Dr Tishpha na afya

Dr Tishpha na afya Karibu sana ninatoa elimu ,ushauri na tiba juu ya changamoto za kiafya (changamoto za maungio)

04/11/2022
26/10/2022

*DALILI ZA KUWEZA KUKUJULISHA KUWA VIUNGO VINASAGANA NI K**A IFUATAVYO*

*KWENYE MAGOTI*
✔️magoti kushindwa kujikunja
✔️Maumivu kwenye magoti
✔️kushindwa kupanda ngazi kwa urahisi
✔️kusikia milio ya mifupa kugusana kwenye magoti

*KWENYE MGONGO/UTI WA MGONGO*
✔️maumivu kwenye mgongo
✔️kushindwa kuinama
✔️kusikia maumivu makali wakati wa kuinama
Kusikia ganzi kwenye mapaja au miguuni.

KWENYE BEGA(SHOULDER JOINT)
✔️kushindwa kunyanyua mkono
✔️kusikia maumivu makali kwenye bega

Afya yako ni mtaji wako
By Dr Tishpha
0754836139

TATIZO LA MIFUPA, MISULI NA MGONGO ?Ondoa shida ya mifupa na viungo kwa kutumia   vya asili vilivyotengenezwa kiasili 10...
26/10/2022

TATIZO LA MIFUPA, MISULI NA MGONGO

?

Ondoa shida ya mifupa na viungo kwa kutumia vya asili vilivyotengenezwa kiasili 100%

hivi vina sifa zifuatazo:-
-Haina kemikali
-Vimetengenezwa kwa mimea asili na viumbe vya baharini
-Vinaondoa matatizo yote ya mifupa
-Hufanya kazi kwa muda mfupi

virutubisho hivi hufanya kazi maalumu katika mwili wa mwanadamu k**a zifuatazo -Inaondoa ya mgongo hasa kwa wanaokaa kitako muda mrefu ofisini, na
-Inaongeza ute na ukuaji wa wa nyama telezi
-Inaongeza mwilini na kufanya mifupa na meno viwe imara na kufanya meno yadumu muda mrefu
-Inaondoa mwilini
-Inaondoa hamu ya kula kwa watoto na watu wazima waliowavivu kula
-Inasaidia kuongeza nguvu ya mifupa kuunga haraka kwa mtu aliepata au

Afya yako ni mtaji wako
Dr Tishpha
0754836139

SURUHISHO LA MAUMIVU YA PINGILI  ZA  MGONGO,KIUNO,NA NYONGA.(0754836139)WATU WENGI WANAPATA MAUMIVU YA MGONGO KIUNO,MAGO...
26/10/2022

SURUHISHO LA MAUMIVU YA PINGILI ZA MGONGO,KIUNO,NA NYONGA.
(0754836139)

WATU WENGI WANAPATA MAUMIVU YA MGONGO KIUNO,MAGOTI NA NYONGA KWA MUDA MREFU BILA KUPATA SURUHISHO LA KUDUMU.

UKWELI NI KWAMBA MATUMIZI YA DAWA ZA KUTULIZA MAUMIVU SIO JIBU LA MAUMIVU HAYO. MAZOEZI HUSAIDIA LAKINI PEKEYAKE SIO TIBA ,WENGINE WANAHUDHULIA KUCHUKUA DAWA HOSPTALI KILA MWEZI HADI MWAKA MZIMA BILA KUPATA SURUHISHO LA KUDUMU, HAKUNA DOZI INAYOTOA SURUHISHO IKAWA NI YA MWAKA ZINAKUPA NAFUU YA TATIZO LAKO LAKINI SIO SURUHISHO LA KUDUMU KUNA WALIOFANYIWA UPASUAJI NA WAMEPATA NAFUU LAKINI BADO WANAPATA MAUMIVU YA VIUNGO.

JE UTUMIE NINI SASA ? KITU CHA KWANZA HAKIKISHA UNAPOPATA MAUMIVU HAYA UNACHUKUA TAHADHARI KWA KWENDA KUPIMA .HII INAKUSAIDIA KUA NA UHAKIKA WA TATIZO LAKO INAKUSAIDIA KUPEWA TIBA KADILI YA TATIZO LAKO.

NIMEWASAIDIA WENGI KUTIBU CHANGAMOTO ZA KUSAGIKA KWA PINGILI ZA MGONGO,KIUNO,NA NYONGA PAMOJA NA UTE KUTEMWA. WAPO WANAOPATA SHIDA ZA MIFUPA KWA SABABU YA AJALI PIA UTASADIWA KADIRI YA TATIZO LAKO.

VIRUTUBISHO SAHIHI VINA AINA NYINGI ZA MADINI YA KUJENGA MIFUPA,KUZALISHA UTE KUZALISHA GEGEDU NDANI YAKE VINA ZINC , CALCIUM,VITAMIN D,MADINI YA CHRONGOTIN,MAGNESIUM ZINC HUZALISHA UTE NA KUONDOA SUMU ZOTE MWILINI.KARIBU KWA USHAURI ZAIDI

NAJUA UMEHANGAIKA USIJIKATIE TAMAA KUMBUKA
"AFYA YAKO NI MAISHA YAKO"
BY TISHPHA
(0754836139)

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr Tishpha na afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr Tishpha na afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram