Afya na Maisha BM clinic

Afya na Maisha BM clinic Uduma za Afya na ushauri wa kiafya namna ya kupambana na magonjwa bila dawa za hospital ni ama za c

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUMETatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huv...
13/12/2021



CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

Kisukari

Kuwa na mawazo na wasiwasi

Matumizi ya madawa mbalimbali

Umri hasa wazee

Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

Kuwa na tatizo la kibofu

Tabia za kujichua kwa mda mrefu

Kutopata usingizi kamili

Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

Kwa msaada zaidi wasiliana nasi Kwa namba 0699808523

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na Maisha BM clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya na Maisha BM clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram