
31/10/2022
MAKOSA MANNE HATARI WANAYOFANYA WANAUME WENYE MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME...
K**a wewe ni mwanaume mwenye tatizo la nguvu za kiume hakikisha unajiepusha na makosa haya Manne;
Kwani kufanya makosa haya unaweza kusababisha tatizo hilo kuongezeka badala ya kupungua.
Wanaune wengi wanaojijua wanatatizo la nguvu za kiume wanafanya makosa yafuatayo.
1) Kosa la kwanza wanapuuza tatizo unakuta mtu anachukulia poa changamoto yake bila kujua siku zinavyozidi kwenda ndivyo tatizo huzidi kukua na hatimaye kuweza kumpelekea mtu pabaya.
Hivyo basi usipuuze maana mpaka unaona shida ni kwamba tatizo limekua kubwa kwa sababu mara nyingi changamoto hii huchukua muda kujitengeneza tatizo.
2) kutokujua chanzo cha tatizo nahii imekua kawaida kumkuta mtu anatatizo lakini hajui chanzo cha tatizo lake.
3) Kutokuwa na elimu sahihi juu ya changamoto hii ya upungufu wa nguvu za kiume.
Wanaume wengi badala ya kutafuta wataalamu wa haya mambo huchukua uamuzi wa kuwafikishia watu wasio sahihi.
Na hujikuta wakiangukia njia zisizo sahihi kuondoa changamoto hii ya nguvu za kiume.
4) Wanaotumia dawa za nguvu za kiume (booster) Hii imekua ni tabia ya wanaume wengi wakijigundua wanashida hii hukimbilia kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume.
Wakidhani ni suluhisho kwao kumbe ndiyo wanaongeza tatizo na kutopona kabisa au kufanya mwili kushindwa kujiendesha wenyewe kwamba mtu awezi kushiriki tendo la ndoa bila kutumia madawa hayo.
KUMBUKA tatizo hili nila kimfumo si uume pekee unaokufanya ushiriki tendo ipasavyo bali ni vitu vingi zaidi vinahusika kukamilisha tendo.
Ikitokea kimoja kina tatizo hapo ndiyo tatizo huanza, K**a unachangamoto hii tayari karibu tukusaidie kuondokana nayo 👇.
Follow me 👉🏾 .fit
WhatsApp/ 0785858669