Jakalu Health Center

Jakalu Health Center pata tiba na elimu ya afya bure

Nimeteseka na changamoto ya kuvimba kwa tezi kwamda wa miaka mitano bila mafanikio nilikataa kufanyiwa upasuaji kwani mt...
29/09/2022

Nimeteseka na changamoto ya kuvimba kwa tezi kwamda wa miaka mitano bila mafanikio nilikataa kufanyiwa upasuaji kwani mtalaam wa afya aliniambia nitafute njia mmbadala kabla ya kufanyiwa upasuaji pia kwa watu wengi nilio waona wakifanyiwa upasuaji wengi walipoteza maisha au tatizo kujirudia
Nlitumia njia nyingi kujaribu kupata ufumbuzi wa tatizo hili ila skupata nafuu kabisa nimetumia virytubisho lishe vingi sana na za asili nikiambiwa tatizo langu litaisha ila kila baada ya kumaliza tiba tatizo liko pale pale mpaka nilijikatiatamaa kabisa kwa kupoteza pesa na bila mafanikio
Namshukuru Mungu baada ya kuambiwa kuna njia nyepesi na rahisi ya kutibu chanzo cha tatizo na kuondoa tatizo kwamda mfupi likaisha, japo mwanzo skuamini nikajipa moyo kujaribu kutumia njia hii mpya, kwakweli skuamini mwezi mmoja nlianza pata haja ndogo k**a kawaida maumivu skuyaskia tena wala mkojo kubakia na zile safari za usku kukojoa zikaisha ,Kweli Mungu mkubwa skuamini kabisa mpaka narudi kupima tena hospitali naambiwa sna tatizo tena na pia hamu ya tendo ilirudi kwani ilikua imepotea kabisa nilipata maumivu nikishiriki
Ngelipenda pia wezangu wanao teseka na tatizo hili wapate kusaidiwa kwa kutumia njia hii
wasiliana na huyu mtaalamu alie nisaidia kumaliza tatzo hili +255 716 781 602

Niliwaambia wanangu wasihangaike tena na mimi juu ya tatizo langu kwani walitumia gharama nyingi sana kunisaidia ili nio...
24/09/2022

Niliwaambia wanangu wasihangaike tena na mimi juu ya tatizo langu kwani walitumia gharama nyingi sana kunisaidia ili niondokane na tatizo hili na nilifanyiwa upasuaji mara ya kwanza nkajua nimepona ila baada ya mda wa miaka miwili tatizo lilianza tena
Nilitumia kila aina ya njia kujaribu ili nipone lakini niliambulia kupoteza pesa zangu tu. Ndipo nilipo wazuia wanangu kuhangaika namie tena juu ya tatzo langu la kuvimba kwa tezi dume pamoja na presha
Binti yangu alikuja kuniambia sku moja kuwa kakutana na njia nyepesi yakuweza kutatua tatizo langu kwamda mfupi nitapona, nilimkatalia kabisa kwani nilijua atatoa pesa tu huko na nisipone nikijiangalia na umri wangu miaka 53 skuona haja tena
Aliendelea nisisitiza sana nkaona acha nijaribu kutumia ili nimlizishe tu
Skuamini kabisa wiki ya tatu tangu nitumie njia hii maumivu wakati wa haja ndogo yaliisha naskupata haja ndogo mara kwa mara tena wala mkojo kutoka kidogo kidogo,pia nilikua nakojoa mkojo umechanganyikana na damu, hata uvimbe kupungua kabisa na baada ya wiki kadhaa wakanipeleka hospitali kuangalia nikaambiwa sina tena tatizo lile, skuweza kuamini kwakweli namshukuru Mungu kwa msaada wa suhulisho hili
Ngelipenda nawazee wezangu waijue njia hii kwa kuwasiliana na huyu kijana alie weza kunisaidia kupitia njia hii nyepesi mpigieni awasaidie 0716781602

Seli shina ni nini?Mwili wa binadamu una mamia ya seli (chembechembe hai) za aina tofauti zenye umuhimu kiafya.  Seli hi...
24/09/2022

Seli shina ni nini?
Mwili wa binadamu una mamia ya seli (chembechembe hai) za aina tofauti zenye umuhimu kiafya. Seli hizi zina jukumu la kuendesha mifumo mbalimbali ya miili yetu, kwa mfano, kuendesha mapigo ya moyo, kuwezesha fikra akilini, usafishaji wa damu kwenye figo, kutengeneza ngozi mpya, na kadhalika. Kazi ya kipekee ya seli shina ni kuwa chimbuko la kuzalisha aina nyingine ya seli. Seli shina pia hufanya shughuli ya ugavi wa seli mpya mwilini. Seli hizi zinapojigawanya huzidisha idadi ya seli shina nyingine au seli nyingine za kawaida. Kwa mfano, seli shina za ngozi zinauwezo wa kuzalisha seli shina zingine zaidi za ngozi au kuzalisha seli tofauti zenye kazi maalumu k**a kutengeneza melanin.
Kwanini seli shina ni muhimu kwa afya yako?
Tunapoumia ama kupata maradhi, seli zetu pia huumia au kufa. Hali hii ikitokea, seli shina huanza kufanya kazi. Seli shina zitaponya majeraha mwilini na pia kujaza nafasi ya seli zinazokufa mara kwa mara. Kwa njia hii, seli shina zinatuweka katika hali ya afya nzuri na kudhibiti mwili kudhoofika mapema. Seli shina ni k**a jeshi la matabibu wanaoonekana kwa hadubini pekee.
Kuna aina ngapi tofauti ya Seli Shina?
Seli shina huwa katika aina au mifumo mbalimbali. Wanasayansi wanaamini kuwa kila kiungo mwilini kina seli shina zake maalumu. Kwa mfano, damu hutengenezwa na seli shina za damu (hematopoietic stem cells). Hata hivyo, seli shina huwepo kuanzia hatua za awali kabisa za uumbaji wa mwanadamu, na pale wanasayansi wanapootesha aina hizi za seli ndipo hufaamika k**a “seli shina za kiinitete”. Sababu inayowafanya wanasayansi kuhusiana karibu na seli shina za kiinitete ni umuhimu wake katika kujenga kila kiungo cha mwilini wetu wakati wa uumbaji. Hii humaanisha ya kuwa seli shina za kiinitete, tofauti na seli shina komavu, zina uwezo wa kubadilika na kuwa seli yoyote kati ya mamia ya seli za binadamu. Kwa mfano, kwakuwa seli shina za damu zinauwezo wa kutengeneza seli za damu tu, seli shina za kiinitete zinauwezo wa kutengeneza seli za damu, mifupa, ubongo, na kadhalika. Pamoja na hayo, seli shina za kiinitete zimepangwa kiasili kujenga seli shina nyingi na hata viungo, wakati seli shina komavu hazina uwezo huu. Hii inamaanisha ya kwamba seli shina za kiinitete zina uwezo asilia mkubwa zaidi kurekebisha viungo majeruhi. Seli shina za kiinitete huzalishwa kupitia mabaki ya viinitete vichanga kwenye vituo vya matibabu ya uzazi, matumizi ambayo ni muhimu la sivyo viinitete hivi hutupwa pasipo ya matumizi yake kwa ajili ya tafiti za tiba.
SSS au Seli Shina Shawishi ni nini?
Wanasayansi na matabibu duniani kote wamepata mategemeo mazuri kuhusu ujio wa Seli Shina Shawishi (SSS). Sababu kuu ni kuwa SSS zina sifa karibu zote za seli shina za kiinitete, ila hazizalishwi kutoka kwa viinitete. Hivyo basi, hakuna pingamizi za kiimadili kuhusu matumizi ya SSS. Zaidi ya haya, SSS hutengenezwa na seli ambazo siyo Seli Shina kutoka kwa mgonjwa mwenyewe, hivyo kuzipa SSS uwezo wa kurudishiwa kwa mgonjwa bila hatari ya kushambuliwa na mfumo wa kinga wa mwili. Jambo hili ni la umuhimu katika tiba yoyote ya upandikizwaji wa Seli Shina.
Kuna mategemeo yapi kuhusiana na Seli Shina na jinsi ambavyo zitaleta mapinduzi katika tiba?
Jukumu la seli shina ni kubadilisha seli zenye majeraha, ugonjwa au seli zilizokufa. Wanasayansi wamepata wazo la kutumia seli shina katika tiba kwa ajili ya wagonjwa wa maradhi ya aina mbalimbali. Wazo lao kuu ni kuwapa wagonjwa seli shina au seli komavu zilizozalishwa na seli shina. Kwa namna hii wanatumia nguvu asilia ya Seli Shina kutibu na kumrudisha mgonjwa katika hali ya afya tena. Kwa mfano, k**a mgonjwa amepata shinikizo la moyo, tiba itakayotumika ni kupandikiza seli shina kwa mgonjwa ili kutibu majeraha kwenye moyo. Kwa kawaida idadi ya seli shina tulizonazo mwilini zina uwezo mdogo kurekebisha majeraha. Tukirudi kwenye mfano wa shambulizi wa moyo, seli shina za moyo hazina uwezo wa kutosha wa kuponya majeraha yanayotokana na shinikizo la damu, lakini pale mamilioni ya seli shina za moyo zitakapopandikiwa uwezo wa tiba huongezeka maradufu. Hivyo basi kwa kuwapandikiza wagonjwa kutumia seli shina tunaongeza uwezo wa mwili kuponya zaidi ya uwezo mdogo wa kiasilia. Changamoto chache bado zipo kabla matibabu ya seli shina kuwa tiba ya kidesturi, kwa mfano changamoto za usalama kwasababu ya uwezo wa baadhi ya seli shina kutenegeneza uvimbe wa saratani, na pia changamoto ya mashambulio ya mfumo wa kinga wa mwili. Hata hivyo seli shina huenda zikaleta mageuzi makubwa kwenye matibabu, na pengine baada ya muongo au miongo miwili wengi wetu, pengine hata sisi wenyewe, tutakuwa tunafahamu mtu aliyetibiwa kwa kupandikizwa na seli shina. Seli shina zimeshikilia ahadi ya kuwa na uwezo wa kutibu magonjwa mengi yanayomsibu binadamu k**a saratani, magonjwa ya moyo, ugonjwa wa Parkinson, Uzulufu mwingi, kiharusi, ugonjwa wa Huntington, majeraha ya uti wa mgongo na magonjwa mengine mengi.
Napenda kila mtu aijue hii tiba kwa kuweza kuokoa pesa nyingi na kutibu tatizo moja kwa moja kwa gharama nafuu zaidi

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jakalu Health Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Jakalu Health Center:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram