Dr.Msami

Dr.Msami Tunawasaidia wenye magonjwa mbalimbali kwa kutumia mimea tiba iliyofanyiwa utafiti wa kitaalamu & ushauri wa kitaalamu

ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIODr.MsamiMawasiliano🔽🔽🔽wa.me/2557...
13/12/2022

ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO

Dr.Msami
Mawasiliano🔽🔽🔽
wa.me/255789838729

_Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba matibabu ni dawa pekee na jambo hili limepelekea wengi kuteseka na matatzo kwa muda mrefu sana bila mafanikio na kupelekea kukata tamaa ya kutafuta tiba na badala yake humuona kila mtoa huduma ni tapeli_

Zifuatazo ni sababu zinazowafanya wagonjwa wengi kuteseka na Bawasiri kwa muda mrefu licha ya kutumia dawa mbali mbali:

1.📎 Kutopata dawa sahihi
-Si kila dawa inayotangazwa kutibu Bawasiri inaweza kutibu Bawasiri bali dawa yenye ufanisi wa kutibu ndio inaweza kutibu Bawasiri.

2.📎 Kutofuata ushaur wa daktari.
-Usipofuata yale ambayo daktari anakuelekeza ili kupata suluhisho la Tatzo lako ni ngumu kupona tatzo lako.

3.📎 Kutoziacha sababu zilizopelekea upate Bawasiri. Katika hili wengi wamefeli kwani haiwezekani ukapona Bawasiri ikiwa sababu zilizopelekea upate Bawasiri hutaki kuziacha mfano;
-Pombe
-Uzito mkubwa
-Ulaji mbovu
-Kuingiliwa kinyume
-Kula sana pilipili
-Kukaa sana chini
-Kunyanyua vitu vizito
-Kutotibu Magonjwa k**a Ngiri na Vidonda vya TUMBO
-Kutokula vyakula vya kulainisha choo k**a vile Mboga za majani & matunda
-Kula udongo(wajawazito)
-Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa.
-Kuharisha mara kwa mara
-Kujisaidia choo Kigumu

Hata utumie dawa zaid ya 100,usipoziacha sababu hizo ni ngumu sana kupona Bawasiri na matokea yake kila mtoa tiba utamuona Tapeli kumbe sababu ni wewe mwenyewe kutofuata miongozo,maelekezo na USHAURI kutoka kwa daktar.

⚫ Ukizingatia hayo utapona Bawasiri kwa muda mfupi sana(week 1 mpaka 3) Biidhnillaah ja wapo wanaopona kwa siku 5 licha ya kukaa na Bawasiri kwa miaka kadhaa .

Dr.Msami
Mawasiliano🔽🔽🔽
wa.me/255789838729
Dar es salaam

*MVURUGIKO/KUTOKUWA SAWA MFUMO WA HORMONE KWA WANAWAKE (HORMONAL IMBALANCE)*-Tatizo hili hutokea pale ambapo kuna kiasi ...
11/12/2022

*MVURUGIKO/KUTOKUWA SAWA MFUMO WA HORMONE KWA WANAWAKE (HORMONAL IMBALANCE)*

-Tatizo hili hutokea pale ambapo kuna kiasi kingi au kidogo zaidi cha hormone kupita kiasi katika mishipa ya damu.Kutokana na umuhimu wa kazi ya hormones katika mwili,mabadiliko kidogo ya hormones hupelekea madhara katika mwili wote.

*HORMONES NI NINI?*
-Hormones ni Kemikali ambazo huzalishwa na Tezi katika mfumo wa Hormone.Hormones husafirishwa kwa njia ya damu kutoka kwenye Tezi mpaka kwenye viungo mbalimbali vya mwili (tissues & Organs) kwaajili ya kupeleka taarifa ya nini kifanyike kwa wakati husika.

*_DALILI ZA MABADILIKO YA MFUMO WA HORMONES KWA WANAWAKE_*

1.🖇️ Kukosa raha kiakili
2.🖇️Kupata Choo kigumu au Kuharisha mara kwa mara.
3.🖇️ Mvurugiko wa mzunguko wa hedhi.
4.🖇️ Maumivu ya tumbo(chini ya kitovu),mgongo na kiuno wakati wa hedhi.
5.🖇️ Kukosa/kupungua hamu ya tendo la ndoa na kupelekea kukosa ladha la tendo la ndoa
6.🖇️Kushindwa kupata ujauzito.
7.🖇️Kukosa usingizi.
8.🖇️ Kupungua uzito au kuongezeka uzito kusikoeleweka.
9.🖇️Kuota nywele mwilini kupita kiasi
10.🖇️Miwasho kwenye Ngozi
12.🖇️ Kuwa mchovu mara kwa mara
13.🖇️ Kuhisi kiu mara kwa mara
14.🖇️ Kukojoa mara kwa mara
15.🖇️ Kuhisi njaa mara kwa mara.
16.🖇️ Kutokwa jasho mara kwa mara.
17.🖇️ Ngozi kuwa kavu.
18.🖇️

*_SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA KUVURUGIKA KWA MFUMO WA HORMONES_*

1.🖇️Ulaji duni
2.🖇️ Msongo wa mawazo
3.🖇️ Kuwa na uzito mkubwa kupita kiasi
4.🖇️Kupata uvimbe kwenye Tezi ya Pituitary.
5.🖇️ Kutanuka kwa O***y na kuwa na vivimbe kwenye O***y/mfuko wa mayai (PCOS).
6.🖇️Kunyonyesha (Breastfeeding)
7.🖇️Kutumia njia za kuzuia kuzaa k**a vile vidonge(P2),kuweka vijiti nk.
8.🖇️Kufikia umri wa kukoma kupata ujauzito (Menopause)

05/12/2022

Address

Pangani & Utete Street
Dar Es Salaam
5000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr.Msami posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr.Msami:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram