08/09/2022
CHANGAMOTO YA UZAZI KWA WANAUME.
Takwimu zinasema kati ya wanandoa 100, wenza 10-20 wanakabiliwa na tatizo la kukosa mtoto.
Idadi kubwa ya wanandoa wanahitaji usaidizi wa kupata mtoto.
UGUMBA KWA WANAUME.
Kwa bahati mbaya jamii yetu hasa ya kiafrika inaanimi kuwa tatizo la ugumba ni Kwa wanawake tu bila kujua kuwa hata mwanaume anaweza kuwa mgumba.
SABABU ZA UGUMBA KWA WANAUME.
*Mbegu kuwa chache(low s***m count).
*Kutokubalance home.
*Mbegu kukosa ubora.
VISABABISHI VYA UGUMBA KWA WANAUME.
*Vifaa vya kielektroniki.
*Aina ya chakula.
*Kujichua.
*Unywaji wa pombe kupitiliza.
*Uvutaji wa sigara, bangi, na madawa yote ya kulevya.
* Msongo wa mawazo.nk
Hii ni changamoto ambayo Inawakumba watu wengi hivyo huna budi kuepukana na sababu mbalimbali zitakazoweza kumpelekea ukapata tatizo hili.
Like, share na comment ili na wengine waweze kujifunza.