Ijenge Afya Yako

Ijenge Afya Yako Karibu Katika page Hii ambayo itakusaidia kupata elimu ya Afya

Pata Elimu ya Afya ya uzazi Kwa mwanaume Kwa Changamoto mbalimbali zinazo mkumba mwanaumePiga0714 492 146
18/04/2023

Pata Elimu ya Afya ya uzazi Kwa mwanaume
Kwa Changamoto mbalimbali zinazo mkumba mwanaume
Piga
0714 492 146

KILA MWANAUME ANALO TEZI LA KIUME (TEZI DUME) AMBALO HUTUMIKA KUZALISHA  VICHOCHEO VINAVYO MSAIDIA MWANAUME KUWA NA HAMU...
04/04/2023

KILA MWANAUME ANALO TEZI LA KIUME (TEZI DUME) AMBALO HUTUMIKA KUZALISHA VICHOCHEO VINAVYO MSAIDIA MWANAUME KUWA NA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA
Dr Bariki Yesaya
0714492146

Kadri yabumari unavyo ongezeka Tezi LA mwanaume linazid kukua
29/03/2023

Kadri yabumari unavyo ongezeka Tezi LA mwanaume linazid kukua

06/09/2022

Watu wengi wanajiiliza nini sababu kuu zakuvimba kwa Tezi Dume
Leo ZIJUE SABABU kubwa mbili za KUVIMBA KWA TEZI Dume ila uweze kuchukua HATUA kuepukana na tatizo Hili

Sababu ya Kwanza
Tezi dume husababishwa kwa kupitia vinasaba (Gene) kwahiyo K**a katika familia Yako Kuna Mtu aliwahi kuugua Tezi Dume unaweza ukawa na uwezekano mkubwa Sanaa wa kupata Tezi Dume.
Hivyo K**a jamaa wako wa Karibu (ndugu) unauwezekano wa kupata na Wewe Tezi Dume

Sababu ya Pili
Umri
Kadri umri unavyo kua na Tezi Dume hukua piaa hivyo kadri inavyo kua hupelekea kuziba njia ya mkojo na hatimaye Mtu anashindwa kukojoa Kabisa
Kwahiyo K**a una umri kuanzia miaka 40 ni Bora ukapata Kinga ya Tezi Dume

THAMANI YAKO NI AFYA YAKO
0714492146

MIMBA SIO SIRI TENA WALA SABABU YA MIGOGORO KWA FAMILIA TUPIGIE 0714492146
20/06/2022

MIMBA SIO SIRI TENA WALA SABABU YA MIGOGORO KWA FAMILIA
TUPIGIE 0714492146

02/05/2022

SIFA ZA MWANAUME AMBAE HAWEZI KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI NA AMBAE SIO RIJARI

UNAIBIWA MPENDWA WETU,CHUKUA HATUA SASA.

1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake

2. Uume kusimama ukiwa legelege

3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa

4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege

5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.

6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.

7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity llluna sinyaa )

9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.

10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la na baada

TIBU SASA TATIZO LAKO
0714492146

20/04/2022

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA WASUMBULIWAO NA
MAUMIVU YA NYONGA, KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?

MSHAURI: +255714492146
➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

1.Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
4.mawazo (stress).
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

1.Hupelekea kushindwa kufanya tendo LA ndoa.
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wa kina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana,tiba ya uhakika na ya haraka
Kwa matibabu ya haraka na sahihi wasiliana nasi,
Au fika ktk ofisini zetu zilizopo karibu Kila mkoa
MAWASILIANO

0714492146

13/04/2022

TIBA YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA. (0624905063)

ARTHROEXTRA + ZAMINOCAL (TIBA YA MIFUPA KUSAGANA KATIKA MAUNGIO,, NA TIBA YA MAUMIVU YA VIUNGO )mfano
mgongo,nyonga,magoti nk

KWANZA, TUJIELIMISHE KIDOGO.🖐
KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?
=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT)

MTU ANAPOFIKISHA MIAKA 30 CARTILAGE HUANZA KULIKA NA KUSABABISHA MIFUPA KUGUSANA NA KUSAGANA KWENYE VIUNGO HADI ULE UTE KUPOTEA,

HII HUSABABISHA MAUMIVU MAKALI KWENYE VIUNGO, HADI KUPELEKEA MTU KUSHINDWA KUJONGEA IPASAVYO,
TATIZO HUONGEZEKA UMRI UNAPOZIDI KUWA MKUBWA NA UZITO UNAPOONGEZEKA,
ARTHROEXTRA NA ZAMINOCAL PLUS NI ZA ASILI HAZINA KEMIKALI, IMETHIBITISHWA NA TFDA,kupata huduma piga (0624905063)

22/02/2022

TIBA YA ASILI KWA MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA. (0757536506)

ARTHROEXTRA + ZAMINOCAL (TIBA YA MIFUPA KUSAGANA KATIKA MAUNGIO,, NA TIBA YA MAUMIVU YA VIUNGO )mfano
mgongo,nyonga,magoti nk

KWANZA, TUJIELIMISHE KIDOGO.🖐
KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?
=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO(MOVEMENT)

MTU ANAPOFIKISHA MIAKA 30 CARTILAGE HUANZA KULIKA NA KUSABABISHA MIFUPA KUGUSANA NA KUSAGANA KWENYE VIUNGO HADI ULE UTE KUPOTEA,

HII HUSABABISHA MAUMIVU MAKALI KWENYE VIUNGO, HADI KUPELEKEA MTU KUSHINDWA KUJONGEA IPASAVYO,
TATIZO HUONGEZEKA UMRI UNAPOZIDI KUWA MKUBWA NA UZITO UNAPOONGEZEKA,
ARTHROEXTRA NA ZAMINOCAL PLUS NI ZA ASILI HAZINA KEMIKALI, IMETHIBITISHWA NA TFDA,kupata huduma piga (0756536506)

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Telephone

+255714492146

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ijenge Afya Yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram