hakuna dawa ya nguvu za kiume kwani nguvu za kiume SIYO UGONJWA k**a malaria au kisukari kwamba unahitaji dawa. Kukosa nguvu za kiume inaonyesha tu kuwa mwili wako umekosa virutubisho (lishe) muhimu ya kutosha. Ukipata tu hutokaa uone shida ya nguvu za kiume. Upe mwili wako virutubisho muhimu.
Sasa kwa kawaida ili kutatua changamoto za uzazi kwa mwanaume tungeweza kutumia tu lishe ya matunda na mbogamboga na mazoezi tu k**a babu zetu wa zamani.
Hata hivyo changamoto kubwa ni kuwa vyakula vingi dunia ya leo vinaandaliwa kwa kutumia kemikali za viwandani kuanzia mbolea, dawa za kuua wadudu na za uhifadhi.
Hivyo kemikali hizo zinafanya kazi kinyume chako na kudhoofisha mifumo ya mwili wako na kufanya usiwe ba afya bora na hata usifurahie tendo la ndoa tena.
Ndiyo maana kwa kuona hilo kuna virutubisho maalumu vilivyoandaliwa kitaalamu pasipo kutumia kemikali hizo ili kuusupport mwili wako urudi sawa uwe mwenye afya imara tena na uufurahie uanaume wako katika mahusiano yako.
Tutakupa pia elimu ya ziada ya afya ili uweze kuwa balozi mzuri kwa wengine wanaohangaika kwa muda mrefu.
Tuma ujumbe neno AFYA JAMII kwenda WhatsApp number 0684688769 au Piga Simu usaidiwe Mapema