ZAHE

ZAHE Tunasaidia wafanya biashara wakubwa kulinda mali zao kwa kuwaelimisha na kutumia ulinzi wa Bima .

Ujumbe muhimu kwa watu wenye NYUMBAWatu wengi wamekuwa wakihitaji bima za nyumba kuepuka janga la moto na mafuriko  kwen...
21/03/2023

Ujumbe muhimu kwa watu wenye NYUMBA

Watu wengi wamekuwa wakihitaji bima za nyumba kuepuka janga la moto na mafuriko kwenye nyumba/ majengo yao.

K**a wewe ni mmoja wao, ningependa kuongea na wewe.

Kwa jina naitwa Zahe Amini.

Ninawasaidia watu wenye uhitaji wa kukatia bima za nyumba.

kuepuka kufirisika kutokana na changamoto za moto na mafuriko kupitia darasani maalum la whatsapp

Wiki hii nataka kuandaa darasa la bure kwa ajili yako la Namna ya kukatia bima ya nyumba yako.

K**a utapenda kuhudhuria darasa hilo naomba ucomment namba yako ya simu ya watsapp hapa chini.

Au nitumie ujumbe wa watsapp kwenda namba 0788883983

Kisha nitawasiliana na wewe ili kuelewa vizuri kuhusu changamoto uliyokuwa nayo nipate kukuandalia (wewe pamoja na wenzako) darasa bure kabisa kupitia group la watsapp.

Comment namba yako hapa chini mara moja kabla ya group letu kujaa.

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako,

_Zahe Amini_

*Mtaalamu*

Biashara inatakiwa kusimamiwa vizuri na kuhakikisha unaweka misingi ya kutokufitisika.Kuna njia mbalimbali za kukuwezesh...
23/01/2023

Biashara inatakiwa kusimamiwa vizuri na kuhakikisha unaweka misingi ya kutokufitisika.

Kuna njia mbalimbali za kukuwezesha usiyumbe wala kufirisika ata k**a kuna changamoto zikitokea k**a biashara kuungua -moto, mafuriko,, kuibiwa.

Nimeandaa Darasa BURE WhatsApp namba 0788883983 ili kukupa elimu ya kukuwezesha usiyumbe wala kufirisika katika biashara yako.

Karibu sana

Hello, Naitwa Zahe Amini, Nawasaidia wenye nyumba na majengo waliyo pangisha kuwa na Amani na kuishi bira wasiwasi wa ku...
14/01/2023

Hello,

Naitwa Zahe Amini,

Nawasaidia wenye nyumba na majengo waliyo pangisha kuwa na Amani na kuishi bira wasiwasi wa kuharibikiwa kwa changamoto ya moto au mafuliko na wapangaji.

Wenye nyumba wengi wanahifu ya kupata hasara kutokana na nyumba kuungua kwa moto wa gas au wapangaji kwa bahati mbaya wakasababisha moto au mafuliko makubwa.

Ndoto ya mwenye nyumba ni kuishi bila kufikiri kwamba changamoto za moto au mafuliko n.k vinaweza kufanya akose sehemu ya kuishi na kujenga tena ni mtihani. Pia k**a kapangisha ili kupata kipato ikitokea changamoto, kipato kina koma.

Ili kuendelea kuishi kwa Amani na kuendelea kupata kipato na kuendeleza maisha mazuri.

Natoa Darasa la BURE kabisa ili kujua jinsi ya kujiwekeza na kuishi kwa Amani na Furaha bira stress.

Je wewe unataka Amani kwa Mali zako za nyumba?.

Comment namba yako hapa chini au nitumie ujumbe wa WhatsApp kwenda namba yangu ya 0788883983
Ili nipate ku share na wewe kwa umiliki makini wa nyumba yako ukiwa na Amani na Furaha.

02/01/2023

Tunasaidia na kuelimisha kuhusu Bima ya Biashara na Afya

K**a ni mjasiliamali/ Mfanyabiashara ni muhimu kuwa na Bima ili kujiepusha na kufirisika na pia kulinda Afya yako.

Mali ulizo nazo lazima uzilinde na Afya yako ndio nguvu ya ufanisi wa kazi zako.
Kwa kupata elimu na kukatia Bima itakuwezesha kufanya kazi kwa weredi na ufanisi mkubwa.

Ikitokea majanga ya moto au mafuriko au kuibiwa, na pia Afya kuteteleka usifadhaike moyoni mwako.

Tunakusaidia kukuelimisha na kukushauri ili uweze kuishi kwa Amani na furaha ukifanya kazi ukiwa na Afya njema na ulinzi kwa mali zako.
Bima inakuwezesha kurudi k**a ulivyokuwa kabla ya majanga ya ajari zote
Tunasaidia Bima k**a:-
1. Mizigo ya biashara
Mfano, mzigo wa biashara, Dawa unazouza Zikiungua au kupata mafuriko au zikaaribika safarini. Bima inakulipa.

- Gari unazo tembelea zikipata ajari.
Au gari unazo uza kabla hazijafika kwa mteja zinakuwa na ulinzi.

- Professional Indemnity ( Ikiwa taaluma yako ikaleta madhara kwa mteja wako au ukakosea utaalamu wako. Mfano Dr. kampa dawa au kamfanyia operation mtu kwa makosa. Bima inalipa.

- Product Liability, ikiwa bidhaa uliyotengeneza ikaleta madhara kwa mtumiaji, Bima inalipa
- Bima ya maduka, viwanda na majengo.
- Bonds zote, mfano ukishindwa kutekeleza kazi uliyopewa na mteja, Bima inalipa.
- Loss of Profits= Ikiwa majanga yameharibu utaratibu wa mapato yako/ faida kwa mwaka (k**a mahesabu yasemavyo kwenye vitabu vyako).
Bima inalipa.

Hayo ni machache tuu,
Bima inafaida nyingi nyingi.

Kwa kupata elimu zaidi na kujua namna ya kukabiliana na changamoto za biashara kwa kutumia Bima na kuimarisha afya yako kwa Bima ya Afya.

Ni whatsapp kwenye namba 0788883983.
Karibu.

Tunasaidia kupata Bima za Matibabu/ Afya = Medical/ Health Insurance Cover ya uhakika Ndani na Nje ya Nchi.Kwa maelezo z...
31/12/2022

Tunasaidia kupata Bima za Matibabu/ Afya = Medical/ Health Insurance Cover ya uhakika Ndani na Nje ya Nchi.

Kwa maelezo zaidi na elimu wasiliana nasi kwa namba zetu za simu.
Whatsapp namba 0788883983/ 0655625564.
Zahe Insurance Agent.
Karibu sana / Welcome

29/12/2022
Tunasaidia kuelimisha na Kutoa Bima kwenye Majengo, Ofisi, Viwanda, Wasafiri, , magari,  Uwizi, Hasara kwenye biashara M...
29/12/2022

Tunasaidia kuelimisha na Kutoa Bima kwenye Majengo, Ofisi, Viwanda, Wasafiri, , magari, Uwizi, Hasara kwenye biashara Matibabu.

( Insurance on Fire, Motor,Theft, Money, Bond, Contractors, Er****on All Risk, Fidelity Guarantee , Professional Indemnity, Machinery Breakdown, Loss on Machinery Breakdown, Loss of Profits on Fire, Travel Insurance, Medical & the like)

KARIBU/ WELCOME Zahe Insurance Agent .
Whatsapp number 0788883983

Address

Kunduchi Salasala, Tanzania

P.O BOX 79460

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZAHE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to ZAHE:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram