Mwanamke-Afya-Point

Mwanamke-Afya-Point Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwanamke-Afya-Point, Medical and health, makumbusho, Dar es Salaam.

🩺a dedicated reproductive healthy consultant.

🤰 kwa afya Bora ya mfumo wa uzazi wa mwanamke.

🤦‍♀️ solution of depression in women

📚 Author of reproductive books

🌎 visit YouTube for educational vedios

Baada ya miaka 3,ya kutafuta ujauzito,baada ya kufuata program sasa mambo yamekuwa shwari 🤰Tunaendelea na SHIKA MIMBA KI...
12/01/2026

Baada ya miaka 3,ya kutafuta ujauzito,baada ya kufuata program sasa mambo yamekuwa shwari 🤰

Tunaendelea na SHIKA MIMBA KIRAHISI PROGRAM,program iliyo wasaidia wanawake wengi kushika ujauzito kiasili na kupata watoto waoo..,

Program hii Ina kuongezeka nafasi ya kushika ujauzito 🤰,Mara mbili zaidi…

K**a wewe ni mwanamke na upo kwenye makundi hayaaa

💧unataka kushika ujauzito kirahisi.

💧umetumia dawa nyingi bila mafanikio..

💧unahisi umri wako umekwenda..

💧unataka ukafanyiwe upandikizaji,

Basi JIUNGE na SHIKA MIMBA KIRAHISI PROGRAM,kupata maelekezo zaidi bonyeza link hii 👇👇
https://chat.whatsapp.com/Hvrg85LFpsrBzSSK5w2HKg?mode=wwt

Au piga simu /whatsapp no:+255763205376

12/01/2026

Malkiaa,Mtindo mbovu wa maisha unaweza kuathiri uzazi wa mwanamke kwa kiasi kikubwa. Lishe duni, usingizi usio wa kutosha, msongo wa mawazo, au matumizi ya pombe na sigara huathiri homoni, ubora wa mayai, na mzunguko wa hedhi. Kila hatua unayochukua ya kujitunza k**a kula vyakula vyenye lishe, kupumzika vya kutosha, na kuzingatia afya ya akili ni uwekezaji kwa uzazi wako na ndoto zako za kuwa mama.

SHIKA MIMBA KIRAHISI PROGRAM,program iliyo wasaidia wanawake wengi kushika ujauzito kiasili na kupata watoto waoo..,

Program hii Ina kuongezeka nafasi ya kushika ujauzito 🤰,Mara mbili zaidi…

K**a wewe ni mwanamke na upo kwenye makundi hayaaa

💧unataka kushika ujauzito kirahisi.

💧umetumia dawa nyingi bila mafanikio..

💧unahisi umri wako umekwenda..

💧unataka ukafanyiwe upandikizaji,

Na haya ni kati ya mambo utakayo yapata ndani ya program hii,

🕸️inakusaidia kuondoa sumu mbaya kwenye mfumo wa uzazi

🕸️kupata mwongozo sahihi wa chakula kinacho boresha mfumo wako wa uzazi.

🕸️kupata mwongozo wa mazoezi unao saidia Mzunguko wa damu katika mfumo wa uzazi..

🕸️kupata cancelling ya afya ya akili ili kuhakikisha una utulivu wa kihisia ukiwa unatafuta mtoto….

🕸️kupata virutubisho sahihi kulingana na changamoto yako…

kupata maelekezo zaidi kuhusu SHIKA MIMBA KIRAHISI PROGRAM,bonyeza link hii 👇👇

https://chat.whatsapp.com/Hvrg85LFpsrBzSSK5w2HKg?mode=wwt

Au piga simu /whatsapp no:+255763205376

Tunaendelea na SHIKA MIMBA KIRAHISI PROGRAM,program iliyo wasaidia wanawake wengi kushika ujauzito kiasili na kupata wat...
12/01/2026

Tunaendelea na SHIKA MIMBA KIRAHISI PROGRAM,program iliyo wasaidia wanawake wengi kushika ujauzito kiasili na kupata watoto waoo..,

Program hii Ina kuongezeka nafasi ya kushika ujauzito 🤰,Mara mbili zaidi…

K**a wewe ni mwanamke na upo kwenye makundi hayaaa

💧unataka kushika ujauzito kirahisi.

💧umetumia dawa nyingi bila mafanikio..

💧unahisi umri wako umekwenda..

💧unataka ukafanyiwe upandikizaji,

Basi JIUNGE na SHIKA MIMBA KIRAHISI PROGRAM,kupata maelekezo zaidi bonyeza link hii 👇👇
https://chat.whatsapp.com/Hvrg85LFpsrBzSSK5w2HKg?mode=wwt

Au piga simu /whatsapp no:+255763205376

SIKU YETU YA MAOMBI NI LEO MALKIAAAAAA       Ya kumwambia Mungu  kwa habari  ya uzazi wako mwaka huu 2026…            ~J...
11/01/2026

SIKU YETU YA MAOMBI NI LEO MALKIAAAAAA

Ya kumwambia Mungu kwa habari ya uzazi wako mwaka huu 2026…

~JE,UMEFUNGAAAAAAAAAA??
~je haujala chochote mpaka sasa???
~ hata k**a umekula endelea hapo hapooooo

TUNAHITIMISHA LEO USIKU SAA MBILI MPAKA SAA TANO USIKU Instagram Jina la page ni coach_lilianmihale

Usipange kukosa mwambie na Rafiki yakoooo🤝

10/01/2026

MAOMBI YA KUFUNGUA SAFARI YA UZAZI 2026 🙏🏽

Kabla ya vipimo, kabla ya dawa, kabla ya kuuliza “kuna tatizo gani?”
👉 tunaanza na MAOMBI.

K**a umechoka kulia kimya kimya,
k**a umejaribu mengi bila mafanikio,
k**a mwaka 2025 ulikuacha na maswali mengi kuliko majibu…

👉 haya maombi ni kwa ajili YAKO.

📍 Instagram Live
📌 Page:
⏰ Saa 2:00 – 5:00 usiku

Tutafungua mwaka 2026 kwa kumuomba Mungu aingilie kati safari yako ya uzazi,

afungue milango iliyofungwa,

aponye maumivu ya moyo,
na alete tumaini jipya. 🌸

👉 Usikose.

👉 Waite dada zako, marafiki zako, wake wenzako au mkewako…

👉 Huu unaweza kuwa mwanzo wa ushuhuda wako.

Uzazi unaanza rohoni kabla ya tumboni. 🤍

Kupata maelekezo zaidi ,Bonyeza link hii👇👇

https://chat.whatsapp.com/LXiDgT0mFSGKEyijBqwW7w

Au piga simu/whatsaap no +255763205376

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanamke-Afya-Point posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mwanamke-Afya-Point:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram