24/01/2021
CHANGAMOTOâ €
Watu wengi wanafanya mazoeziâ €
Wanenda Gymâ €
Wanaacha kula baadhi ya vyakulaâ €
Wanatumia Diet/Program tofautitofauti â €
Hawapungui na wengine Wanapungua ila wakiacha wanachofanya Mwili unarudi tena Maradufu ⠀⠀⠀
KWANINI/SABABUâ €
Unene unasababishwa na mafuta mengi mwilini...â €
Mafuta mengi mwilini yanasababishwa na taka mwili/TOXINS kua nyingi mwilini e.t.c â €
Taka mwili/TOXINS zinasababishwa na Ulaji/Unywaji mbaya, Kula Unbalanced Diet, Pombe, lifestyle mbaya, mwili kutomeng'enya Chakula vizuri e.t.câ €
Taka mwili/Toxins zikiwa nyingi mwilini zinashambulia Sensitive internal Organs(Moyo, Maini, Figo e.t.c)â €
Ili mwili kujilinda unatengeneza mafuta mengi kuzuia Toxins zisifikie Sensitive Internal Organs ndio tatizo la Mwili Kuongezeka linatokea⠀⠀⠀
SOLUTIONâ €
Program nyingi za mazoezi na Diet zimelenga kutoa mafuta mwilini zaidi ili mwili upungue...â €
TOXINS/Taka mwili zinabaki pale pale...â €
Baada ya muda ukiacha mazoezi na kuendelea kula/kunywa k**a zamani mwili unakimbilia kukusanya mafuta mengi zaidi ya zamani ili kujilinda na kuweka akiba nyingi, pale utapokua huli Chakula basi mwili uwe na akiba yake kwa usalama wake.... Hapo mwili unanene tena ama zaidi ya zamani⠀⠀⠀
C9 PROGRAMâ €
Imeandaliwa â €
1.Kusafisha mwili/Detoxâ €
2.Kukamua Mafuta yasiohitajika mwiliniâ €
3.Kurekebisha Mfumo wa mmeng'enyo wa Chakulaâ €
4.Kukutengenezea tabia njema ya Mazoezi na Ulaji Bora(vyakula sahihi kwa afya yako?) Good Life Style.⠀⠀
For More Information:â €
DM/
Whatsap//+255 678 274 657