Afya plus001

Afya plus001 Tunatatua changamoto mbalimbali za kiafya kama vile,,tezi dume,ukosefu wa nguvu za kiume,mifupa,bawas

11/12/2024
Kwa suluhisho call/whatsap0620242149/0693709013
03/06/2023

Kwa suluhisho call/whatsap0620242149/0693709013

Call/whatsapp0620242149
12/05/2023

Call/whatsapp0620242149

10/04/2023

WEWE BABA ZIJUE DALILI ZA TEZI DUME

✅Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
✅Kwenda kukojoa mara kwa mara.
✅Damu ndani ya mkojo.
Kushindwa kukojoa.
Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
✅Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
✅Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
✅Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.

K**a una dalili hizi jua una tezi dume,

Nimewasaidia wanaume wengi kupona tezi dume kwa njia salama

UPASUAJI SIO NJIA PEKEE YA KUPONA TEZI DUME

PIGA 0620242149 KWA TIBA USHAURI NA MAELEZO ZAIDI

30/03/2023

NINI KINASABABISHA BAWASIR ?
Miongoni mwa visababishi vya bawasir ni;
-Tatizo sugu la kuharisha
-Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu
-Uzito kupita kiasi(OBERSITY)
-Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL S*X)
-Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.
B.DALILI ZA BAWASIR
-Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia
-Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
-Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
-Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
-Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
C.ATHARI ZA BAWASIR
-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
-STRAGULATED HEMORRHOID
-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
-Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-Kupungukiwa nguvu za kiume

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI 1. Kukojoa mara kwa mara 2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu 3. Kukujoa sana usiku 4. Maumivu wak...
25/03/2023

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI
1. Kukojoa mara kwa mara
2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu
3. Kukujoa sana usiku
4. Maumivu wakati wa kukojoa
5.Kupungukiwa nguvu za kiume
6. UTI ya mara kwa mara
7. Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikano wa mkojo.
8. Figo kujaa maji. Hii sababu mkojo huo unarudi nyuma kuelekea figo(hydronephrosis)
9. Kupoteza fahamu(uremia,,,Tiba&Shauri0620242149/0693709013

Kwa suluhisho call0620242149/0693709013
25/03/2023

Kwa suluhisho call0620242149/0693709013

24/03/2023

Kwa suluhisho całl0620242149/0693709013

Kwa suluhisho call/whtsap0620242149
13/03/2023

Kwa suluhisho call/whtsap0620242149

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya plus001 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share