Afya ya uzazi wa mwanaume

Afya ya uzazi wa mwanaume karibu utibu changamoto inayokusibu katika MFUMO WA UZAZI WA MWANAUME kwa kutumia Bidhaa lishe (food suppliments) maalumu

mawasiliano:
0779973166

KARIBU.

TAMBUA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELE HASA KWA WANAUME HUSABABISHWA  NI NINI? Na je kuna uhusiano gani kwa mtu mwenye ta...
27/08/2022

TAMBUA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELE HASA KWA WANAUME HUSABABISHWA NI NINI?

Na je kuna uhusiano gani kwa mtu mwenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume?

K**a una uelewa kidogo naomba tufatilie maada hii mpendwa,
Kuwahi kufika kileleni au kuwahi kumaliza tendo la ndoa au kwa lugha ya mtaani kukojoa upesi ni hali ambayo inampata mwanamme ambapo hutoa shahawa kabla ya kuanza tendo la ndoa au muda mfupi tu baada ya kuanza tendo bila yeye mwenyewe kukusudia . Kwa kawaida mtu mwenye tatizo hili hutoa mbegu zake za kiume hata baada ya maandalizi kidogo sana.
Tatizo hili hujidhihirisha zaidi kwa vijana wenye umri mdogo na hupungua kadri umri wa mtu unavyoongezeka. Karibu kila mwanamme kwa wakati fulani hupata tatizo hili lakini baadhi ya wanaume wenye umri wa kati huwa na tatizo la kudumu. Kwa bahati nzuri tatizo hili limepatiwa ufumbuzi na tiba inapatikana.

CHANZO CHA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI

Chanzo kamili cha tatizo hili bado hakijafahamika. Lakini imethibika kwamba wasiwasi au mishipa ya fahamu inahusika sana na tatizo hili. Hali hii inaweza kutokea unapompata mpenzi mpya au unapofanya tendo hili baada ya muda mrefu kupita toka ulipotoa shahawa mara ya mwisho. Hii ndiyo sababu iliyofanya baadhi ya wanaume kugundua kuwa wakinywa pombe kidogo, huwapunguzia wasiwasi na huwasaidia wachelewe kufika kileleni. Mara nyingine tatizo hili linatokana na matatizo katika mfumo wa homoni za mtu au likiwa ni matokeo ya matumizi baadhi ya madawa.

TIBA YA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI

♦️. Kufanya mazoezi yanayosaidia kuondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya mazoezi unayoweza kufanya; Kuvuta Na Kutoa Pumzi (Deep Breathing), Kuanza Na Kukatisha (The Stop-and-Start Method) na Kuminya (The Squeeze Method)

♦️. Kutumia kondomu maalumu (Condoms With Benzocaine). Kondomu hizi hukusaidia uendelee na tendo la ndoa na kuongeza muda wako wa kufika kileleni kwa kiwango cha hadi dakika tano. Kondomu hizi huwekwa benzocaine ambayo hutia ganzi kwa kiwango kidogo sehemu ya kichwa ya uume ili kupunguza usikivu wa nyege (sexual sensation) na kumfanya mwanamme aweze kutawala muda wake wa kufika kileleni.

♦️. Kutumia dawa zilizotengenezwa na nutrients/ virutubisho mahsusi kwa tatizo hili ambazo hutumika kuondoa maumivu, hutumika pia kuondoa tatizo kwa ujumla. Usisite kunitafuta kwa ushauri, tiba Zaidi
Nakuhudumia popote ulipo
Wasiliana nami kwa namba
Piga/ whatsup/ sms
📲0627780216

*DALILI ZA U.T.I SUGU KWA WANAUME* Mawasiliano  0627780216  Baadhi ya dalili za mtu kuambukizwa bakteria katika njia ya ...
21/11/2021

*DALILI ZA U.T.I SUGU KWA WANAUME*

Mawasiliano
0627780216

Baadhi ya dalili za mtu kuambukizwa bakteria katika njia ya mkojo kubwa ni maumivu wakati wa kukojoa,mkojo kuwa na rangi ya njano kupindukia na kuwa na harufu kali japokuwa siyo kila mwenye dalili hizo ana maambukizi katika njia ya mkojo au wengine huita URINARY TRACT INFECTION(UTI) wana ugonjwa huu.
-Dalili nyingine za maambukizi ni maumivu,kutokwa na usaha au majimaji wakati wa kukojoa kabla au baada ya kukojoa kukiambatana na maumivu na kuhisi moto wakati wa kukojoa mkojo.Baadhi ya wanaume wakati mwingine hutokwa na majimaji katika njia ya mkojo wakati wa kujisaidia haja kubwa.Wengine wenye maambukizi hujikuta wakipata vichomi katika njia ya mkojo au kuhisi kuwashwa sehemu hiyo,kuumwa kiuno au tumbo na kadhalika.Mgonjwa anaweza pia kukumbwa na homa kali mara kwa mara na mwili kuwa mchovu,kwa watoto hupoteza hamu ya kula na mwili kuonyesha kuchoka.
-Wagonjwa wengine hupata maumivu kwenye kibofu cha mkojo ambapo husikia maumivu ya chini ya tumbo usawa wa kitovu na huwa hayaishi,matatizo haya ya mfumo wa mkojo k**a tulivyoona huko juu huwapata watu wote wanawake na wanaume.Watu wenye matatizo haya kila wakipima huambiwa wana UTI,kwa wanaume huhisi hata nguvu za kiume hupungua na wanawake hupoteza hamu ya tendo la ndoa.

Mawasiliano
0627780216

*_SULUHISHO LA KUDUMU NINALO MIM NJOO INBOX TUWASILIANE ZAID*_

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMEMawasiliano   0627780216            /07799731661)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekun...
16/10/2021

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Mawasiliano
0627780216
/0779973166

1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kukosa Hamu ya Tendo kabisa / kukosa Msisimko/Mihemko

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito sana.

4)MBEGU KUTOKA KIDOGO AU HAZITOKI KABISA/

5)Uume kuwa Lege lege wakati unashiriki Tendo

6)UUME KUSINYAA NA KUWA MDOGO

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Kwa ushauri na tiba tupigie kwa simu namba

06227780216
Kupata SULUHISHO la KUDUMU

Address

Dar Es Salaam
15110

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzazi wa mwanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya ya uzazi wa mwanaume:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram