Tiba na Ushauri wa Kitabibu.

  • Home
  • Tiba na Ushauri wa Kitabibu.

Tiba na Ushauri wa Kitabibu. Tunatoa Kinga,Tiba na ushauri kuhusu magonjwa mbalimbali. Tumehudumia wengi. Ukiwa unahitaji huduma ya kitabibu wasiliana nasi kupitia 0764762991

28/06/2022
09/03/2021

Mambo muhimu ya kujua.
1.”Furaha yetu kubwa haipatikani kwa kutegemeana na hali ya maisha ambayo nafasi imetuweka, lakini daima ni matokeo ya dhamiri njema, afya njema, kazi, na uhuru katika shughuli zote tu”.
Pia,
”Hakuna kitu muhimu zaidi kuliko afya yetu nzuri - hiyo ndiyo mali yetu kuu katika mali zetu”.

Sumu zinazozalishwa na seli hai za mwili yaani ‘free radicals’ zinapozidihuweza kuzifanya seli hai za mwili kushindwa ku...
08/03/2021

Sumu zinazozalishwa na seli hai za mwili yaani ‘free radicals’ zinapozidihuweza kuzifanya seli hai za mwili kushindwa kufanya kazi vizuri na
kuweza kuharibika kwa urahisi na kuathiri mfumo mzima wa kinga mwilini.
Lakini kwa kutumia CHUPA hii ya maji iliyotengenezwa kitalaamu ina uwezo Mkubwa wa kuongezea chembe na viasili katikamaji uliyoweka ndani yake ambavyo kwa pamoja vina uwezo wa kurekebisha utendaji kazi wa mfumo wa fahamu, mfumo wa mzunguko wa damu, masuala ya uzazi, kupunguza, kuondoa sumutaka zinazozalishwa na seli za mwili n.k.
Faida ya chupa hii unaweza kutumia kwa matumizi binafsi au kwa familia nzima na itaweza kutumika hadi miaka 10.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba na Ushauri wa Kitabibu. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tiba na Ushauri wa Kitabibu.:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram