Afya82

Afya82 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya82, Medical and health, Ilala, .

DR KAMBI  na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.📞 0759854980Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa ...
24/09/2022

DR KAMBI na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.
📞 0759854980

Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya Maisha. Umri mkubwa ni moja ya sababu inayopelekea kutokea kwa tatizo, ambapo tishu za mwili zinakuwa kavu na kupoteza uwezo wa kuvutika.

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu sababu ya maumivu makali wanayoyapata..

Pia limewaondolea watu uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi na wengine wengi kupata ulemavu wa maisha sababu ya kuwa na tatizo kwa muda mrefu sana na kulichukulia kawaida kwa kutumia dawa za maumivu (ant pains)

Na changamoto hii endapo isipotatuliwa mapema inaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari njema kwako.

Habari njema nikwamba unauwezo wa kutumia dawa asili zitokanazo na virutubisho lishe (food suppliments) ambazo zimewasaidia wengi kutibu matatizo yao yaliyo wasumbua kwa muda mrefu sana
karibu tukuhudumie sasa ASANTE.
📞 0759854980

JE UNAPITIA CHANGAMOTO YA MIFUPA ???-maumivu makali kwenye magoti-magoti kushindwa kujikunja -kusikia milio ya magoti ku...
19/09/2022

JE UNAPITIA CHANGAMOTO YA MIFUPA ???

-maumivu makali kwenye magoti
-magoti kushindwa kujikunja
-kusikia milio ya magoti kusagana
-kushindwa kuinama
-kusikia ganzi kwenye miguu
-mifupa kusagana
-maumivu kwenye maungio (joints)
-kiuno kuuma
-mgongo kuuma
-pingili za vidole kuvimba (gout)

SABABU KUU INAYO SABABISHA CHANGAMOTO HIZI NI K**A !

-Ajali
-Uzito ulipindukia
-kutumika kwa viungo kupitia kiasi mfano wanamichezo
-Historia ya familia
-Umri (30+)

JE UMEHANGAIKA KWA MUDA MREFU BILA SULUHU YA UHAKIKA ?

JE ULIFANYIWA UPASUAJI NA KUWEKEWA VYUMA ILA BADO MAUMIVU NI MAKALI SANA NA MIFUPA BADO INASAGANA ?

HUNA HAJA YA KUHANGAIKA TENA TUNAYO SULUHU YA VIRUTUBISHO AMBAVYO VITAONDOA KABISA CHANGAMOTO YAKO YA MUDA MREFU YA MIFUPA NA HAITOJIRUDIA TENA :

Wasiliana nasi kupitia
0759854980

PIA TUNATOA ELIMU BURE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP gusa link hii kujiunga
👇🏿

https://chat.whatsapp.com/IeLf9TAcdLcCdPFJWGqLYl

Address

Ilala

12101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya82 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram