11/07/2021
*LAZIMA UISIKIE NGUVU YA KUFANIKIWA IKIWA NDANI YAKO LA SIVYO NI KAZI SANA KUFANIKIWA*
Itafute kwa nguvu sana nguvu ya kufanikiwa.mpaka usikie kafuraha kanakuja ndani yako kale kataamuu,mpaka hofu ya kukata tamaa iondoke,mpaka ujione unafanikiwa ,ujione wa pekee,ujione tajiri hata k**a huna kitu,mpaka ukae chini utabasamu au ulie mwenyewe kwa furaha.
*Namna ya kutafuta nguvu ya kufanikiwa.*
1.Panga lengo linalokuhamasisha,liandike,lisome kila wakati,libandikie kila sehemu uwe unaliona,
2.tafuta picha za malengo na ndoto yako pandika picha kila sehemu,ziangalie mara kwa mara. Mfano gari,nyumba,shule unayotaka mwanao akasome,viwanja,mavazi nk.
3.Jiangalie kwenye kioo huku ukijitamkia maneno chanya mfano,,
mimi ni tajiri sana,
mimi nafaulu sana,
mafanikio yapo upande wangu,
mimi ni kichwa sio mkia,
mimi ni mbarikiwa nk
K**a ni mwanafunzi njiambie mimi napata division one.
Mimi ni mshindi.nk
Fanya hivyo kila siku asubuhi na jion.
4.Sikiliza mambo chanya/soma stori za watu waliofanikiwa kila siku asubuh na jion au ukiwa umepumzika,achana na kusikiliza habari za masikitiko tu au mambo ya kawaida kawaida.
5.Acha kujilinganisha na wengine,usiwe na panic au presha ya mafanikio kwa sababu tu umesikia fulan kafanikiwa kwa haraka,weka mpango kaz kisha ufanyie kazi.
6 Tembelea maeneo ambayo unajua kuna matamanio ya moyo wako,
Mfano k**a unataka gar ya aina fulani nenda hadi show room kajiulizishe bei huku ukiiingalia na kusema maoyoni hii ni gari yangu kabisa.
7.TAFAKARI KWA UNDANI SANA MALENGO YAKO (MEDITATION),KILA SIKU ASUBUHI NA JIONI HUKU UKIYAONA KANA KWAMBA UMEYAKAMILISHA HAYO MALENGO KWENYE AKILI YAKO.
JIONE UMO KWENYE NYUMBA YA NDOTO YAKO UNATEMBEA TEMBEA,JIONE UNAMPELEKA MWANAO SHULE YA NDOTO YAKE,JIONE UNAENDESHA GARI YA NDOTO YAKO,
HAYA YOTE UNAKUWA UNAFANYA MAIGIZO KWENYE AKILI YAKO NA UNATEGENEZA PICHA YA HALI HIYO UKIWA UNAFANYA TENDO LA KUKAMILISHA NDOTO YAKO.
8.SHUKURU NA SEMA ASANTE KWA KWA KILE KIDOGO MUNGU ALICHOKUPATIA.
9.USIWALALAMIKIE WATU KWA