17/01/2022
Aloe vera gel ni Juice asilia inayo tokana na mmea wa Aloe vera kwa kiini cha ndani Asilia.
Ni kinywaji safi kwa mfumo wa umeng’enywaji wa chakula na kina FAIDA NYINGI KWA AFYA YAKO K**A:
▪️Kusaidia watu wenye changamoto ya kukosa choo au kupata choo kigumu inakusaidia kupata choo vizuri kila siku.
▪️kuondoa taka mwili na free radicals mwilini .
▪️kuongeza kinga mwilini na vitamini C kwa wingi.
▪️Kuondoa gas na miungulumo tumboni
▪️Inasaidi chakula kinyonywe vizuri.
▪️Ni kinywaji kizuri kwa kuimarisha ngozi isichoke na kuzeeka haraka.
▪️Inakupa virutubisho muhimu mwilini,madini na vitamins
▪️Inapunguza Acidity mwilini.
▪️Inaondoa uchafu ulio gandamana kwenye tumbo.
Tuma neno ALOEVERA kwenda WhatsApp namba +255786440816 Wahi mapema usaidiwe mapema.